neno la mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua codes za SIRI zilizoandikwa katika kitabu kiitwacho Biblia/ Neno la Mungu

    Salaam, shalom!! Utakubaliana na Mimi ya kuwa, ni Rahisi sana kuangalia movie masaa SITA bila kuchoka, pia ni Rahisi sana kusoma au kushinda ukichat siku nzima katika mitandao ya Kijamii ila Si Rahisi kusoma chapter angalau mbili tu katika kitabu kiitwacho BIBLIA, Je ungependa kujua nini Hasa...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Jitahidi ujue neno la Mungu maana Manabii wengi wapigaji

    Narudia tena Mungu awape ufahamu kulijua neno la Mungu wapendwa. Kuna jirani yangu ni mpenzi sana wa mahubiri ya redio. Akajichanganya kasikia kanisa moja huko buza, alipofika no 1 kumwona nabii akaambiwa shida zake zinahitaj gharama kubwa, aliemloga ametumia hela kubwa kaambiwa atafute...
  3. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Kwanini Maaskofu wa Katoliki wanahubiri neno la Mungu kwa upole tofauti na wenzao wa madhehebu mengine?

    Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka) Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka) Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Chini Na Ya Upole Sana. Tafakari…
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tafakari point moja baada ya moja ya utabiri wa neno la Mungu wa nyakati za mwisho.

    Mtasikia kuhusu vita vinanavyopiganwa na pia matetesi ya kuwapo vita vingine. Lakini msiogope. Mambo haya lazima yatokee na mwisho wenyewe hautafuata palepale. Mataifa yatapigana na mataifa mengine. Falme zitapigana na falme zingine. Utakuwepo wakati wa njaa ambapo watu watakosa chakula. Na...
  5. excel

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kuchambua Biblia, nini maana ya hiki kifungu?

    Mungu aliye mkamilifu, asiye fananishwa na kitu, Alfa na Omega; hapa anatamkwa namna hii? Ama kuna namna ilimaanishwa na Mwandishi wa Wakorinto?
  6. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Neno la MUNGU linasema "MSINYIMANE"

    1 WAKORINTHO 7:3-5 "Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena...
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ni kweli imani katika Neno la Mungu inafanya kazi? Tupe ushuhuda wako!

    Hakikisha una uhakika na ushuhuda wenyewe, kwamba: 1. Umekutokea wewe binafsi, Au 2. Umeushuhudia kwa mtu mwingine, Au 3. Umesimuliwa na mtu ambaye unaamini hakukuongopea. Karibu🙏🙏🙏
  8. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwanini tumtumie shetani kutangaza neno la Mungu?

    Ukikaa ukafikiria karibia vitu vyote vinavotumika kutangaza neno la Mungu vinatengenezwa na watu wasio amini upande wa mungu au wanamwabudu shetani, Mfano: Magari, vinanda, vipaza sauti, majenereta, magari, kiujumla ni kila kitu mpaka hizo mitambo ya kuchapisha hivo vitabu.
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu?

    Wanabodi, Tumsifu Yesu Kristo. Declaration of Interest Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nimejua kwa nini roho yangu huburudishwa sana na nyimbo zenye maudhui ya Neno la Mungu

    Ilishanitokea mara nyingi, japo sikujua sababu hasa. Nilijua roho yangu huitikia vizuri sana nyimbo zenye jumbe za Neno la Mungu. Hata kama nilikuwa nikitembea njiani huku nafsini najisika kukaukiwa au hali ya utupu, nikipita sehemu wanakopiga wimbo mzuri unaokubaliana na Maandiko Matakatifu...
  11. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Picha: Nape Nnauye Habarini JF GT! Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu. Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Fuateni Mafundisho ya Neno la Mungu na siyo Maombezi ya Miujiza ya Uwongo na Kweli

    Naona taratibu sasa Mwamposa anataka Kupunguza Waumini wake ili akajikite sasa Kusimamia Miradi yake mingi na Biashara zake nyingi zenye Utajiri mkubwa kuliko Umasikini Uliokomaa wa Waumini wake wanaomuona Mungu Mtu hapa Dar es Salaam na Tanzania. Kwasababu kama ni Maombezi hayo ya Uwongo na...
  13. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumshinda Shetani anapotumia neno la Mungu kukushawishi kutenda dhambi

    “Akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe”, Mt 4:6 SUV Shetani alitumia Neno la Mungu kumjaribu Kristo kutenda dhambi. Pia lilikuwa ni jaribio la kumshawishi Yesu...
  14. Rizzy2020

    JamiiForums Tanzania Historia ya Ukristo na kuenea kwa neno la Mungu Tanzania

    Ukristo nchini Tanzania ulianzishwa na wamisionari wa Shirika la Mt. Agostino kutoka Ureno walioongozana na Vasco da Gama mwaka 1499 hadi Zanzibar. Huko walijenga konventi ya shirika lao ili kuhudumia kiroho Wakristo toka Ulaya tu. Misheni ilipingwa na Waarabu Waislamu na e kukoma mwaka 1698...
  15. mwagito25

    JamiiForums Tanzania Matapeli wanaotumia kivuli cha maneno ya Mungu

    Habarini wadau. Leo nimeona nitoe maoni yangu kuhusu watu hawa wanajiita mitume na manabii na masheikh. Mtu anatumia mafuta, maji, chumvi nk. Wanajiita ni mitume na manabii; je, Biblia inasema hivyo? Ingawa sina rejea ya vifungu moja kwa moja lakin matendo ya Yesu akiwa duniani alifanya...
  16. Filipo Lubua

    JamiiForums Tanzania Mnapoendelea na Siku Tatu za Maombi, Msisahau Kusoma Aya Hizi

    Mnapoendelea na siku tatu za maombi, msisahau kusoma aya hizi: "Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. [kwa hiyo] kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote na hamkukubali karipio langu, mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, nitawadhihaki wakati janga...
Back
Top Bottom