neema

Neema Namadamu is an advocate for peace and a women's rights and disability rights activist in the Democratic Republic of the Congo (DRC). She founded the Maman Shujaa Media Center to empower women and give them voices to tell their stories.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Neema kubwa yaanza kuonekana baada ya China kufunguliwa na kulegeza kanuni za UVIKO-19

    Mwaka mpya wa 2023 umekuwa mzuri na wa neema hapa nchini China kwani kuanzia tarehe 8 Januari milango yote ya China inafunguliwa na kuruhusu wageni na wenyeji kuingia na kutoka China, hii ikiwa ni hatua ya kulegeza kanuni zote za UVIKO-19, ambazo zilisababisha nchi kufungwa tangu virusi vya...
  2. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ombeni Neema ya Mungu iwaguse na sio kutukana wazee

    Mungu ni Mwema mkiendelea kutukana wazee , Fahamu kuwa ndo mnazidi kuharibu nchi na Kesho zenu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa kabla hujaondoka ulituachia laana au uliwaachia neema?

    Kuna watu wananeemeka na kuwa matajiri zaidi baada ya kuondoka kwako na wale masikini wanakuwa masikini zaidi, je umetuachia laana au umewaachia neema, miaka yako michache sikuwahi pata shida ya maji na umeme hata kama vilikuepo sikatai lakini watendaji wanatumia siasa kwenye suala la maisha ya...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Dini imeleta neema au ni mzigo kwa nchi za Afrika?

    Je, dini imekuja kuikomboa Afrika au kuiangusha?
  5. Hamduni

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote ni neema kwa Watanzania wote

    BIMA YA AFYA KWA WOTE NI NEEMA KWA WATANZANIA WOTE Na Amosi Richard Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema “Ni kupitia bima ya afya kwa wote ndipo tutaweza kutoa matibabu kwa kila Mtanzania anayeishi ndani ya nchi yetu. Mfuko huu utahakikisha mtu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kazi juu ya kazi, sasa Bei ya Mafuta inaendelea kushuka, Watanzania tutegemee neema ya kupungua kwa mfumuko wa bei

    Ndugu zangu Hali ya mafuta inazidi Kuendelea kuleta matumaini kwetu watanzania kwa kushuka Bei, Ikumbukwe kuwa miezi michache iliyopita Bei ya mafuta petrol,Dizel na mafuta ya Taa ilikuwa haishikiki Wala haikamatiki, Hali hii ilipelekea kupanda kwa bidhàa nyingi Sana hasa kwa kuzingatia ukweli...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Machinga wapata neema Dodoma

    Mwaka mmoja uliopita agizo la kuwapanga Machinga lilitolewa. Mwaka mmoja baadaye soko la kisasa Dodoma limekamilika limegharimu Tsh Bilioni 9 na sasa limeanza kutumika. Lengo la soko hilo ni kuwaepusha Machinga na ajali zilizotokana na kufanya biashara pembezoni mwa barabara pia...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tufanye Maombi ya Kitaifa kumwomba Mwenyezi Mungu atupatie Mvua zenye Baraka na Neema

    Ndugu zangu Nikiwa Kama mkulima naona Hali ya hewa imekuwa siyo nzuri, inatutisha wakulima, inatupa wasiwasi, mashaka na hofu. Mpaka Leo tunapoelekea kuumaliza mwezi huu bado hatujaona mvua, bado ardhi Haijapata mvua, bado tunaendelea kuangalia angani kila kukicha kuona Hali ya mawingu, Bado...
  9. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mzazi wako anaweza kukuonea wivu na husa kwa neema chache ulizonazo?

    Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hii ishu japo naona kama vile sio kweli ila nimeona niwashirikishe ndugu zangu wana jamii forum...nina mzazi wangu pale ninamuambia kuhusu mipango yangu mizuri huwa haonyeshi kufurahi hata kidogo...na akisikia nimepata matatizo huonyesha tabasamu pana
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mwanadada anaitwa Neema, wa pale Moshi

    Huyu mwanadada tulikutana naye mwaka 2007, nikiwa naishi old moshi, na yeye akiishi kwao mtaa wa rau Moshi. Tulikuwa na mahusiano, kipindi hicho na nilitegemea awe ubavu wangu wa kushoto, ila kutokana na kupotezana, ilishindikana. Alisoma, majengo sekondari Moshi; mrefu wa wastani na ulikuwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya Rais Samia jana Agosti 29 ni uthibitisho wa neema tuliyojaliwa Tanzania

    Moja kati ya mambo yanayofanya uongozi wa nchi yoyote upendwe ni jitihada za wazi za kustawisha maisha ya wananchi, kutatua kero zao na kutekeleza maono yenye dhamira njema na maisha ya watu. Uadilifu, weledi, haki za binadamu na kulinda mila na desturi za watanzania ni baadhi ya mambo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Juhudi hizi za Rais Samia katika kilimo ni neema kwetu

    Je wajua? 60% ya watanzania wameajiriwa katika sekta ya kilimo. UMWAGILIAJI Kuanzia msimu ujao wa kilimo, Serikali chini ya Rais Samia kuwajengea Wakulima wa zao la chai wa mikoa yote mabwawa makubwa ili waanze kulima zao hilo kwa njia ya umwagiliaji ili kuongeza tija na uzalishaji.Tanzania ina...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ajira bomba la mafuta zaanza kutangazwa

    Zile ajira takribani 10,000 ambazo Watanzania waliahidiwa kunufaika nazo katika ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda handi Chongoleani Tanga zimeanza kutangazwa. Kupitia gazeti la Mwananchi toleo namba 0856-7573 la Jumatatu, 26/07/2022 ajira 87 za moja...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa viwanda vya kubangua korosho na neema kwa Watanzania

    Serikali ya Tanzania imesema iko katika hatua za mwisho za majadiliano na Serikali ya Vietnam kujenga viwanda vitakavyobangua Korosho hapa nchini (Tanzania) ili kuiongezea thamani badala ya kuiuza ikiwa ghafi kama inavyofanyika kwa kiasi kikubwa hivi sasa. Taarifa kutoka Kituo cha uwekezaji...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Safari za ATCL kwenda China ziwe neema kwa wafanyabiashara nchini

    Tanzania na China zimekuwa na mahusiano ya muda mrefu, toka enzi zile za kufuata misingi mikuu ya Ujamaa chini ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Baba wa Taifa la China Mao Ze Dong. Kwa miaka 61 sasa nchi hizi zimeendelea kushirikiana katika mambo kadhaa lakini zaidi ni namna asilimia kubwa ya...
  16. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Royal Tour inavyoleta neema nchini

    Baada ya uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour, watalii na wawekezaji katika sekta ya utalii wameongezeka kwa mujibu wa hoteli za kitalii Dar es Salaam ongezeko la wageni limefika asilimia 280 na Arusha asilimia 340. Kwa upande wa viwanja vya ndege miruko imeongezeka ikiwamo ndege zinazoingia...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Hong Kong yaendelea kuwa tulivu, imara na yenye neema miaka 25 baada ya kurudi China

    Ni miaka 25 sasa imepita tangu China irudishe mamlaka yake kwenye mkoa wa Hong Kong baada ya kuwa chini ya utawala wa Uingereza wa miaka 100. Ilikuwa ni Julai Mosi mwaka 1997, wakati wakosoaji walikuwa wakijenga picha mbaya kuhusu mustakbali wa Hong Kong, na kuitaja hatua hiyo kuwa ni mwanzo wa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Neema kwa wafugaji, Rais Samia kuifufua NARCO

    Mwenyekiti wa kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO), Mhandisi Luhemeja ameeleza kuwa Serikali inakwenda kufumua muundo wa NARCO ili kila mkoa uwe na Ranchi yake pamoja na Meneja wa NARCO wa Mkoa na hivyo ameitaka menejimenti ya NARCO ikae hataka kufumua mfumo uliopo sasa Luhemeja ameeleza kuwa...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mtwara kuchele, Bandari ya Mtwara yazidi kuleta neema

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeeleza kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza Mpango Mkakati wa miaka mitano (5) (2021/22 – 2025/26), unaolenga kuboresha bandari zote za Tanzania ikiwemo Bandari ya Mtwara. Imeelezwa kuwa kupitia mkakati huo Serikali...
  20. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tsh Bilioni 100 za Rais kila mwezi kwenye mafuta ni neema kwa Watanzania

    Na John Mwakanga, Mbeya Kupanda kwa bei za mafuta ni janga linaloendelea kuitikisa Dunia kwa ujumla. Kwa kuelewa uzito wake kwa wananchi wa Tanzania, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imejitwika jukumu la kupunguza gharama kwa wananchi kwa kutoa ruzuku ya bilioni 100 kila mwezi. Juni 10...
Back
Top Bottom