Hivi ni kweli mzazi wako anaweza kukuonea wivu na husa kwa neema chache ulizonazo?

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,730
11,085
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hii ishu japo naona kama vile sio kweli ila nimeona niwashirikishe ndugu zangu wana jamii forum...nina mzazi wangu pale ninamuambia kuhusu mipango yangu mizuri huwa haonyeshi kufurahi hata kidogo...na akisikia nimepata matatizo huonyesha tabasamu pana
 
Haoneshi kufurahia mipango, ila ukifanikisha hupata tabasamu pana….. ulitaka afurahie mipango porojo!
 
Wapo wazazi hasa wababa huwa hawapendi mafanikio ya watoto wao. Nina mifano michache.
Ila ni uchawiii yani mtoto umzae mwenyewe halaf akifanikiwa unune
 
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hii ishu japo naona kama vile sio kweli ila nimeona niwashirikishe ndugu zangu wana jamii forum...nina mzazi wangu pale ninamuambia kuhusu mipango yangu mizuri huwa haonyeshi kufurahi hata kidogo...na akisikia nimepata huonyesha tabasamu pana
Kumbe kama ukifinikiwa huonesha tabasamu pana shida ipo wapi
 
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hii ishu japo naona kama vile sio kweli ila nimeona niwashirikishe ndugu zangu wana jamii forum...nina mzazi wangu pale ninamuambia kuhusu mipango yangu mizuri huwa haonyeshi kufurahi hata kidogo...na akisikia nimepata matatizo huonyesha tabasamu pana
Sio baba wadogo hao? Siamini aliekuzaa atafanya hayo
 
Back
Top Bottom