Msaada kuhusu NECTA

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
226
281
Wapendwa samahani habari za asubuhi, habari za muda huu?

Moja kwa moja naomba niende kwenye mada.

Mdogo wangu alifanya mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2016 lakini kwa bahati mbaya alipata credit moja na D moja na mwaka jana ikabid arudie yale masomo alopata F kwa bahat nzur kapata credit nyingine moja na D tatu, sasa ulizo langu ni kwamba jee inawezekana kutuma maombi baraza la mitihani ili wamtengenezee cheti kimoja?

Tafadhal mwenye kufahamu kuhusu hilo naomba anisaidie kutambua.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom