ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Jitenge na watu (ikiwemo ndugu), WASIOUCHUKIA umasikini

    Wewe unajitoa kupanga bajeti, kupanga uzazi na vingine vingi ili tu, usirudi ulipotoka. Halafu wapo watu ambao hufanya maamuzi waonavyo vyema, huku wakihitaji support Kununua umeme Kodi Mtu kakimbia shule ila anataka utume pesa ya kujikimu n.k Kisa na sasabu - "udugu" Hata kama una akiba...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Habari zenu ndugu

    Habari zenu ndugu wangu ?
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

    Hili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri na tuna usafiri wetu, kwa kifupi maisha yetu si haba. Kinachashangaza kuhusu mume wangu hapendi kuona ndugu zangu kuja kwetu tulipo, either kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Irene Uwoya: Sitaki Mwanangu Alale kwa Ndugu!

    Irene Uwoya anasema hatamani kabisa mtoto wake Krish kulala hata kwa ndugu yake kwasababu Dunia imearibika kwasasa. "Nikweli Kwenye Malezi ya watoto kuna muda tunakosea ila mimi siwezi kupenda mwanangu aaribike hapana, Hakuna mama yeyote alieingia leba akafungua anaeweza kutaka mtoto wake...
  6. JamiiForums Tanzania Sitokaa nihudhurie tena kwenye harusi ya dada au ndugu wa karibu upande wa kike

    Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia. Yaani baada ya kula na kunywa tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra...
  7. JamiiForums Tanzania Mke siyo ndugu yako!

    Kama mwanaume ni mbwa basi mwanamke ni joka! Usipaniki..hebu sikia ya huyu mwanaume kipofu.. Anasema alikuwa mtu mashuhuri, mwenye nyumba mbili na kipato kizuri tu..ghafla akaumwa upofu. Akaachishwa kazi..akawa mzigo kwenye familia..mkewe akaanza dharau ikiwemo kumpiga na mwiko, kumvuta sehemu...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu lucas mwashambwa una maoni gani juu ya kauli ya "YUDA"

    Lucas Mwashambwa karibu.
  9. JamiiForums Tanzania Wadau, hasa wanaume, ni kweli eti ukifikisha miaka 35 huwezi tena kunyandua mbususu bao 2kwa1 kwenye 6kwa6?

    Nini kinasababisha kukwamia kwenye bao1 tu, kwa wenye umri wa kuanzia 35 years na kuendelea? Na kama unaweza kufakamia bia6 bila breki katika umri huo, kulikoni ushindwe kuunganisha goli2 kwa1 kwenye 6kwa6?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  10. JamiiForums Tanzania Kuhusu kutembea au kuoa ndugu wawili

    Wakuu adui namba moja wa taifa hili ni ccm wanachopigania ni chama chao kutawala ili kuendelea kuiba na kulinda walichoiba ndiyo maana watapishana vipindi vingine tu ila kipindi cha uchaguzi huitana na kuambizana ukweli kwamba chama kikianguka kila ajue kiama kinakuja, wanatafakari na kurudi...
  11. JamiiForums Tanzania MSITU ULIOFICHA NDUGU WENGI WA WATANZANIA

    Lango lake kuu pana barrier ndipo alipo ponea Msaidizi wa Tundu Lisu, msitu unaosimamiwa na TIS na kulindwa kwa zamu na askari wa kikosi maalumu kuhakikisha hakuna mtu anaingia huko kama hajatekwa nyara au kwa maelekezo maalumu. Yes ni hapa Tanzania Bunju huko tutakuja na google stalite view...
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seneta Edwin Sifuna: Haiwezekani tumpatie Rais William Ruto nafasi arudi kwenye hiyo kiti

    Speaking during the funeral of Ann Nyatoro Ndung’u, the mother of the East African Legislative Assembly (EALA) Member of Parliament, Nairobi Senator Edwin Sifuna and the Linda Mwananchi lead, delivered a direct message concerning President Ruto ahead of 2027 poll "There is no other formula...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Ndugu waungana kumkata mikono jamaa kisa ameaga uislamu na kujiunga Ukristo

    Baba yake alibariki huo ukatili na kusema sharia ya kiislamu inaruhusu kumfanyia chochote baada ya yeye kuaga hiyo dini ya muarabu. Niliona pale Kampala idadi ya waislamu kama inazidi kuongezeka, haya matukio yataongezeka sana kwa mzee Museveni, kajizeekea na kuacha nchi iendelee kuharibika...
  14. JamiiForums Tanzania Ndugu upande wa baba.. Una lipi la kuwaambia?

    Ni kweli hawaeleweki? Ni kweli wao wanadhani wana haki zote? Ni kweli wao wanajiona daraja la kwanza? Ni kweli hawaambiliki?
  15. JamiiForums Tanzania ISIS walivyofanya mauaji ya wakristo nchini Congo na, 2025

    === Islamic State massacres Christians in front of their families At least 60 people killed in...
  16. JamiiForums Tanzania Ndugu yako akisoma hizo course jitahidi kumuandalia bodaboda kama backup

    Ukisoma hizi course jitahidi ujue kuendesha Bodaboda kama backup. 1. Human resources management 2. Business Administration 3. Teaching (wapo kuanzia 2016 mtaani art lakini) 4. Psychology (hawajawai kuajiriwa tokea course ianzishwe) 5. Records...
  17. JamiiForums Tanzania John Heche: Huyu Mama alitoa ndege iendea Dubai kuwaokoa ndugu zake dhidi ya Mabomu ya Iran si Watanzania

    Salaam, Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko Dubai kwa gia ya kwamba wanawafuata Watanzania Wasidhuriwe na Mabomu ya Iran. Kama alitoa ndege...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania Wana shida gani mbona hawalipi kisasi( Retaliation)Kwa walioua ndugu zao?

    Watanzania sijui mna shida gani , Kuna familia nyingi mno zimetendewa vibaya sana na watawala na vyombo vya usalama, waliowatendea unyama wanajulikana lakini hakuna anaelipa kisasi. Uonevu utaisha siku watu wakianza kulipa kisasi, yanayotokea Tanzania yangetokea south America pasingekalika...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania wakiona mtu anaongea sana kwenye mikutano wanaona kama ni kiongozi bora, ndugu zangu kuongea sana siyo akili ni uchaa baridi

    Uongozi ni busara na hekima, ni kupanga na kuongoza, uongozi ni ulezi (guiding) uongozi ni taswira ya sehemu unayoiongoza. Uongozi ni ku-control hisia, uongozi ni utulivu wa mwili na akili, uongozi ni kuongea kidogo vitendo vingi. Nchini Kuna taasisi kibao zimepoteza direction sababu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mama yangu nilikuwa namtumia hela kwaajili ya ujenzi wa apartment, lakini pesa alikuwa anazikopesha vikoba

    Nimekaa Oman kwa zaidi ya miaka 11 bila kurudi Tanzania, nikifanya kazi za ndani. Baadaye nikapata ajira nzuri zaidi kwa bahati nzuri kipato changu kikafika hadi takribani milioni 5 za Kitanzania kwa mwezi. Kutokana na juhudi hizo, nikaamua kuanza kujenga maisha ya baadaye. Nikamtumia mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…