ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maiti 59 zilizozikwa kwa kukosa ndugu Serikali yatoa taarifa

  2. JamiiForums Tanzania Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu

    Kutokana na maiti kukosa ndugu wa kuzipa heshima ya mwisho, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imezika jumla ya maiti 59 zilizopokelewa katika kipindi cha Januari hadi Desemba 19. Mapema mwezi huu, gazeti hili liliibua sintofahamu ya miili 19 iliyokuwa imekosa ndugu hivyo kutakiwa kuzikwa kwa mujibu...
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Dodoma naomba mualiko Christmas hii

    Ndugu zangu kulingana na huu ukata wa maisha nimeshindwa kuambatana na ndugu zangu kuelekea mgombani kula sikukuu naombeni nyinyi mlioko Dodoma mnialike nije kula ubwabwa.
  4. JamiiForums Tanzania Kama una ndugu yako amekufa lakini bado anaishi njoo hapa

    Kuna watu wana ndugu zao wanaishi nao Majumbani lakini tiyari wamekufa Je, mnajua mnabidi kufanya nini?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kurudia mtihani wa o level nikiwa nipo chuo

    NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje. Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza...
  6. JamiiForums Tanzania Mwambieni Katelephone, bahari hii siyo ile. Hii hawahitajiki samaki wenye meno ni ama ayang'oe au ajifanye hana!

    Nadhani tunaelewana kwamba kwenye ukumbi huu dj ni mmoja TU! Na muziki unaotakiwa kuchezwa humu ni taarabu TU au mziki wowote wenye mahadhi ya kingazija! Haiitajiki kelele au kutupatupa mikono ama kuruka majoka. Ma dj wetu kutoka bara wamechemka wakapigwa benchi, si mnamkumbuka lukuvo na...
  7. JamiiForums Tanzania Mke hataki ndugu zako, utafanyaje?

    Leo naomba mumsaidie rafiki yangu kumshauri, mimi ni nimeshashauri kwa upande wangu lakini nataka kuona fikra za watu zaidi. Jamaa ana mke na watoto, hivi karibuni kaka yake alipoteza kazi ndugu wakamuomba asaidie kulea mtoto mmoja ambaye alikuwa kidato cha pili. Jamaa alimshirikisha mke wake...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Sugu 2025 tumia bajeti ya kile unachoweza kuhimili ukipoteza

    Ndugu yangu sugu mwaka 2025 usipoteze pesa nyingi kwenye kampeni, maana uwezekano wa kupita ni finyu sana kutokana na maendeleo anayoyaleta Dr.Tulia.Mfano bara bara,vijana na akina mama kupewa mitaji n.k.Pona pona yako ni kuundwa kwa jimbo jipya la uchaguzi la uyole.Hakuna haja ya kukasirika ni...
  9. JamiiForums Tanzania Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

    Baadhi ya nukuu za Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza kwenye kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TVE na EFM Radio leo Oktoba 17, 2022. Kuhusu kutishiwa Bastola Anaamini kuwa lilitokea kwa kusudi maalumu, na lilileta mafunzo makubwa kwake, waliopanga...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta ajira ndugu zangu

    Umri: 38 years Elimu: Kidato cha sita na computer course. Uzoefu: Ualimu wa computer na kazi ya Patron shule ya sekondari. Uwezo: kufundisha computer, kiingereza na kazi za malezi kwa vijana na wanafunzi. Makazi: Dar es Salaam OMBI: NATAFUTA KAZI YOYOTE HALALI, MASHULENI NA MAOFISINI PIA...
  11. JamiiForums Tanzania CCM na RPF ni vyama ndugu tangu lini?

    Nijuavyo mimi RPF kimepindua kuingia madarakani, CCM ilishiriki vipi kwenye mapinduzi ya Kagame hadi CCM kuvialika RPF na CNDD-FDD? Chama cha mambuzi bhana!!!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonyesha wanawake wanaopata mimba kutoka kwa ndugu wa damu, wao na watoto wao wanatengwa

    Tafiti zinaonyesha Wanawake wanakosa uamuzi wa kuendelea kulea mimba isiyotarajiwa hasa zile zitokanazo na maharimu (kujamiiana na ndugu wa damu) kwani jambo hili halikubaliki na jamii nyingi za Kiafrika. Pia watoto waliopatikana kwa mazingira haya hutengwa na kubaguliwa (Rosemary B. &...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

    Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa (PhD) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu, seriously kabisa. Kuna sauti kila siku haiishi kuniambia kuwa mke niliye nae sio!

    Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu...
  15. JamiiForums Tanzania Ripoti UN: Wanawake 17,200 wameuawa na wapenzi na ndugu zao mwaka 2021 Afrika

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Madawa na Uhalifu (UNODC) na UN Women imesema Afrika ina kiwango kikubwa cha unyanyasaji dhidi ya Wanawake ikilinganishwa na idadi ya Wanawake wote. Kwa mujibu wa Ripoti Wanawake 5 wanauawa kila saa, na kwa mwaka 2021, karibu Wanawake na Wasichana 45,000 duniani...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mtu kunidhamini nipate kazi GardaWorld Security

    H
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia ulikosea sana kumtumbua Tito Mwinuka

    Kwanza ulidanganywa na kaka zako, pili ukadanganywa na para maji, ukaingia kingi kutuonesha umwamba wako. Sasa yamefika shingoni, kwa taarifa yako makusanyo ya mwezi huu huko TRA yatashuka kwa zaidi ya 20% utaambiwa na wawekezaji kuwa gharama za uzalishaji kwa mwezi huu zilikuwa juu kutokana na...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu Nape Nnauye umeona kombe la dunia ndiyo kipaumbele kuliko matatizo mengine?

    Ewe bwana mdogo nape, nimeiona kauli Yako juu ya malalamiko ya watu juu ya uonyeshwaji wa kombe la dunia Sasa wakati tunalalamika na vifurushi Kwa Zaidi ya mwaka mzima hujatoka hadharani kukemea. Msitufanye kama watoto wadogo, kutupa makopo tuchezee huku mnapiga madili. Acheni kabisa hizo...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaomkwamisha Rais wanaanza kujulikana

    Unaona tu jinsi ambavyo Rais anapambana. Hatulii nyumbani. Akitafuta pesa. Ila kuna watu watakuwa wanamkwamisha. Uongo? Ukikaa ukatizama utaona kuna watu wanampotosha sana Rais. Wanamdanganya jinsi wanavyojisikia wao. Anytime anything.
  20. JamiiForums Tanzania Mume wangu hapendi ndugu zangu

    Habari wakuu, nahitaji ushauri, Mimi ni binti nimeolewa naishi na familia, mume wangu pamoja na mdogo wangu wa kike. Tatizo ni kwamba mume wangu amekuwa na kisirani sana juu ya huyu mdogo wangu wa kike. Kila anachofanya lazima mwanaume alalamike. Na wala sijawahi kuwa na mawazo labda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…