Ndugu zangu wa JF, mmekula mpaka mmevimbiwa!

Ndugu zangu wa JF, mmekula mpaka mmevimbiwa!

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
5,759
Reaction score
7,573
Ndugu zangu, nimefanya bidii mchana na usiku, kuwapa chakula kitamu mfululizo. Naona mmekula mpaka mmevimbiwa! Kwa sababu hiyo, naomba nisitishe tena kwa muda kuandika mada hapa JF, nipate nafasi ya kujiandaa kwenda kugawa chakula katika maeneo mengine ya dunia. Lakini kabla sijaondoka, nitakuwa na siku mbili tatu za kujibu maswali na comments za watu walioshindwa kuelewa faida za chakula nilichowapa.

Asanteni sana, mliofurahia chakula nilichowaandalia. Na wale mliochukizwa na "menu" nawashukuru pia kwa kuonja!

As I remain briefly to address your sincere inquiries, may divine light sharpen your discernment and peace steady your soul. Until my full departure, I am at your service.
 
Mbona ulikuwa unatupa chakula kichungu?
Najua, sio wote wanapenda samaki. Ndio maana nimesema, nawashukuru hata wale ambao hawajafurahia "menu" kama wewe, uliyeonja na kuona uchungu!
 
Ndugu zangu, nimefanya bidii mchana na usiku, kuwapa chakula kitamu mfululizo. Naona mmekula mpaka mmevimbiwa! Kwa sababu hiyo, naomba nisitishe tena kwa muda kuandika mada hapa JF, nipate nafasi ya kujiandaa kwenda kugawa chakula katika maeneo mengine ya dunia. Lakini kabla sijaondoka, nitakuwa na siku mbili tatu za kujibu maswali na comments za watu walioshindwa kuelewa faida za chakula nilichowapa.

Asanteni sana, mliofurahia chakula nilichowaandalia. Na wale mliochukizwa na "menu" nawashukuru pia kwa kuonja!

As I remain briefly to address your sincere inquiries, may divine light sharpen your discernment and peace steady your soul. Until my full departure, I am at your service.
Mimi sijavimbiwa
 
Mtumishi Setfree Mungu akubariki.

Na Pale utakapohitajika hasa kujibu baadhi ya hoja basi usisite kutoa ushirikiano.
 
Hakuna kitu cha maana ulichotufundisha na hujawahi toa majibu ya huyo Mungu wako alitoka wapi!!
 
Mental case is real..
While the actuality of psychological aberrations, commonly termed mental cases, is not in dispute, it is intellectually precarious to hastily conflate manifestations of divine ecstasy with pathological derangement. As the apostle Paul articulates with unapologetic clarity: 'If we are beside ourselves, it is for God; if we are of sound mind, it is for you.' (2 Corinthians 5:13). Therefore, what may appear as cognitive dissonance to the carnal eye might, in the economy of Heaven, be the sacred overflow of a mind captivated by the ineffable majesty of the Divine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom