Muwasho wa mwili unanitesa, msaada ndugu zangu

Muimba SINGELI

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
4,211
Reaction score
10,864
Asubuhi nikiwa baharini kwenye shughuli zangu nilipatwa na kiwashi, ni kiwashi cha rangi ya njano ambacho hujificha kwenye mwani wa bahari.

Nimeenda Duka la dawa nikapewa dawa aina tatu zote nimeanza kutumia mchana lakini hakuna hafadhali maumivu ndiyo yanazidi (hasa huu usiku) mwili unawasha na kuchomachoma kwa wakati mmoja.
Hakuna njia ambayo naweza kuitumia kutobu hii wakuu?

Hapa penyewe najinyonga nyonga na kujiwasha na sijui nafanya nini.

Mshana Jr Harmful Dogoli kinyamkela na wengine wote msaada tafadhali.
 
Hutaki kwenda Hospitali?
Nataka mkuu, nimeuliza tiba ambayo naweza kuitumia hata kutuliza maumivu huu usiku, maana nilipo kwa sasa ni usiku sana na zilipo hospitali ni mbali mkuu.
Naweza kwenda kama nakosa njia kabisa.
 
Asubuhi nikiwa baharini kwenye shughuli zangu nilipatwa na kiwashi, ni kiwashi cha rangi ya njano ambacho hujificha kwenye mwani wa bahari.

Nimeenda Duka la dawa nikapewa dawa aina tatu zote nimeanza kutumia mchana lakini hakuna hafadhali maumivu ndiyo yanazidi (hasa huu usiku) mwili unawasha na kuchomachoma kwa wakati mmoja.
Hakuna njia ambayo naweza kuitumia kutobu hii wakuu?

Hapa penyewe najinyonga nyonga na kujiwasha na sijui nafanya nini.

Mshana Jr Harmful Dogoli kinyamkela na wengine wote msaada tafadhali.
Pole sana mkuu kwa Hali unayo pitia.

huduma ya haraka ya kwanza

Usijikune sana – kukojoa au kuchoma ngozi zaidi kunafanya sumu ienee.

Osha eneo kwa maji safi ya bahari (sio maji ya bomba mara ya kwanza, maana maji freshi huweza kulipua zaidi sumu iliyo kwenye ngozi).

Ondoa mabaki – kama kuna nyuzi ndogo za kiumbe (tentacles), toa kwa kutumia kidole kilichofunikwa au kitu butu (sio mkono wazi).

Tumia siki (vinegar) – paka kwenye eneo lililoumizwa, husaidia kuvunja sumu za viumbe wengi wa baharini.

Kama huna siki, unaweza kutumia maji ya limao kama ziada au mbadala.

Wacha nikupe Tiba asili za nyumbani

Majani ya aloevera: paka gel yake mara kwa mara, hupunguza kuwashwa na kuponya haraka.

Majani ya mwarobaini (neem): saga na paka juu ya sehemu iliyoathirika, hupunguza muwasho na sumu.

Maji ya chumvi kidogo yenye uvuguvugu: loweka kitambaa na pakia eneo husika mara kadhaa, hupunguza muwasho.

Mafuta ya nazi baridi: paka usiku, hupoza ngozi na kuzuia kuchomachoma.

Ikiwa ugonjwa au muwasho umefikia stage hii NENDA hospitali mara moja

Ikiwa:

Mwili wote unaanza kuwasha na kupata vipele vingi sana.

Unaona uso au koo linaanza kuvimba / kupumua kwa shida.

Maumivu yanazidi sana hata baada ya kutumia tiba za haraka.

Hizi ni dalili za allergy kali (anaphylaxis), sumu kuenea – zinahitaji matibabu ya hospitali haraka.

👉Ila Kwa sasa, jaribu hatua za kwanza (kuosha kwa maji ya bahari, kutumia siki/limao, kisha paka aloe vera au mwarobaini). Pia acha dawa ulizopewa zifanye kazi, usiache ghafla, utapata nafuu ama kupona kabisa.
 
Asante mkuu, ni mwili mzima unawasha na kuchoma, hautoi upele. Nutaenda zahanati asubuhi.
 
Asubuhi nikiwa baharini kwenye shughuli zangu nilipatwa na kiwashi, ni kiwashi cha rangi ya njano ambacho hujificha kwenye mwani wa bahari.

Nimeenda Duka la dawa nikapewa dawa aina tatu zote nimeanza kutumia mchana lakini hakuna hafadhali maumivu ndiyo yanazidi (hasa huu usiku) mwili unawasha na kuchomachoma kwa wakati mmoja.
Hakuna njia ambayo naweza kuitumia kutobu hii wakuu?

Hapa penyewe najinyonga nyonga na kujiwasha na sijui nafanya nini.

Mshana Jr Harmful Dogoli kinyamkela na wengine wote msaada tafadhali.
Wacha kupotosha, ugonjwa wazina huo, nenda dukani kanunue SCABOMA( unapaka 24hrs, nguo zako zote na mashuka fua na chemsha).

Hiyo inaitwa SCABIES
 
Back
Top Bottom