Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.
Habari wakuu,
Huwa napenda kutoa baadhi ya matukio ya maisha yangu ili kupata ushauri na pia kama rejea au funzo kwa watu wengine katika jamii au jf
Kuna kipindi nilikuja humu kuomba ushauri wa namna ya kuifanya familia yangu kuwa familia kubwa yenye kuigwa, nashukuru nilipata ushauri na...
Habari zenu ndugu zangu, Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S anisaidie ndugu zangu.
Nina miaka 29
Nina mafunzo ya JKT - Miaka miwili (volunteer).
Uwezo wa kutumia silaha.
Elimu - Shahada ya kwanza
Nazungumza Kingereza fasaha.
Uzoefu wa...
Samia anasema tuna undugu na Waarabu; lakini ni tangu lini tumekuwa na undugu na Waarabu? Kwahiyo hapa anataka kusema kwamba amewapa waarabu wawekeze kwasababu ni ndugu zake!? Kwanini Rais wa hii nchi akili zake zimejaa undugu na nepotism kwenye kufanya maamuzi ya msingi ya nchi !?
Hafai kuwa...
MAMA YETU GWAJIMA
SHIKAMOO POPOTE ULIPO
KWANZA NIKUTAKIE HERI YA SIKUKUU YA WANAWAKE BORA KTK NCHI HII KUTOKEA UONGOZINI
NISIKUCHOSHE NAJUA UKO KTK SHAMRA SHAMRA BADO TUNAOMBA MSAIDIEN HUYU MDADA MJANE
MUMEWE KAFIA..NDUGU WAMEPORA HELA ZA MCHANGO NA SASA WANAPORA NA MADUKA NA NYUMBA
MBAYA...
Dah, nipongeze utaratibu wa baadhi ya kampuni zinazotoa huduma za kadi
Zaidi wewe uliyelipia hela ndefu kupata kadi hiyo.
Ukweli nimewaza sana, hivi hawa wamiliki wanakufaga kweli? Ama ndugu zao wanakufaga?
Mbona gharama kubwa sana aisee, kama vile hawaoni pepo.
Embu kaeni chini mjadiliane...
Yangu ni hayo tu, leo sijisikii kuandika gazeti kubwa la Serekali kwa mada za kueleweka km hizi ili nikuchoshe sio vizuri kabisa mimi sihitaji kukuchosha mkuu, nimejisikia kukukumbusha tu.
Sasa wewe kaza hilo shingo lako tegesha hilo fuvu usitafute hela halafu uone km kuna ndugu atakutembelea...
Habari ya asubuhi wadau.
Tafadhali nahitaji msaada wa kufahamu wapi ninapoweza kupata Daktari bingwa mzuri wa magonjwa ya wanawake (Gynaecologists) , either ana hospitali binafsi , Polyclinic au anahudumu katika hospitali binafsi au serikali. Nikipata Jina au hata mawasiliano yake nitashukuru...
KWA MUJIBU WA DINI ZOTE TULIZOLETEWA; HAKUNA DHAMBI WALA KARMA KUMTENDA UBAYA MTU ASIYEJAMII YAKO, NDUGU YAKO. WAAFRIKA TUACHE KUAMINI KWENYE UJINGA.
Anaandika, Robert Heriel
Yule Kuhani Katika Hekalu Jeusi.
Mtibeli.
1. Leo nitafundisha self awareness. Ili watu waache kujidanganya.
2...
Huu mwezi wao yani hawa ndugu zetu mida ya mchana vinywa vyao vinatema balaa. Hasa wakipiga mihayo utadhani chemba imetema.
Ni vizuri kutumia barakoa sehemu walipo wengi.
Siyo sifa mdomo kunuka. Eti wenyewe kinywa kikinuka hivyo ni sifa eti kafunga.
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi za kiislamu kukuta wanapiga marufuku watu kula chakula hadharani wakati wa mfungo wa Ramadhan ata kama sio Waislam
Wengine hukumbana na adhabu Kali wanapokamatwa wakila chakula
Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo;
1; Je ninyi wenzetu hamuwezi kufunga Hadi...
Kuna hii tabia ya baadhi ya watu wakipewa hela na ndugu,jamaa au wapenzi ,wawasimamie ujenzi sababu wao wapo nje ya mkoa au nchi wao wanakula hela zao na hakuna wanachokifanya
Mwezi umeandamana! Hapo zamani lilikuwa ni tukio kubwa sana.. Maendeleo ya tech na siasa za dunia yamefubaza vingi
Huu ni mwezi wa toba, kujitafakari na kuwa karibu zaidi na Mola
Hizi funga za dini mbili huwa kuna wakati zinaenda pamoja. Kwa mfano Leo ni Jumatano ya majivu kwa Wakristo...
Siku ya 5 hii nipo South Africa.... Daaaah.... Kuna mitoto imeumbika huku wallah.... Ina neema za Allah... Yaani nikitembea shingo feni macho mia mia. Wallah mabata ushungu...! Nlitamani niishi huku. Hawa watakuwepo nao peponi?
Mitoto ina maumbo teke teke na ina rangi ya mtume... Hatari sana...
Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria.
linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi.
Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani?
Je wale tusiokuwa na uwezo wa kumobilize waombolezaji mahakamani tutapata haki?
Samia to the World!!!!!
Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS.
Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi...
Habari JamiiForums
Siku zinakimbia, miaka inageuka, na umri unasogea.
Nakumbuka ni kama juzi tu Mh. Lowasa alivyotikisa Tanzania kwenye kampeni za Urais 2015.
Ni kama juzi tu tangu hayati Magufuli na itikadi zake, pamoja na misimamo mikali kwenye uongozi.
Miaka inakimbia, watu waliozaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.