ndugai

  1. Kwa sasa mwanasiasa mwenye nguvu hapa Tanzania ni Job Yustin Ndugai ukimya wake unakishindo kikubwa sana tusubiri!

    Huyu ni mtu kweli kweli ! Ameamua kufunika kombe ,haongei chochote na hachangii chochote ,amefumba kinywa ! Fisi wanajua wamemkomoa na Kuna wengine wanaona kama amekuwa failed! Huyu mtu hata wabunge wanamwita baba ! Kokote alipo asikubali 2025 kukaa kimya tutampeleka ikulu saa 2 asubuhi
  2. Kwa heshima na taadhima, Job Ndugai naomba unisamehe!

    Ulipoongea suala la nchi kupigwa mnada, kuuzwa vipande yawezekana nilikudharau, nilikukejeli, nilikutukana, nilikuona huyu ni masalia ya Jeshi la mtu mmoja JJPM. Siku unadharaulika mbele ya kamera za waandishi nilichekelea sana na kusema ndiyo dawa yenu watu wa kariba yako wasiompenda mama...
  3. Ndugai aliona mbali sana japo alipuuzwa lakini muda utaongea

    Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganiwa hii nchi, wachina wanatudai, wahindi, wakorea, wamarekani, waingereza, wajerumani😂😂😂 siku wakija kutudai lazima...
  4. M

    Nimemuota Ndugai kashika daftari la kijani anaandika summary

    Nawasalimu katika jina la Bwana,Muumba mbigu na nchi na vitu vyote vilivyomo,vinavoonekana na visivoonekana. Ndugu zangu,ktk fumbo ambalo mwenyezi Mungu katuwekea basi ni usingizi,iwe tajir au masikini,Mtawala au mtawaliwa wote tunapokuwa ktk usingizi huwa tupo ktk Hali ya kutojua chochote...
  5. Ndugai: TANESCO ni kikwazo kikuu kwa maendeleo ya Watanzania

    Spika aliyeondolewa kwa uonevu ndugu Job Yustus Ndugai amelitupia lawama Shirika la umeme la Tanzania kwa kuwa ndilo hasa linalo kwamisha maendeleo ya Watanzania kwa desturi yake ya kukata umeme hovyo hovyo. ----- Spika wa Bunge Mstaafu Job Ndugai, ameitaka Serikali kuboresha taratibu zake...
  6. D

    Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

    Kwa hali inayoendelea na kwa uzoefu wa mambo ya bongo yetu soon makonda atakula teuzi, naona kabisa kuna upande unamuhitaji kwa kudhani anaweza kuwa msaada kwao, haihitaji kuwa kwenye system kuijua bongo yetu.
  7. M

    Je, Spika mstaafu Job Ndugai, ana sifa ya kugombea kuwa Rais wa Tanzania 2025?

    Nimejaribu kufuatilia msimamo wa Job Ndugai ni kama wa JPM, ni mzalendo na hapendi Nchi kuombaomba misaada au kukopa sana kutoka nje, badala anapenda kujitegemea. Natafakari kama CCM itampitisha kugombea Urais 2025, je ana sifa ya kuwa Rais wa Tanzania?
  8. Ukiistaajabu ya Job Ndugai utayaona ya TEC

    Watanzania tumekuwa wagumu sana wa kujifunza kutokana na historia, nakumbuka namna job ndugai alivyokodishiwa wahuni kumtukana na mpaka kujiuzulu kisa kasema nchi inauzwa, tumekuja kugundua badae sana maana ya kauli yake. Hata huku kusakamwa kwa TEC wala sishangai ni akili za watanzania za...
  9. Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

    "....Kwenye negotiations tukae vizuri watanzania. Yako mambo ambayo lazima upeleke 'brains' zako. Siyo unapeleka Senior mwenye 'gentleman degree' na form four alipata 'makarai' matupu, ataenda ku-negotiate nini? Haiwezekani" -Kaveli-
  10. N

    Job Ndugai alisema itauzwa. Tusibiri kinachofuata baada ya bandari na Loliondo

    Spika aliyelazimishwa kustaafu kwa kusema ukweli au kutabiri yajayo akalazimishwa kustaafu chini ya mtutu wa Bunduki. Haya bandari tushauza. Ngoja tukauze na shamba letu la Bagamoyo
  11. Spika Tulia Ackson, ninakukumbusha kuwa siku inakuja aibu yako itakufunika

    Kazi ya Spika wa bunge la JMT ni kuongoza mijadala ya kuisimania serikali kama mhili unaojitegemea. Bunge ni uwakilishi na sauti ya wananchi dhidi ya serikali. Inasikitisha sana wewe Spika Tulia Aksoni umegeuka sehemu ya kuitetea serikali kwa nguvu zako zote. Umepoka nafasi ya Waziri mkuu...
  12. Rubber stamp parliament linakwenda kuziuza bandari za Tanzania kwa mafisadi. Kama lingekuwa na sauti Lisingekubali Ndugai kuvuliwa uspika.

    Hili sio bunge bali ni rubber stamp ya mkuu wa nchi. Kwani Ayubu Ndugai kama mkuu wa mhimili wa Bunge alifanya kosa gani kupinga mikopo ya hovyo iliyojaa ufisadi? Tulitarajia bunge Makini liseme ukweli kuwa kukopa hovyo na huku serikali ikikusanya kodi na tozo kamdamizi lukuki ni upuuzi...
  13. Tulimsuta Ndugai akaomba radhi na kulazimishwa kujiuzulu. Leo mnalia nini?

    Leo ni michano Kuna watanzania ni machiriku wa kuongea. Wanaongea bila hata kujua maana ya wanachokiongea. Desemba 28 2021 Spika wa Bunge Ndugai alikosoa kasi ya ukopaji inayofanywa na serikali akitoa tahadhari kuwa kuna siku nchi itakuja kuuzwa. Wakali wa verse wakalipuka kuwa anaisaliti na...
  14. Ndugai amtaja Malecela kujiuzulu kwake

    Dodoma. Zikiwa zimepita siku 496 tangu Job Ndugai ajiuzulu uspika wa Bunge, amesema Waziri Mkuu mstaafu, John Malechela ndiye alimshawishi kuchukua uamuzi huo. Alitoboa siri hiyo jana katika mazishi ya William Malecela, maarufu ‘Le Mutuz’, mtoto wa Malecela, yaliyofanyika Mvumi, wilayani...
  15. Ndugai: Mzee Malecela alinitaka nijiuzulu u-Spika haraka; nikajiuzulu

    ".... Mapema January mwaka jana, mzee wangu Malecela alifika nyumbani kule Kongwa usiku nisivyotarajia na isivyo kawaida. Akataka chai ya rangi huku akinieleza ALIKUJA KAMA KAKA NA ANADHANI KESHO NIJIUZULU USPIKA na mimi nilikubali na AKANITAKA NISIKOSE KUJIUZULU HIYO KESHO ASUBUHI na mimi...
  16. T

    Job Ndugai aliachia kiti kwa ubashiri wake tu! Huyu aliyepo anashirikiana na wezi? Basi ang'olewe haraka sana!

    Nina imani na wabunge wazalendo walioko Bungeni ambao hawana hatia juu ya ubadhirifu ulioibuliwa na CAG, hawaungi mkono mafisadi kupewa miezi sita ili hatua kuchukuliwa! Lakini pia, Karibu 90% ya wananchi hatuungi mkono hoja ya mh Sipika kuyapa miezi sita majambazi ya CCM Kipindi cha...
  17. Uhasama wa Mbowe na Ndugai ulianzia Kibaha Secondary

    Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary. Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere. Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo. Kuna...
  18. Job Ndugai: Anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye

    Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma...
  19. Job Ndugai: Wananchi waache kulalamika badala yake wafanye kazi kwa bidii na kujiletea maendeleo

    Mbunge wa Kongwa na Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai amewataka wananchi kufanya kazi kwa bidii na kujiletea maendeleo badala ya kutumia muda mwingi kulalamika. Akizungumza wakati wa mkutano wa baraza la madiwani kujadili bajeti ya Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (Tarura), Wilaya ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…