ndugai

  1. Just Pray

    Chanzo cha kifo cha Job Ndugai ni Shinikizo la damu kushuka sana, iliyosababishwa na maambukizi makali kwenye mfumo wa hewa

    Wakuu Akisoma wasifu wa Marehemu Job Ndugai, Katibu wa bunge ameeleza kuwa chanzo cha kifo ni Shinikizo la damu kushuka sana, hali iliyosababishwa na maambukizi makali kwenye mfumo wa hewa. “Kwa mujibu wa taarifa ya madaktari, Marehemu Ndugai ame-fariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kutokana...
  2. McLaren

    Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa spika mstaafu wa bunge hayati Job Ndugai

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/909l2HQbu64?si=zVs8a4iuk4a2mUUM
  3. Just Pray

    Simbachawene: Job Ndugai atakumbukwa kwa usimamizi wa sheria na Mageuzi makubwa katika jimbo lake la Kongwa

    Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma, George Simbachawene, amesema kuwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Ndugai, atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika kusimamia utungwaji wa sheria ya Makao Makuu ya nchi yaliyopo Dodoma. Akizungumza katika...
  4. DR HAYA LAND

    Mke wa Ndugai hayupo sawa asaidiwe naona amepata hofu kubwa sana .

    Nimetazama Clip ya Mke wa Ndugai . Nimeona anahitaji msaada wa karibu wa kiroho na kisaikolojia. Msipuuze ujumbe huu watu ambao mpo Karibu na huyo mama. Kuna kitu anapitia ambacho either kinampa fear of unknown na kumpa guilty.
  5. Mkalukungone Mwamba

    Mke wa marehemu Ndugai akanusha vikali barua inayosambaa mitandaoni ikidai amejiuzulu nafasi ya katibu Tawala Singida

    Mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, ambaye pia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Dkt. Fatma Mganga, amekanusha vikali barua inayosambaa mitandaoni ikidai amejiuzulu. Amesema barua hiyo haina ukweli wowote na si yeye aliyeiandika, akibainisha kuwa kwa sasa familia ipo kwenye...
  6. Beira Boy

    Mwili wa Yustino Nduga wafika nyumban kwake dodoma, kuagwa kesho bungen dodoma na kupelekwa kuzikwa kongwa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Mwili wa aliyekuwa spika msatafu wa bunge la Tanzania umewasili leo nyumban kwake dodoma, huku vilio vikitawala zaidi Apumzike kwa aman =============== Vilio na simanzi, Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Mwigulu: Ndugai alihimiza ulipaji kodi

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba, Jumamosi ya tarehe 09 Agosti 2025 amefika nyumbani kwa marehemu Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, eneo la Njedengwa jijini Dodoma, kwa ajili ya kutoa pole na kusaini kitabu cha maombolezo. Soma Pia: Job Ndugai...
  8. Benson Mramba

    SI KWELI PreGE2025 Mke wa Ndugai amejiuzulu utumishi wa Umma

    Naomba kujua kama ina ukweli wowote hii.
  9. Beira Boy

    Dkt Nchimbi afika msibani kwa Job Ndugai ampa pole mke wa marehemu Dkt. Fatma Mganga

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU ============= Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa pole kwa Dkt. Fatma Mganga, ambaye ni mjane wa Mhe. Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipofika...
  10. JanguKamaJangu

    TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Aliyewahi kuwa Spika na aliyekuwa Mbunge wa Kongwa, Job Yustino Ndugai amefariki Dunia, leo Agosti 6, 2025, taarifa ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Dkt. Tulia Ackson imeeleza kuwa msiba umetokea Dodoma Dkt. Tulia amesema Ofisi ya Bunge...
  11. ngara23

    CCM kutoa form ya Urais kabla ya kumpumzisha Ndugai ni kutoka na utu na aibu

    Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana...
  12. mdukuzi

    Hekalu la Job Ndugai kweli siasa inalipa, nimejiona masikini kweli

    Zamani nikijua bado yuko Area C Kumbe alishahama Hekalu jipya lina hadi round about Kama siasa zinalipa hivi wataendelea kututeka mpaka kiama
  13. Manyanza

    Video: Kauli ya majivuno ya Marehemu Spika Job Ndugai ndani ya Bunge

    Wakuu hii video Nimeiona Instagram huko kwa kweli imenisikitisha sana, hivi kwanini watu wenye vyeo na mamlaka huwa wanageuka kuwa miungu watu? Nimepata mfadhaiko na kicheko cha uchungu kwa hii kauli ya huyu marehemu. Tuishi vyema hapa Duniani ni pa kupita tu
  14. Fanfa

    Polepole: Kujitokeza hadharani kwenda kumzika rafiki yake Ndugai?

    Siku za hivi karibuni Ndugu Humphrey Polepole amejinasibu kuwa alikuwa na ukaribu sana na ndugu Ndugai na kwamba kuna nyakati walikuwa wanaitana wanashauriana mambo ya sirini. Na hata Ndugai aliposhinikizwa na Bi. Mkubwa ajiuzuru, waliwasiliana na wakapanga mipango ya kuzungumza sirini akienda...
  15. SSH2025_2030

    Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Ndugai

    Tunasisitiza tena. Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Mheshimiwa Dr Ndugai. Wasije kuvuruga Amani
  16. DuaZaMama

    Rais Samia atumia dakika moja kwaajili ya kumwombea aliyewahi kuwa Spika wa bunge Job Ndugai

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa daikika moja yakumwombea aliyewahi kuwa spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyefariki dunia Agosti 6, 2025, Rais Samia maefanya hivyo leo Agosti 8, 2025 katika maadhimisho siku ya Wakulima dunia (NaneNane) ynayofanyika...
  17. Nucky Thompson

    Mke wa Ndugai aliyeteuliwa na Magufuli kuwa Mkurugenzi anaitwa nani?

    Rais wa Awamu ya 5 John Magufuli alimteua mke wa John Ndugai kuwa Mkurugenzi japo nimesahau ni Halmashauri IPI Napenda kufahamu ni make yupi kati ya hawa wawili Fatma na Mary ambao kumezuka mtafaruku yupi ni mke halali zaidi ya mwingine
  18. Zanzibar-ASP

    Mafao ya ustaafu wa Ndugai yaende kwa mjane yupi? Hizi ni kodi zetu, hatutaki kuwalipa mahawara au watu wasiostahili

    Sheria za kindezi zilitungwa kuwanufaisha wenzi wa viongozi wa juu wa nchi pale viongozi wale wanapokufa. Sasa ngoma imeanza kuwa nzito baada ya kifo cha Ndugai, na kuibuka kwa wajane wawili tofauti. Mjane wa kwanza, anahamika kama Stella Mmasy, ikielezwa ni mke wa kwanza wa ndoa ya kikristo na...
  19. GENTAMYCINE

    Nataka kwenaa kutoa Pole kwa Familia ya Job Ndugai je, niende kwa Mjane Stellah au niende kwa Mjane Fatuma?

    Ukijijua huna IQ ya Kuuelewa huu Uzi na kunielewa Zanaki, Yao na Tutsi Genius tafadhali achana naa endelea na yako tu.
  20. L

    PICHA: Huyu hapa ndio Binti wa kwanza wa Ndugai. Aumizwa sana na wanaomsema vibaya Mitandaoni baba yake

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu ndiye Binti wa Kwanza wa Mheshimiwa Jobu Ndugai ambaye amefariki Dunia hapo Siku ya Jana. Embu soma kama ilivyo. Mimi nimeichukua kama picha ila ni Video ya Dakika saba binti Wa Marehemu Ndugai akielezea kwa hisia kali sana na uchungu sana juu ya kifo cha Baba yake...
Back
Top Bottom