ndugai

  1. B

    GE2025 Wajumbe wamtaka Ndugai ampumzike

    Wajumbe wamemchoka ndugai jamani, wanataka wamsaidie kwa lazima apumzike! Wamechoka kupata mtu yule yule kila siku, wanataka sura mpya yenye mawazo mapya! Mjumbe alipopata nafasi ya kuuliza swali yeye alisema hana swali bali ana ushauri na kuwaomba wajumbe siku ya kupiga kura wakamsaidia...
  2. R

    Job Ndugai, unagombea ubunge Ili iwe Nini?

    Salaam! Kuna Nafasi ipi ya juu bungeni ambayo hukuifikia ambayo inakupa ujasiri wa kugombea Tena ubunge? Kwanini usitafute changamoto nyingine? Tafadhali sana nakusihi , achana na harakati hizo kuepuka hizi aibu ndogo ndogo. Swali: Unagombea ubunge Ili iweje? Nawasilisha 🙏
  3. Mmawia

    GE2025 Job Ndugai akataliwa hadharani, wajumbe wamwambia apumzike sasa

    Jobu NDUGAI ameonja joto ya jiwe kutoka jimboni mwake huko kwao. Naamini huu itakuwa ni mfano mzuri sana kuigwa na wapiga kura na wajumbe hapa nchini. Sikikizeni hali ilivyokuwa mbele ya NDUGAI.
  4. T

    Alianza Ndugai badae Dr slaa akafuata Lisu mara Gwajima kisha Mpina na sasa pole pole kwenye zile 4r hii ni style iko 4 ya ngapi!?

    Inavyoonekana kila mtu anayempinga raisi wetu hana budi yatamkuta ya kumkuta. Hao hapo ni baadhi tu ya majina ya watu waliokutana na dhahma kama matokeo ya kupingana na mawazo ya mama. Kwa bahati mbaya hana muda wa kujibu hoja watu wakitoa hoja yeye anakimbilia kuwashughulikia. Jazba mihemko...
  5. The Khoisan

    Ndugai, Majaliwa na Mpango wamepigwa bao na Polepole

    Sasa ni rasmi kuwa Ndugai, Mpango na Majaliwa wote walipigwa boot. Swali langu kwa nafadi zao ilikuwaje hawakuliona hili mpaka wamexifiwa na bwana mfogo tu Polepole. Su walilewa madaraka wakadhani wamefika? Hii timing ya Polepole imeonyesha kijana ana akili kuliko hawa Wazee. In fact watu wa...
  6. The Supreme Conqueror

    Ndugai kuhusu Gwajima alikuwa mbele ya muda?

    Wakuu nimekumbuka hili sekeseke “Kuhusu Gwajima sisi hapa hatujamshitaki kama Askofu, tumemshtaki kama Mbunge Gwajima, habari za Uaskofu wake ni hukohuko, unaweza ukawa Askofu halafu kama wenzako hawaelewi Dini sio hivyo hayo ni macho ya Makengeza Watu ni Waumini sana” “Mimi ni Mzee wa Kanisa...
  7. Nyani Ngabu

    Standing on business: Gwajima usiwe kama Ndugai!

    Mpaka leo sijaelewa kwa nini Spika wa zamani Job Ndugai aliomba radhi na baadaye akajiuzulu uspika baada ya kutoa maoni yake kuhusu madeni ya nchi. Yote aliyoyazungumzia Ndugai yalikuwa ni halali kabisa. Lakini akaja kuomba radhi na hatimaye kujiuzulu uspika kana kwamba alikosea. Leo kuna...
  8. Inside10

    Job Ndugai: Jamii imewaacha watoto wa kiume nyuma

    Maneno haya si ya kubeza.
  9. Mshana Jr

    Hatuwajibiki kwa pamoja ila tunalaumiana na kutegeana

    TLS tuliitisha Mdahalo wa Kitaifa kuzungumzia Utekaji Baadhi ya sababu kuu zinazochangia utekaji kulingana na mjadala ule ni pamoja na Udhaifu wa mifumo ya utendaji wa Jeshi la Polisi ( Colonial Mentality ) na kutotenganishwa kwa shughuli za Upelelezi na Uchunguzi kutoka Jeshi la Polisi na...
  10. Mshana Jr

    Job Ndugai...

    Muhtasari Mheshimiwa Job Yustino Ndugai ni mwanasiasa wa Tanzania na aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Tanzania tangu Novemba 2015 hadi alipojiuzulu Januari 6. Hapo awali alikuwa Naibu Spika kuanzia 2010 hadi 2015 kabla ya kuwa Spika chini ya serikali ya Magufuli.
  11. Chakaza

    Job Ndugai, Ujumbe Wako Tumeuelewa Tutatekeleza na Kuueneza Watu Wengine Wauelewe.

    Hakika kama Spika ulipokuwa ofisini kwako ulikuwa na nafasi ya kuelewa mengi na kwa undani zaidi. Hivyo kama ilivyo, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na dhahiri anakuwa adui wa shetani. Tumeelewa. Sasa kwa kuenzi huo ukweli aupendao mwenyezi Mungu tumekuelewa na tutausambaza kila kona ya nchi na...
  12. Carlos The Jackal

    Watu aina ya Mpina, Lissu, Gwajima, Ndugai, Bashiru, Makonda ,Bashungwa, Heche, Biteko Mwabukusi ,wakiongoza Nchi , Kila Raia atakua na Furaha !!.

    Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote . Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa. Ila...
  13. P

    Waliomchomoa Ndugai kwenye Usipika wa bunge, wamuombe radhi, alionya nchi kuendeshwa kwa mikopo..!

    Kina Ndugai walikuwa wakiona mbaali sana, walikuwa wakiziona hizi nyakati, walionya wakapuuzwa na viongozi wa ccm, leo kiko wapi Nchi kujitegemea ndio mpango mzima ingawa mwanzo una maumivu yake lakini ndiyo heshima yenyewe Kina JPM (RIP) walikuwa na jicho kali sana, walijua kuwa, kuna siku...
  14. Zanzibar-ASP

    Siamini kabisa kama Ndugai, Chongolo, Kinana na Mpango waliomba wenyewe kujiuzulu. Lazima kuna jambo!

    Utamaduni wa kujiuzuru kwa viongozi wa CCM haupo na haujawahi kuwepo. Tunapoona kiongozi yoyote wa CCM anaomba kujiuzuru basi kwa 100% tunajua ni shinikizo kutoka ndani sana likiratibiwa na mfumo chini ya kiapo cha mwenye mamlaka kuu ya nchi. Kisa cha kujiuzuru kwa Jumbe wakati akiwa rais wa...
  15. The Supreme Conqueror

    Toka mfumo wa vyama vingi uanze,tumekuwa Bunge 5 lipi kwako unalikubali?Bunge la Job Ndugai

    Bunge la Job Ndugai Bunge la Anne Makinda Bunge la Samweli Sitta Bunge la Pius Msekwa. Bunge la Tulia Akson Lipi lilikidhi Kiu yako na uliona kama faida kwa nchi na lipi halijawahi kukata kiu yako na unaliona kama hasara kwa nchi?
  16. L

    Job Ndugai Na Madiwani wa Kongwa Aibukia Jijini Tanga Kujifunza Namna ya Utekelezaji Wa Miradi ya Maendeleo.Apokekelewa Na Ummy Mwalimu.

    Ndugu zangu Watanzania, Speaker Wa Bunge Mstaafu Mheshimiwa Job Ndugai Ameibukia Jiji La Tanga akiwa Ameongozana na Madiwani Mbalimbali kutoka halmashauri ya Wilaya ya Kongwa . Ambapo yeye pamoja na Waheshimiwa Madiwani ,mkuu wa wilaya na mstahiki meya wa halmashauri ya Kongwa wamefika jijini...
  17. R

    Unadhani kama Spika mstaafu Ndugai angelikataa kujiuzulu , nini kingelitokea?

    1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA Wewe unasemaje?
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Dodoma: Job Ndugai akumbana na maswali ya mpiga kura Jimboni kwake

    Aliyekuwa Spika wa Bunge ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, Job Ndugai amekumbana na maswali magumu kutoka kwa wapiga kura wake alipowatembelea na kuzungumza nao.
  19. TODAYS

    Msikie Spika Tulia aikimba ila kwa anavyo onekana, Bora hata ya Ndugai!

    Jua maisha ni mlima eeh,maisha ni mlima, Kuna kupanda na kushuka eeh, Kupanda na kushuka, kuteleza siyo kuanguka eeh, Hiyo hapo juu ni chorus ya wimbo kutoka kwa kinywa cha spika wenu wa bunge, sijui makusudi yake ila kwa anavyo onekana ni tumekosa spika mwenye kujiheshimu hana hadhi kwetu...
  20. T

    Ndugai: Mataifa ya wenzetu huchukua vijana wenye ufaulu class A+ wana negotiate mikataba sisi tunapeleka maprof wazee waliochoka!

    Katika moja ya comment zilizowahi kunishtua ni hii ya jobu aliyoitoa akiwa spika. Alidai kwamba wenzetu baadhi ya mataifa linapohusika suala la mikataba, hawana masihara hata kidogo huchukua vijana smart class A wenye uwezo mkubwa wa kusoma kuelewa na kufikiri kwa upana juu ya mikataba...
Back
Top Bottom