Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga
Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu
=================
Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amesema uamuzi wa Ndugai kujiuzulu Uspika wa Bunge mwaka 2022 iliweka heshima na ushujaa wa pekee katika siasa za Kiafrika
Simbachawene ametoa kauli hiyo alipofika kuhani msiba nyumbani kwa...
King of Condolences -Peter Msechu tayari kashafyatua wimbo wa maombolezo wa Mheshimiwa Spika Mstaafu DrJob Ndugai.
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Hivi ndivyo alivyoeleza Mkuu wa Wilaya ya Kongwa.
Zaidi huyu hapa
Swali letu ni hili, unadhani kwanini kifo cha Ndugai kimeshangiliwa badala ya kuwa Huzuni kama Marehemu wengine wanapofariki akiwemo Maalim Seif na Ally Kibao?
======================
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Saimon Mayeka...
Kwa haraka hizi ndio alama za kumkumbuka hayati Job Ndugai
Pale Salasala Ndugai na Mbowe mwanajeshi ndio walikuwa Watu maarufu zaidi
Na Dodoma Jiji kuna Soko ambalo Shujaa Magufuli alilibatiza kuwa Solo la Ndugai
Rip Job Ndugai
Siyo nia mbaya bali kwa kuwakumbusha wanadamu kuwa "tuishi maisha humble" kwa kuwa hatujui siku wala saa ya kutwaliwa. Tuwataje waliopitia maamuzi mabovu ya Job NDUGAI alipokuwa Spika wa Bunge;:
1. Chilongani alipigwa fimbo akazimia kwenye kura za maoni za CCM mwaka 2015
2. John Mnyika...
Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama...
Kiufupi Ndugai hajaacha Legacy yoyote .
Miaka 25 Bungeni , miaka saba Kama Speaker wa Bunge Ila hakuna alichoacha kwao Kongwa .
TAIFA halina cha kujivunia .
Naipa pole familia yake.
Pia soma >> TANZIA - Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Kila nikiangalia ni kwa kiasi gani hii nchi ikebarikiwa rasilimali ila wananchi wanaishi maisha duni na ya dhiki, moyo unauma.
Ila najua shida zote tunazopitia wananchi ni zakutengenezwa na kikundi cha watu wachache wasiokuwa na huruma hata punje.
Watu hawa WANATUFANYIA ROHO MBAYA UTADHANI...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amepokea kwa masikitiko Makubwa sana , uchungu mkubwa sana na huzuni kubwa sana juu ya taarifa za kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge letu Tukufu Mheshimiwa Jobu Yuston...
“Alikuwa na afya njema na tulipata naye chakula cha mchana. Alikuwa mcheshi sana. Siku moja tu akapoteza fahamu, wiki moja baadaye – baada ya kumpeleka hospitali akawa marehemu.”
Mnamo tarehe 12 Aprili 1984, taifa la Tanzania liligubikwa na majonzi makubwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri...
Taarifa ya Kifo cha Job Ndugai: Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania Afariki Dunia
“Uongozi ni wito wa kutumikia watu — si nafasi ya kujitukuza.”
Maisha ya Job Ndugai kwa Ufupi
Jina kamili: Job Yustino Ndugai
Tarehe ya kuzaliwa: Januari 22, 1960
Eneo alilotumikia: Mbunge wa Jimbo la...
Spika wa zamani wa bunge la Tanzania job ndugai amepitishwa na wajumbe kuwa Mgombea ubunge CCM jimbo la Kongwa kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika October 29, 2025
Katika kampeni zake za kuomba kura kwa wajumbe Ndugai kasikika akisema yeye ni mke mkubwa. Swali ambalo najiuliza bila kupata majibu. Je, mme wake ni nani mwenye wake wengi na kwamba yeye anajivunia ndo mke wa kwanza?
Naomba ufafanuzi kwa hili jambo.
Ulikuwa spika,umeshaandaliwa mafao yako ya mstaafu.
Pumzika kwa heshima hutaki bado unataka kurudi mjengoni
Umesahau nini huko
Mtu mwenyewe mgonjwa na mfumo haukutaki tena
Shame on you
Wananchi wa jimbo la Kongwa mkoani dodoma wameendelea kumbada kwa maswali mazito, Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, ambaye ni Mtia Nia wa Ubunge jimbo la Kongwa mkoani Dodoma akijinadi mbele ya Wajumbe kuomba kura.
Chanzo: Jambo Tv
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.