Following the footseps of the one and only one speaker bora kabisa kuwahi kutokea nchini Tanzania na kusini mwa Jangwa la Sahara Job Ndugai aliacha legacy iliyotukuka sana kwa bunge la nchi hii.
Mojawapo ya legacy yake ni kuwaapisha wabunge wasio na chama katika kigereji cha bunge na aliwaahidi...
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai amezungumzia maamuzi yake ya kutogomea Ubunge katika uchaguzi ujao akisema kuna watu wanapotosha kwa kuwa wanaona kuna jina lake.
Mbali nah apo ameulizwa kuhusu kama amemisi kiti cha...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia spika mstaafu Job Ndugai kutangaza kutoendelea na siasa mwaka 2025. Sisi kama CCM tutaendelea kumheshimu mzee wetu kama ilivyo desturi ya chama chetu.
Lakini nimefikiria kwa makini na kuwasikitikia mno...
Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine...
Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu...
Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.
Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael...
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kushoto) leo Aprili 13, 2022 amehudhuria kikao cha kwanza cha Bunge tangu kujiuzulu wadhifa huo Januari 6, 2022. Pichani akiteta jambo na Mbunge wa Ushetu, Emmanuel Cherehani.
Chanzo: TBC online
Uongozi wa Bunge umetaja aliko aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa Mkoani Dodoma, Job Ndugai.
Ndugai hajaonekana katika shughuli rasmi za chombo hicho tangu taarifa za kujiuzulu kwake wadhifa huo zilipotangazwa Januari 6, 2022 kwamba aliandika barua kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha...
Mbona Sakata la Mafuta na Wananchi Kulalamika / Kulilalamikia ni rahisi sana Kulifafanua kwa Watanzania ( Wananchi ) na Wakalielewa hata kuliko lile la Spika Mstaafu Ndugai kukupa Ukweli wako kuhusu 'Kukopakopa' hovyo sasa iweje tena leo unataka Watu wakusaidie Kukusemea ili Watanzania...
Wengi wanamkumbuka kwa kuchukia washindani wake.
Ama iwe ndani ya Chama au wa nje ya Chama. Hapendi kabisa kushindana.
Huyu ana mbinu ya KiMasai ukimshinda ni bifu kubwa mno hivyo hata fimbo anakulamba nayo ukikaa kizembe zembe.
Kwa sasa mjadala ni mkubwa Jimboni kwake.
Wanatamani kama vile...
Hello JF
Niende kwenye mada straight, ni wakati muafaka Jobo Ndugai aweke hadharani legacy yake ya uspika na ya kibunge huko kongwa sambamba na oanisho la kumnanga ndugu Lissu kuhusu ubunge wake wa miaka10 huko Singida Mashariki kwamba hakuacha legacy yoyote.
Baada ya kuachia kiti cha uspika...
Wakuu salama?
Naimbeni mnijuze, kwa nchi ya Tanzania, mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake?
Kama ndio ni sheria ipi hiyo inaruhusu katika katiba yetu?
Viongozi waandamizi hawa katika Mihimili ya Utendaji na Bunge id est Makonda na Ndugai wako Oldonyo gani kusikoweza kufika mkono wa serikali?
Tundu alikwepa Mahakama hadi Wakili akajiondoa na hadi Mahakama ikafuta shauri je, Makonda naye anaweza kufanikiwa kukwepa Mahakama kwa njia hiyo ya...
Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela.
Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana.
Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma?
Acha tuone.
Mara mwisho ni pale alipoonekana akiwa amepiga picha na Rais Samia Suluhu Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.
Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job...
Nadhani hukujua kuwa wanaCcm kuwa ni watu wabaya na wenye unafiki kiwango cha Phd. Hukufanya kosa lolote kuhoji na kueleza unavyoumia baada ya Rais Samia kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ili hali kuna tozo na kodi.
Walikuvizia, ukaomba msamaha kinafiki kama walivyowanaCCM na...
Katika hali ya kushangaza ambayo si utamaduni wa Watanzania pale inapotokea tendo la kuapishwa kwa mtu anayechukua nafasi katika uongozi wa Umma, mtangulizi / watangulizi wake kama wapo hai uhudhuria na hata kupiga nae picha ya pamoja!
Katika hali ya sintofahamu ambayo imezua taharuki mitaani...
James Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge.
Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua...
Ni vigumu kuamini kuwa Mheshimiwa Ndugai hajui utaratibu wa kikatiba wa kujiuzulu nafasi ya uspika. Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania spika au naibu spika anaweza kujiuzulu nafasi yake kwa kuandika barua kwa BUNGE na kuisaini. Spika atahesabika kuwa amejiuzulu baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.