ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Una ndoto ya kwenda kusoma Chuo kikuu Cha Harvard? Fanya haya

    Uwe na IQ ya kutosha maana Harvard si pa mchezo kama udsm...Hapana. Pale Harvard Kuna wakati IQ yako haifai chochote. Haijalishi una IQ ya 125, 135, 145, 155, 165, au 175. Vyuo vikuu vya wasomi vinataka kusajili wanafunzi walio na rekodi za mambo ambazo zinaonyesha kuwa wao ni aina ya watu...
  2. JamiiForums Tanzania Kilimo bila katiba mpya ni ndoto

    Ajira mpya zimeshindikana kutengenezwa wakati Population ya watu inaongezeka kama utitiri. Serikali imefeli kubuni na kuendeleza mifumo iliyopo ya kiuchumi ili izalishe ajira. Kwa nchi yetu hii, Kiwanda pekee kinachoweza kutoa ajira kwa idadi kubwa ya watu ni KILIMO.. Tumeshindwa kufanya...
  3. JamiiForums Tanzania Nimechoka na ndoto za kula na kufanya mitihani

    Wakuu mimi ni 26 Me, mzaliwa wa kanda ya ziwa, taaluma yangu Medical doctor degree, nimeletwa na mambo mawili; Kwanza Naota nakula sana mara nyingi ni wali na matunda na muda mwingine unajaribu kukataa kabisa ila kuna mtu anakubembeleza. Hii ya leo nimeenda sokoni nikakuta matunda mfano wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Huwa mnafanyaje mnapobanwa sauti na kushindwa kujiinua usiku (night mare)?

    Wakuu habari, this is urgent naomba msaada. Niende moja kwa moja kwenye mada mambo yasiwe mengi. Nimelala saa nne usiku huu saivi ni saa 7, nilichokurupukia ni ghafla tu nmegundua siko salama, ngozi inavutana na vinyweleo vimesisimka. Nasikia milio ya panya ile (swi swi swi). Siko usingizini...
  5. JamiiForums Tanzania "Metaverse"....Wazo zuri linaloelekea kufa, je liko mbele sana ya muda? Kitu gani angeweza kufanya tofauti kuokoa ndoto hii?

    Kama tunavyojua Mark Zuckerberg alikuja na wazo la Facebook, Social media na kuwa peoneer katika ulimwengu wa SOCIAL MEDIA na huwezi kuongelea historia yake bila kutaja jina lake tunaweza kumuita THE FATHER OF SOCIAL MEDIA. Miaka ya hivi karibuni amekuja na wazo la "METAVERSE" Nakuwekeza sehemu...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Mungu angefanikisha ndoto ya kila Mtanzania sasa tungekuwa na Marais laki 1, wanajeshi ml.10, marubani mil.7, madaktari mil. 10, wanasheria ml.15

    Ahahaha kweli Afrika, kila mtoto ukimuulizia ndoto yako nini atakuambia ni kuwa rubani, daktari, mwanasheria, RAIS au mjeda. Wachawi tumewachoka sasa, hebu rudisheni ndoto za Watanzania walizoota walipokuwa primary na sekondari.
  7. JamiiForums Tanzania Ndoto za Chato kuwa mkoa zayeyuka baada ya mikoa jirani kugoma kuachia maeneo yao

    Habari ndugu Wana jukwaa. Ile ndoto ya Mwendazake kuifanya Chato kuwa Mkoa inaonekana kugonga mwamba Kama sio kuota mbawa kabisa kufuatia Mikoa Jirani Kugoma. Taarifa kutoka huko Kigoma,Mwanza na Kagera Ni kwamba Wananchi wamekataa maeneo Yao kuwa sehemu ya Mkoa mpya wa Chato hivyo kuzika...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Enyi wapambanaji, "Kama kazi yako, hujawahi kutana na polisi au vyombo vya usalama" kuwa tajiri Ni ndoto!

    Enyi wapambanaji, "Kama kazi yako, hujawahi kutana na polisi au vyombo vya usalama" kuwa tajiri Ni ndoto! Utakuwa na maisha ya kawaida Sana, shida ZITAKUWA nawe kila siku, lakini kamwe hutoweza kuwa tajiri ktk maisha haya. "Lakini Kama kazi yako unayoifanya una misuko suko ya kukutana na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa wale wote wanaopigania ndoto zao

    Growth is outside the comfort zone.Don't quit.You quit,you lose,you fail.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Nipo kwenye fadhaa ndugu zangu; nimeota nafanya mapenzi na dada yangu!

    Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu. Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu. Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ndoto hii ya kuendesha vyombo vya moto?

    Habari waungwana naomba msaada kwa mwenye kuelewa maana ya ndoto hii mara nyingi nimekuwa nikiota naendesha vyombo vya moto kama vile gari ya abiria au pikipiki huku nimepakia abiria nyuma. Sometime naota narusha ndege angani yenye abiria wengi wakati huo sina experience yoyote na vyombo vya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto inachanganya kichwa: Nimeota nimekoswakoswa kubamizwa na gari kwenye mti likaenda kuparamia nyumba ya watu

    Hii nini jamani? Kuna nini? Mbona ni vitisho tu usiku ndotoni? Ndoto gani hizi jamani?
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nuru nyeupee ilinizukia kwenye ndoto

    Kuna kipindi fulani mida ya usiku nimelala, ghafla juu yangu nikaona nuru nyeupee imeniwakia na sauti ikaanza kuongea, huwezi amini ile lugha sikuielewa. Siku nyingine nimewahi kulala mida saa tano ghafla tena Ile nuru nyeupee ikanijia na sauti Ile ile ikawa inaniongelesha. Na mara zote...
  15. JamiiForums Tanzania Ndoto: JF get together

    Hello family,hope mko bye! Moja kwa moja kwenye uzi,kwa kifupi sana ndoto yenyewe ni kwamba JF ina utaratibu wa get together party kwa kila mwisho wa mwaka (December) kwa members wote wa JF na ndoto hii ni kuhusu party ya mwaka huu Dec 2022. Utaratibu wa hii party ni kwamba wahudhuriaji (JF...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya bodaboda imeua ndoto za vijana wengi

    Habari! Hapa naomba tuelewane kuwa sizungumzii pesa bali nazungumzia ndoto za vijana katika kuliinua taifa na familia zao. Pamoja na kazi ya bodaboda kuwapatia kipato vijana na baadhi ya wazee ambao wanaifanya hiyo biashara lakini imechochea uchumi wa China na India kwa kiasi kikubwa. Hapa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hazungumzi tena na watu wa leo?

    KWA NINI MUNGU HAZUNGUMZI TENA NA WATU WA LEO? Leo 14:45hra 27/11/2022 Je unaweza kuitambua sauti ya Mungu!? Je ukipata ndoto au maono utaweza kutambua huyu azungumzae nami ni nabii Musa, ama Nabii Elia ama ni Yesu Kristu? Unapaswa kuwajua awa kwa kuwasoma kwenye maandiko jinsi walivyo ili...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wenye ndoto ya kujenga ila budget ndogo mje tushauriane!

    Nimegundua ukitaka kujenga ukisubiri Pesa zijae hata kibanda hutajenga, Basi sasa mliojenga ama wenye malengo ya kujenga ila bajeti inabana tushauriane ni bidhaa zipi tuanze kununua mdogo mdogo ili kufanikisha ndoto ya kujenga. Mfano Je ni wazo zuri kuanza kununua vitu vyenye gharama kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaojiandaa kufunga starlink Internet ya Elon Musk wakidhani ni bei chee wanaota ndoto za alinacha,

    Nashangaa sana kuona watu wanayopotoshana kwamba ujio wa starlink Internet hapa Tanzania ndio utakuwa suluhisho la unlimited internet ghali kama supakasi ya voda. Kama hauwezi kumudu internet unlimited ya supakasi kwa 115,000 basi ondoa shaka kabisa kwamba star link itabaki kuwa ndoto daima...
  20. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya matukio, mazingira na watu katika ndoto

    Amani iwe nanyi GT! Nmepata kuota ndoto ambazo tafsiri yake nmeshndwa kung’amua...ila naomba niulize wajuvi wa mambo Watu Watu ninaotokea kuwaona kwenye ndoto sjawah kutana nao hata siku moja.....ni sura mpya kabisa ktk ulimwengu wa kawaida. Yaweza tokea ndoton naota nmekutana nao mskitin...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…