ndoa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, unajua tendo la ndoa ni haki katika ndoa na lisipotimizwa linaweza sababisha ndoa kuvunjika?

    Iko hivi, ndoa ni mkataba kati ya mke na mume, na mkataba huo una masharti mengi ikiwemo haki ya tendo la ndoa, sasa inapotokea mwanandoa ananyimwa haki hii moja kwa moja mkataba unakuwa umevunjwa kwani masharti ya mkataba hayajatimizwa. Haki hii ni lazima iwe imevujwa kwa makusudi bila...
  2. JamiiForums Tanzania Nilioa nikiwa na miaka 17 hadi leo ndoa yetu ina miaka 5

    Ndio hivyo usimuache mke wa ujanani kwako. Karibu kama una swali nitakujibu
  3. JamiiForums Tanzania Uchumi ni tatizo kubwa katika ndoa za Vijana

    Jioni hii nimekaa room kwangu mara nasikia majirani (wake zao) wametoka kwenye mizunguko yao. Katika hii nyumba kuna wapangaji watatu wawili ni familia bachelor ni mimi tu. Punde nasikia moja ya jirani yangu analalamika kwa mwenzie kua mmewe karudi kapiga msosi wote bila kujali kua yeye kala au...
  4. JamiiForums Tanzania Baharia ogopa mabinti wanaojipodoa, wengi hawafai kwa ndoa

    Closed
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ndoa hizi! Money Penny washauri vijana wasikimbilie kabisa...

    Bado naendelea kurekodi VIPINDI vyangu vya YouTube, ndio maana skuhizi siandiki Uzi Sana huku hata HADITHI kwenye website nimesimama Kwanza, YouTube unachukua muda wangu mwiingi nikitoka hapo chokest ! naenda ku-du na mume alafu kushakucha narudi studio tena. Anyway wiki hii nilikuwa na wageni...
  6. JamiiForums Tanzania Changamoto za watoto wa nje ya ndoa

    Wanajukwaa wasalaam, mkitaka kujua khali yangu Mimi ni bukheri wa afya, namshukuru Mola wetu kutuzidishia urijali kwa ustawi wa familia zetu Leo napenda niulize hasa kwa wanaume wenzangu wenye watoto nje ya ndoa, ni Changamoto gani mnazopotia, na mnazitatua vipi, na je watoto hao wana namna ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mke wangu analalamika sana kuchoka nikitaka Tendo la Ndoa

    Wakuu naomba kujua, Mke wangu hana ushirikiano kabisa kwenye tendo la ndoa na pia mara nyingi hana uhitaji nalo yaaani mimi ndio muhitaji na ukitaka lazima awake sababu mara kachoka au hayuko sawa, na hata akikupa analalamika kuumia anadai umalize. Je, kuna shida au anachepuka nje?
  8. JamiiForums Tanzania Unapenda mahusiano yako yadumu?

    Wapendwa wangu wana jukawaa salaam. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mahusiano ya kimapenzi na ndoa kuvunjika hasa kwetu vijana, kugombana, kutofautiana, kupishana maneno ni jambo la kawaida kwasababu tunaingia katika mahusiano tukiwa na tabia tofauti tofauti na tena...
  9. JamiiForums Tanzania Yajue madhara ya kunyonyana viungo vya uzazi wakati wa tendo la ndoa (Oral sex)

    MADHARA YA KUNYONYANA WAKATI WA TENDO LA NDOA. ( Mapenzi yanayohusisha mdomo na viungo vya uzazi) Kwa sasa katika jamii asilimia kubwa imeathiriwa na tamaduni hii ya wapenzi kuridhishana kwa njia ya kunyonyana sehemu za siri ambayo kiuharisia huhatarisha afya zao. Tabia hii imeigwa katika video...
  10. JamiiForums Tanzania Tiba za asili za COVID-19 pia zinaimarisha nguzu za kiume kwa waliokua hatarini kupoteza ndoa zao

    Sasa wakuu mimi binafsi nimeona tiba ya kitunguu swaum , tangawizi malimao yamekuwa mazuri sana kwangu, pia natumia sana habat souda na mrungu rungu katika kujitibu Corona Sasa picha linaanza, kila nikikutana na demu wangu ananiambia mbona sasa show ya kibabe sana? Nikamwambia, kwanini...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenye ndoa ya wake wengi, mwenye mapenzi ya kweli ni mke mkubwa tu

    Kwenye ndoa ya wake wengi, mwenye mapenzi ya kweli ni mke mkubwa tu. Hawa wengine wako kimaslai tu, ata kama utawatembezea rungu kwa kila staili, wao watalenga maslai au kipato chako tu. Kwa namna nyingine tunaweza sema ni wachunaji tu. Tusidanganyane kuwa wake wenza upendana, hiyo haipo; kila...
  12. JamiiForums Tanzania Costa Rica yaanza kusajili ndoa za jinsia moja kisheria

    Wanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja nchini Costa Rica wamekuwa wakipigani sheria ya kutambulikwa kwa ndoa za jinsia moja kisheria na kufanya kuwa mdahalo mkubwa kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2017 hadi 2018 Mwezi Agosti 2018 Mahakama kuu ikasema kuwa kuzuia ndoa za jinsia moja ni kinyume cha...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ndoa imenishinda. I need prayers

    Kwakweli ndoa yangu ya miaka miwili naona ikienda kuvunjika vipande vipanda. I have been doing lots of Dramas to my wife, can you imagine getting a condom in my pocket? Its too much
  14. JamiiForums Tanzania Hasara 10 na faida 5 za kuchepuka katika ndoa

    Kila jambo lina pande mbili, upande wa uzuri na upande wa ubaya, lakini katika kufanya maamuzi basi ni vyema kuegemea upande wenye mazuri zaidi kuliko mabaya. Kuchepuka ni aina nyingine ya usaliti anaoufanya mtu kwa mpenzi wake, japo wahenga walinena acha michepuko baki njia kuu, michupeku...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mapenzi na ndoa

    Kuna mengi katika maisha ya mapenzi ila zingatia haya kwa ajilii ya furaha yako, MUAMINI- katika kuaminiana kunatunza mengi ikiwa ni pamoja na mazuri na mabaya ila mnapo aminiana katika maisha ya mapenzi furaha utawala, UHURU- mpe uhuru mwenzako na vitu vyake kila mmoja anapokuwa huru katika...
  16. JamiiForums Tanzania Wana MMU kuna ID humu naitafuta, nikiipata natangaza ndoa rasmi na vikao vyote vitafanyika humu

    Ndugu zangu wana MMU kwanza naomba nimshukuru mungu kwa kuniponya na lile gonjwa kwa kweli ni kwa neema zake tu mimi kuwa hai Kuna ID humu imepotea kwenye macho yangu, Ile ID ambayo inaogopwa na wanawake kwa wanaume wote hapa jukwaani ambayo iki-comment sehemu ID za kike zote haziwezi kum-QUOTE...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ndoa, Familia na Jamii

    Ndoa ni msingi na chanzo cha familia ambapo familia ni kilele cha jamii. Ndoa huleta familia na familia hufanya jamii. Tokeo la familia na jamii ni ndoa. Ndoa inahusu mtu mwanaume na mtu mwanamke ambao wanakubaliana kadiri ya akili. Uhusiano huu baina ya watu wawili, mwanaume na mwanamke ni...
  18. JamiiForums Tanzania COVID-19 ilivyofurahisha na kutesa ndoa za watu

    Kama kuna kitu nisichokusahau n weee COVID-19. Mwanzoni ulipopiga hodi africa wanawake hasa wanandoa walifyrahia sana. Wapo waliofurahia kutuona waume zao wakibaki nyumban mdawote. Wapo waliofurahia kuona tendo la ndoa linazidi kuongezeka nguvu kitandani. Huzuni kubwa ukiwa unaondoka wapo...
  19. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu dhana ya ndoa

    NINI MAANA YA DHANA YA NDOA? Kwa mujibu wa sheria ya Ndoa ya Tanzania, ikidhibitika kuwa mwanaume na mwanamke wameiishi pamoja kwa miaka miwli au zaidi, katika hadhi ya mume na mke, basi kutakuwepo na dhana ya ndoa. Sheria hii, imedhamiria kukomesha kama si kupunguza ile tabia ya wanaume au...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume tunapokutana na wanawake kuna ambao wanavutia kwa ndoa na kuna ambao wanavutia kwa ngono tu

    Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa. Wanaume wengi utawakuta wameoa wanawake ambao wako nje na malengo yao ya zamani na maisha bado yanakwenda. Wakati mwingine huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…