G.Man
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 1,008
- 2,002
Habari wakuu,
Rejea mada tajwa.
Niseme tu ukweli wanaume wengi wanateseka na ndoa zao (japo wengi hawataki kujionesha), angalia kipindi cha kutaka kuoa huwa tunachagua sanaa. Na formulars tunakuwa nazo kabisa kwamba usioe huyu au yule na tunazingatia, lakini kwenye nyumba hali bado ni tete.
Nauliza wabobevu, hivi ni wapi wadogo zenu tunakosea? Inakuwaje tunachepuka na wale micharuko ambao tuliona hawafai kuoa na unaweza kuwapa huduma pengine sawasawa na mkeo au zaidi tena kwa amani!