ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Unayemuona anayafaa kwa mwenzako kwako anaweza kuwa hafai hata kidogo

    Hello wakuu humu. Kwanza mimi napingana na ule usemi unaosema ukiniona wa kazi gani tabua yupo anayesema atanipata lini...iko hivi katika ulimwengu wa mahusiano na mapenzi ambayo ndio yanaleta ndoa. mara nyingi walio nje ya mahusiano ya watu fulani ndio huwa tunahukumu mienendo ya wapendanao...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume waliooa wanajulikana kwa kuwatazama tu

    Wanawake acheni kutuuliza wanaume kama ameoa ama bado wewe mtazame tu kwa muonekano wake utajua,wengi wana sifa hizi! 1:Wanaume walioa ndio wanaongoza kwa kuvaa nguo zilizopauka hii inatokana na nguo zao kufuliwa kila siku. 2:Wengi wana vitambi vya kizembe ambavyo havina kabisa ushirikiano na...
  3. JamiiForums Tanzania Niishi vipi na mwanaume aliyetoka kuachana na mkewe?

    Hello wana JF, Imetokea kumpenda na kuwa na mahusiano na mwanaume aliyekwisha oa huko nyuma ila walishaachana na mke wake, ningependa kujua unaweza deal naye vipi? Maana naona kama wanakuwa na moods sana za on and off na pia kama hayupo tayari kuingia mazima kwenye commitment, kwa mliopo humu...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoharibu ndoa zao(wachepukaji)

    ....
  5. JamiiForums Tanzania Msaidieni rafiki yangu achague lipi kati ya Ndoa au Scholarship (Elimu)?

    Ni rafiki yangu wa kazi, tumpe Jina la John (yupo Halmashauri jirani). Amenipigia simu, na amenieleza jambo fulani nimeshindwa kumshauri. Sababu ya kushindwa kumshauri ni kwamba; mi ningemjibu fasta kuwa PIGA CHINI NDOA fata SHULE ila "the problem is" alishani tahadharisha nisiwe "bias" katika...
  6. JamiiForums Tanzania Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

    Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya. Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani yetu. Wakati huo, hao wakaka walikuwa na miaka 25 hivi kwa kukadiria. Walikuwa warefu, wamejazia, na...
  7. JamiiForums Tanzania Wakatoliki, imekuaje kipindi cha Kwaresma mmefungisha ndoa ya Mrema?

    Habari wana Jukwaa, Niende moja Kwa moja kwenye hoja, imekuaje sheria ya Kanisa imekiukwa Kwa kufunga ndoa wakati wa mfungo wa Kwaresma? Kwa kipindi hiki huwa hakuna harusi au sherehe yoyote Makanisani ikiwemo ndoa. Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi yetu, watu maarufu kupewa kipaumbele hata...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya utata wa ndoa mpya ya Mrema, je, ni kweli ndoa zinaruhusiwa Kipindi cha Kwaresma?

    Baada ya mzee Lyatonga Mrema kufunga ndoa mpya Machi 24, 2022 mitandaoni kukaibuka maneno mengi kuwa inakuwaje mwanasiasa huyo mkongwe anafunga ndoa wakati wa kipindi cha mfumo wa Kwaresma, imebidi niingine chimbo kutafuta majibu. MDAU WA KWANZA (KATEKISTA) Kwanza kabisa nimewasiliana na...
  9. JamiiForums Tanzania Rasmi Mrema anafunga ndoa Kanisani na mrembo wake mweupe...

    Mwenyekiti wa TLP, Augustine Lyatonga Mrema anafunga ndoa na Doreen Mrema, leo Machi 24, 2022 katika Parokia ya Uwomboni, Kiraracha Mkoani Kilimanjaro. Mrema ambaye aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini, kuwa mbunge na kugombea urais wa Tanzania, amekula kiapo cha ndoa katika misa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia aingilie kati tatizo la wazee kuwaoa mabinti wadogo; aagize sheria ya ndoa kurekebishwa

    Jambo wakuu! Sitaki kuwachosha, naingia kwenye mada moja kwa moja. Kumekuwa na wimbi baya la wazee kuwaoa mabinti wadogo ambao ni sawa na watoto au wajukuu zao na kibaya zaidi, baadhi ya wazee hao waliwahi kulitumikia taifa kwa nyadhifa kubwa. Tofauti na matarajio ya wengi kuwa wazee hawa...
  11. JamiiForums Tanzania Neema Swai: Sifungi ndoa na Mrema

    "Siolewi na Mzee Mrema, hizi habari zinazozushwa na picha yangu kusambaza mtandao kuwa naolewa naye ni uongo na uzushi. Picha inayosambaa ni yangu niliipost kwenye page yangu watu wakaichukua na kuiunganisha na ya Mzee Mrema na kuisambaza mtandaoni" "Simjui Mzee Mrema na sijawahi kukutana naye...
  12. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Lyatonga Mrema kufunga ndoa Alhamisi Machi 24, 2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha

    Siku moja kabla ya kufunga ndoa Mwenyekiti wa TLP Taifa, Dk. Augustino Mrema amesema kuwa atajaribu kujikokota kuelekea Kanisani na kama itatokea ataishia njiani kutokana na afya yake kutokuwa sawa, anaamini Paroko atajua nini cha kufanya. Mrema amesisitiza kuwa huduma ya Kanisa inapatikana...
  13. JamiiForums Tanzania Augustino Mrema kufunga ndoa Machi 24, 2022. Amepata kimwana mdogo

    Picha: Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa siku ya Alhamisi Machi 24,2022 katika Parokia ya Uwomboni kijijini kwake Kiraracha mkoani Kilimanjaro. === Mwenyekiti wa TLP Taifa Dk. Augustino Mrema ametangaza kufunga ndoa...
  14. JamiiForums Tanzania KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

    Nikiri wazi Mimi ni mkristo kidanki ndaki, ni mafungu machache ya kwenye biblia yanaweza nipiga chenga. Dini zote mbili za kikristo na kiislamu zilitokea eneo moja , mashariki ya Kati , kile ambacho Biblia inasema na kile ambacho Qur'an inasema ni copyright for more than 80% , waislamu...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ni siri nawapa wanaume wenzangu Mlio kwenye Ndoa

    Ukiachana na m'push agenda Mr Liverpool juu ya suala la kutokuoa, sisi wanaume tuliopo kwenye ndoa tunahitaji pia kuishi ki'masta sana na uwezo wa kutathmini jambo kwa spidi ya 6G. Pointi ipo hapa... Mke (hasa hasa hawa wake zetu wa kiswahili) akimgombeza dada wa kazi (house girl ) kwa jambo...
  16. JamiiForums Tanzania Majibu ya damu yagundua mwanaume ana matatizo ya ugumba akiwa kwenye ndoa na watoto wanne

    Baba zao walikua maswaiba, katika kulinda mali za familia zao walipanga kuwaoza watoto wao. Binti hakuwahi kumkubali jamaa lakini kwake pia aliona ile ndoa ni life opportunity. Familia ya mume ilikua matawi ya juu. Baada ya harusi mke alileta house boy nyumbani. Ni kijana mdogo ndiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Ni njia gani sahihi ya kuishi, na mwanamke uliyezaa naye; bila kuathiri ndoa iliyopo?

    Kuzaa nje ya ndoa kumekuwa na changamoto nyingi sana, baadhi ya changamoto ni kama zifuatazo:- Mzazi mwenzako kuhitaji huduma ya tendo la ndoa Mtoto kupata mahitaji yake ya lazima Mtoto kutaka kuwa karibu na baba yake Mzazi mwenzako kukuhitaji muda ambao sio rafiki kwako Mzazi mwenzako kuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Ndoa za utotoni barani Afrika: Hali ilivyo, madhara yake na uelekeo wake kwa sasa

    Hali ya Ndoa za utotoni Barani Afrika kwa ujumla Kulingana na Taasisi ya Takwimu ya UNESCO, kuna watoto milioni 32 ambao hawajaenda shule wa umri wa msingi barani Afrika na vijana milioni 28 wasioenda shule - viwango vya juu zaidi ulimwenguni. Inaelezwa kuwa katika Bara la Afrika, wasichana...
  19. JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa

    Kuna mwanaetu kapatwa na changamoto kutoka kwa mke wake Kama ujumbe wa unavosomeka hpa chini
  20. JamiiForums Tanzania Wanandoa wanawezaje kuishi pamoja kwa muda mrefu?

    Nyie mlioko kwenye ndoa miaka kwa miaka mnawezaje kuishi pamoja? Mimi naona kama kazi sana kuishi pamoja kushare kitanda na mtu kila siku. Ukitoka asubuhi unamuona ukirudi nyumbani upo nae weekend upo nae siku nzima. Hivi hamchoki kweli? Kuna muda mtu unakuwa unataka ukae pekee yako bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…