ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Operation Kataa Ndoa - SAWA, vipi kuhusu child support, nayo utakataa? Jifunze hapa kuhusu malezi na matunzo ya Mtoto (Sheria ya Mtoto) ujipange!!

    Operation imepamba moto, vijana wanahimizana kukataa ndoa kwa kutokuoa ila hakuna anayepinga kuhusu suala la kujaza ulimwengu. Mizagamuano na misuguano inaleta sio tu raha na burudani kwa wafanyaji bali pia inaleta watoto kwenye dunia. Wakishakuja sasa wapenzi wanaanza kukimbiana na wengine...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu za vijana kukwepa Ndoa

    Umefikia umri wa kuoa? Umewahi kwenda kwa wazazi wa mwenza wako kuanza taratibu za kufanikisha hilo? Walikueleza nini? Kipi kilikufurahisha na kipi kilikukera au kukukatisha tamaa? Majibu ya maswali haya yanaakisi uhalisia wa wanayoyapitia vijana wengi wanapoanza mchakato wa kufunga ndoa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kufanya mwanaume pale ndoa au mahusiano yako yanapovunjika

    Nasema na wanaume kwa sababu nimesikitika kuona wanaume wakiwa wanarudia makosa yaleyale mara pale mahusiano au ndoa zao zinapovunjika na kujikuta wanapoteza muelekeo wa Maisha yao. Listen; 1. Mwanaume hutakiwi kurukia mahusiano mapya kabla hujaacha 100% yale yaliyopita. Ukisha achana nayo jipe...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali: Ndoa za jinsia moja hata wanyama hawana

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wazazi na Walezi kuwalea Watoto na Vijana kwa kuzingatia maadili ya kitanzania pamoja na kuongeza umakini katika maudhui yanayooneshwa katika Televisheni. Dr. Mpango ameyasema haya wakati akiongea na Waumini wa...
  5. JamiiForums Tanzania Ndoa za fasheni ni janga la kitaifa na kijamii tuzikatae kwa nguvu zote

    Hello , Ndoa nyingi hasa hizi za fasheni zimekuwa chanzo Cha umaskiini, ufukara, watoto fedhuli wa mitaani, ndoa hazina maadili, ndoa ni dhuluma yq nafsi za watu wanaochapiwa wanakesha bar, wenye magomvi yq kuchapiwa na kushare hali ni mbaya. Tuzipinge ndoa hazina afya kwa dira ya taifa...
  6. JamiiForums Tanzania Tumetoka Kwenye Usuluhishi wa Masuala ya Ndoa

    Hali si shwari, wanandoa wanalalamika, mke amekuta meseji 👇 kwenye simu ya mumewe, kumbe mjadala wa kutooa unajadiliwa ng'ambo ya pili pia
  7. JamiiForums Tanzania Nimetunukiwa tunda na mtoto wa kizungu guest za Manzese

    Umewahi kumla mzungu? au wewe unahangaika na hayo akina mwajuma ndala ndefu au akina cheusiku wa ubongo riverside? Pole sasa nikuambie mie mwenzio nimemla mzungu jana kwenye guest za manzese sema yeye huyo mzungu hataki mambo mengi sana japo ni mfanyakazi mmoja wa shirika moja la kimataifa na...
  8. JamiiForums Tanzania Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

    Mwanaume ni mfalme ndani ya nyumba, usipompa heshima yake, hiyo ndoa iko mashakani. Hamna mfalme asiyetaka kuheshimiwa.
  9. JamiiForums Tanzania Je, upo kwenye ndoa lakini pia upo kwenye mapenzi na mtu mwingine?

    Kuwa na hisia kwa mtu mwingine wakati upo katika ndoa ni jambo la kawaida sana. Hili sio jambo la kimungu, bali ni jambo la kibinadamu. Kukataa hisia zetu ni sawa na kukataa ubinadamu wetu. Huwezi kuacha kupenda watu wengine kisa eti kwa sababu tu upo katika ndoa. Kwa kawaida kila mwanamke...
  10. JamiiForums Tanzania Kisa Cha Mume, Mke jeuri na Punda kimenichanganya kuhusu sala la ndoa

    Mkulima mmoja mzee kijijini alikuwa na mke aliyependa sana kumbugudhi bila huruma. Kuanzia asubuhi hadi usiku na wakati mwingine hata usiku wa manane, wakati wote alikuwa akimlalamikia kuhusu chochote. Wakati pekee aliopata nafuu ni ule wakati aliokuwa nje shambani akilima na punda wake mzee...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Arranged Marriage (ndoa za kuchaguliwa na familia, ndugu, na jamaa) ndio mfumo sahihi kwa maisha ya dot com

    Kwa jinsi ndoa za zama hizi zilivyo na seke seke. Nashauri familia zifate mfumo wa zamani. Kijana wa kiume anapofikia wakati wa kuoa, familia imchagulie mwenza wa kumuoa. Hivyo hivyo kwa binti. Familia ziwe makini na kukataa ndoa ambazo familia ya mume na mke mtarajiwa hazijawai kujuana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

    Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa. Hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msichana aliye na miaka 25 ana stress za ndoa kuliko mwenye 30

    Msichana akifika miaka 25 anatakiwa awe na mchumba anaeonyesha malengo laasivo STRESS HAZITAISHA KWA DADA ZETU
  14. JamiiForums Tanzania Naanza kuwaza kwamba Ndoa sio kitu nimepangiwa

    Habarini za wakati huu ndugu wana-MMU, Hongereni kwa Majukumu na kwa Changamoto mnazopitia kwani hizo ndio Maisha menyewe. Ni muda umepita toka niweke post yangu hapa MMU. Mimi ni kijana (31), asili yangu ni kanda ya Ziwa nikimaanisha Geita ila naishi Musoma kwa sasa. Katika maisha yangu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ifikie hatua tuwe tunaambizana ukweli kabla hatujafunga ndoa

    Ndoa za kwenye tamthilia na video za music zisituharibu......ndoa si kurushiana mito tu na magumu pia yapo.Mwanaume ukishindwa wajibika Kwa familia yako jiandae kuchitiwa au kuachika.....Kwa mwanamke vivyo hivyo umeolewa Kaa kifamilia, usista duh tupia kule.... wajibika ...itumikie ndoa...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Ujerumani kuanza kubariki ndoa za jinsia moja kuanzia 2026

    Ndiyo hivyo wakuu, kwa mujibu wa DW kanisa limefungua milango kwa ushoga,Kama alivyoshauri Papa juzi hapa --- ==== Mkutano wa Sinodi - ambao unalenga katika mageuzi ya Kanisa - uliidhinisha hati huko Frankfurt siku ya Ijumaa ili kuruhusu wapenzi wa jinsia moja wapewe baraka zao na Kanisa...
  17. JamiiForums Tanzania Nifanye Mapenzi, Ama Nisifanye?

    Siku hizi kuna kundi la watu wanaopinga ndoa (KATAA NDOA) na kuhamasisha watu wasifunge ndoa - lakini wengine wamekuwa wakifanya 'me-time' na kujisaidia wenyewe. Ndio maana leo hii nataka kuandika makala "Kwanini tufanye tendo na kwanini tusifanye tendo." Kupitia makala hii, nataka watu waelewe...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya Tafakuri naachana na kampeni ya kataa ndoa, nahiitaji Mwanamke wa kuoa

    Ujana una mengi na siwezi danganya mengi nimefanya. Sifa zangu Urefu Futi 5.9 Elimu: degree moja Kazi Mwalimu wa secondary (Government) Kabila Haya Sifa za Mwanamke Awe Bikra Elimu sio lazima Cha muhimu kusoma na kuandika Kiswahili Dini Muslim Sifa kuu awe bikra na smart kichwani That all...
  19. JamiiForums Tanzania Wale team kataa ndoa sio wanaume tu hadi wanawake pia wapo

    Hiko kipande cha video hapo juu nimekitoa huko twitter. Sasa huyu binti akutane na mjumbe wa JF huku ambaye hataki ndoa sijui itakuaje hilo penzi(mahusiano). Tukae mbali na mafeminist wakuu.
  20. JamiiForums Tanzania Kuwa Mama Bila Kupata Mimba | Baba Bila ya Mama Mjamzito

    Unaifahamu Surrogacy? Surrogacy, au uchukuzi wa mimba, ni njia ya kusaidia wanandoa ambao hawawezi kupata mtoto kwa njia ya kawaida. Njia hii inahusisha mama mbadala ambaye huzaa mtoto kwa niaba ya mwanamke na mwanaume fulani (wanandoa hao). Kuna aina mbili za surrogacy: "traditional...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…