Nimeoa mwanamke msimbe wenzetu wanaita single mothers
Penzi ni tamu tu anaikatikia inavyotakiwa bila tabu kabisa 😋
Sasa changamoto imejitokeza wakubwa wangu
Huyu dada ana mtoto mmoja wa kiume mdogo tu around 7 ivi
Alinishauri tutafute kiwanja kweli buana uku na kule nikavutia waya...
Siku hizi, ndoa zimekuwa kama subscription ya Netflix—ukiona haikufurahishi, unabonyeza cancel fasta! 🤷♂️ Wazazi wetu walikuwa wanaishi kwenye ndoa kwa miaka 30+ hata kama kulikuwa na matatizo, lakini kizazi cha sasa? Umetofautiana na bae mara mbili, unaita ndugu, unaandika status za toxic...
Huenda jamaa kamuua mke wake.
Na hii story ametengeneza kama Alibi.
Ushauri: Ahojiwe vizuri, anaweza akawa anajua mke wake yupo wapi.
Thank me later 🙏🙏🙏🙏
Maisha yana mitihani na mikasa yake kila kukicha na leo imekuwa zamu ya Kijana Philemon ambaye mwaka 2019 aliamua kuondoka nyumbani Kigoma na kuja Dar es salaam kujitafutia maisha ambako siku moja akiwa kwenye Stendi ya Mabasi ya Makumbusho alikutana na Mwanamke aliyempenda na kufunga nae ndoa...
Tajiri huwa hasalimii kila wakati.
Unakuta mwanaume ana miaka 45=50 anaenda kumuoa binti wa miaka 18=22.
Ama mwanamke mwenye miaka 40=45 anaolewa na kijana wa miaka 24=26.
Hivi huwa wanaongea nini huko chumbani.
Kuna kipindi (kabla sijajiunga na KATAA NDOA, ) nilihitaji mke kwa ajili ya...
MLANGO WA NANE
Mnamo march 2015, mdau wa JF anayejulikana kwa jina la Pucilio alileta uzi ambao unahusisha watu na mikosi kwenye maisha ya ndoa.
Alisema kwamba kuna aina ya watu wana mikosi ya kuzaliwa nayo na mikosi ya kutupiwa. Ukimuoa/ukiolewa nae suala la maendeleo utalisikia kwa wenzako...
hili suala la kuhudumiwa kwa wanawake naona limekuwa sheria kwenye mahusiano au ndoa japo kuhudumia sio jambo baya lakini naona sasa limekuwa sheria.
yani unakuta hata kwa wale wenye kazi zao bado wanataka kuhudumiwa kwa hela za mwanaume kwenye kila kitu pekeyake hata kama mshahara ni sawa...
Mchezaji asiyechukiwa, aliyepita vilabu kama Leicester City, Chelsea, na sasa anakipiga uarabuni Ngolo Kante amefunga ndoa baada ya kuachana na mwanamke wake wa awali.
Ndoa ya Ngolo Kante ni ndoa simpo sana ambayo haikuwa na makuu.
Kwa msiofahamu, Ngolo Kante analipwa Dola za Marekani...
Kati ya mwanaume na mwanamke, nani hupitia maisha ya tabu zaidi ndoa inapovunjika? tukitazama hali halisi ya maisha ya Watanzania, ukweli unauma: wanawake wengi wanakosa uhuru wa kiuchumi!
Mwanamke wa Kitanzania analelewa kuamini kuwa mwanaume ndiye "mkombozi wake" kifedha. Matokeo yake...
Zitasaidia kupunguza baadhi ya matatizo katika jamii zetu, zitaondosha magomvi juu ya Mali za wanandoa, zitaondosha wanawake matapeli wa ndoa wenye dhamira za mali na si mapenzi ya kweli, maana mali za kila mmoja zitabainishwa, na mali mpya chumwa zitabainika, pia kwa kuwa ndoa hizi huwa na...
Binti mwenye ndoa yake changa kaja kulalamika kikaoni kwamba mumewe hafanyi shughuli yoyote wakirudi nyumbani japo wote wanafanya kazi na wanatoka asubuhi kwenda kazini na kurudi jioni.
Wanaishi nje kidogo ya mji ila wana usafiri, hivyo huwa wanapitiana baada ya kazi na kurudi nyumbani pamoja...
Hili suala limeakaaje? Yani kukutana na mtu anakwambia ana miezi 7 haja sex ni kawaida tu na yuko kwenye ndoa!
Wanawake wengi wamekuwa kama makuku ya broiler, hawana hamu kabisa ya kusex.
Huu utafiti nimeufanya kwenye coments za wanawake kwenye video moja ya Criss Mauki kule facebook. Lundo...
Hongera sana kwa kuanza ukurasa mpya wa maisha, tazama mbele brother na endelea kusamehe na kusahau yale ambayo yalitokea kipindi ulipojitoa kwa ajili ya Lisa. Karma is a bitch! Nature itakulipia bro wala usisumbuke na yaliyopita, waswahili wanasema YALIYOPITA SI NDWELE tazama mbele kuna maisha...
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu mchango wa mwanamke kifedha ndani ya ndoa. Wengine wanasema ni lazima awe na mchango ili ndoa iwe na usawa, wengine wanaamini kuwa majukumu ya kifedha ni jukumu la mwanaume, huku mwanamke akihusika zaidi na malezi na uangalizi wa familia.
Mimi binafsi naamini...
NDOA SIO GEREZA. WANAOSEMA NDOA NI GEREZA NA NDOANO NI WAPOTOSHAJI WAKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mapenzi na ndoa msingi wake Mkuu ni UPENDO na MFANANO.
Unapotafuta mwenza wako wa maisha huwezi uruka Wala kuupuuza MSINGI huo.
Mtu ambaye hufanani naye hawezi kuwa Mkeo au Mumeo...
Ndoa nyingi sana za kisasa mwanamke ndie anafanya maamuzi ya kufanya kitu bila kuomba ruhusa kwa mume wake . Ila mwanaume bado anafanya majukumu.
Mwanamke anaweza akaamua kwenda popote anapotaka bila kumuomba mumewe ruhusa zaidi ya kumpa taarifa tu.
Ila mwanaune huyo huyo ambaye haombwi...
Kuna umalaya au udangaji unaendelea kwenye ndoa. Yani ule muda unaomba tendo la ndoa, ndio mke anakukumbushia kitu ambacho ameomba au anakwambia nimechoka, au kama wataka umpe hela.
Ni jambo gumu sana kulifikiria lakin hakuna jinsi ndio uhalisia, inafika wakati unajua kabisa kua umeoa mtu...
Matarajio ya straika Mnijeria Victor Boniphace kufunga ndoa na mchumba wake mrembo wa Norway Rikke Ermine yamezikwa rasmi baada ya kutokea mtafaruku wa kimakubaliano.Mrembo Rikke Ermine akiweka sharti moja wafunge ndoa ila kwa masharti ya kwamba endapo wakiachana wagawane mali kwa 50-50 kitu...
Baadhi najua wanafahamu kisonono ninini... Huu ni ugonjwa wa zinaa unaoathiri sehemu za siri.. Ni dugu moja na kaswende na gono.. Ni magonjwa ya aibu na baadhi hujitibia kwa siri.. UTI ni gono lililochangamka😂
Kifaduro ni ugonjwa wa kifua.. Sio ugonjwav wa aibu na hauna kificho.. Kwakuwa hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.