ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

    Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika...
  2. JamiiForums Tanzania Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

    Je unahisi umeshaanza kumchoka mmeo ama mkeo????!!!! Imeandikwa na Shams Elmi (Abu 'Ilmi) Takriban katika maisha ya wanandoa walio wengi kama sio wote, ndoa zao hupitia katika vipindi tofauti. Kama ulivyo umri wa Binadamu, ndoa hupitia katika kipindi cha utoto, ujana na uzee, na kila kipindi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Ndugu na rafiki zangu wa Jamii Forums, Naomba msaada katika jambo hili. Nina ndoa ya kama miaka kumi. Nina mume wangu ambae najua ananipenda, nami pia ninampenda. Miaka kadhaa iliyopita nilikutana na jambo ambalo limenitia simanzi sana na sijui hata nifanyeje, kuna wakati siamini kama ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…