ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Makosa wanayofanya wanaume walio kwenye ndoa

    Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo. Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako. Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa. Kumsifia rafiki au ndugu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Zijue faida za uaminifu katika mahusiano ya Ndoa

    Suala la uaminifu katika mapenzi kwa karne hii limekuwa kikwazo kikubwa kwa watu wengi sana, wengi wemekuwa si waaminifu wakati mwingine kupelekea mahusiano hayo kufa. Hivyo uaminifu ni muhimu sana katika mapenzi kwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi kuna faida nyingi kwa mwili na akili. Watu...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa kudumu inataka uzuzu

    Kibongobongo Ili ndoa idumu lazima mume ujifanye Zuzu aisee. Mdomo mdomo wa mke ndani ukimuendekeza mtabaki kuzozana day-in, day-out hakuna maendeleo. Yaani Ile mke akiamka tu full kuongea tu mtu mpaka unajuta kubaki home na Corona hii.. jamani Kuna kinamama wanaongea aisee Tena NEGATIVITY tu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini tofauti ya Ngono, Tendo la Ndoa na Unyumba?

    Wapendwa, Kwa wenye ufahamu naomba msaada wa maana na matumizi sahihi ya maneno haya matatu NGONO, TENDO LA NDOA NA UNYUMBA. Nimeyasikia mara nyingi lakini sina hakika kama yanamaanisha kitu hicho hicho au tofauti.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kilichovunja ndoa ya Diamond na Tanasha ni hiki

    Ni malaika slt, binti kutoka Australia, Mond alipagawa akafa video vixen wa jeje
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wale walioko kwenye ndoa tu, watupe majibu.....

    Kwa wale walioko kwenye ndoa tu,watupe majibu..... Pale unapokutana na magumu au changamoto za kimaisha; kama uchumi, mambo ya kazi, maradhi, kesi n.k mtu wa kwanza kumshirikisha hali unayoipitia huwa ni nani? Mke/Mume, baba yako/mama yako,rafiki au watoto wako,dada/kaka zako..na kwa nini yeye...
  7. JamiiForums Tanzania Did you know? Secondary school girls are 3x less likely to become child brides

    Did you know? Girls who complete secondary school are 3x less likely to become child brides. #EachforEqual #IWD2020 #KizaziChenyeUsawa
  8. JamiiForums Tanzania Alpha Blondy afunga ndoa na Bi Aisha kutoka Tunisia

    Mnamkumbuka mkongwe wa Reggae kutoka Ivory Coast, alizaliwa 1953 akiwa anaiwa Seydou Kone. Amefunga ndoa na Bi Aisha mzaliwa wa Tunisi. Alpha Blondy atakua na wake wa tatu sasa. ===== Global reggae icon Alpha Blondy born Seydou Koné has secretly married a much younger Tunisian lady...
  9. JamiiForums Tanzania Wanandoa wanatakiwa wafanye tendo la ndoa mara ngap kwa siku?

    jaman naomba mnisaidie mawazo,maana ndoa yangu bado changa
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

    KWANINI MAHUSIANO / NDOA NYINGI HAZIDUMU? Unapoingia katika ndoa au mahusiano huwezi kufikiria hata kidogo kwamba asilimia kubwa ya ndoa au mahusiano hayo kufeli.Ndoa au mahusiano yanaweza kufeli kwa sababu nyingi na iwapo ndoa yako ilianguka na kufeli sababu kubwa yaweza kuwa na tofauti...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wanandoa wadai fidia baada ya kanisa lao kuvunjwa saa 48 kabla ya ndoa yao

    Muhwezi Benson and Akankwasa Sophie Wamedai fidia ya Tsh milioni 376 kwa kanisa la ‘Church of Uganda’ baada ya kufuta ndoa yao iliyogharimu takribani milioni 471 kuiandaa Mwanasheria wa wanandoa hao alisema kuwa wateja wake wamekuwa na hali ngumu hivi sasa kisaikolojia na wameingia madeni...
  12. JamiiForums Tanzania Makufuli yafungwa darajani, funguo yatupwa baharini kutunza ndoa

    MAPENZI yanachukua sehemu kubwa katika maisha ya binadamu na katika kuyaenzi kumekuwa na mambo mengi yanayofanywa na wapenzi ili kudumisha penzi. Kwa nchi zetu za Afrika, mara nyingi suala la kufunga ndoa huishia kula kiapo kanisani na kisha kutunukiwa vyeti na wakati mwingine kuambatana na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake mlio na ndoa someni hapa kuna la kujifunza

    *MWANAMKE ALIYEACHIKA ANAANDIKA* Ninaandika haya ili uelewe kwamba ni vizuri kuwatambua wenza wetu na mchango wao licha ya mapungufu yao. Nina umri wa miaka 32. Mimi na mume wangu tulikaa kwenye uchumba kwa miaka 6. Tulikuwa marafiki sana. Nilimsubiri mpaka alipomaliza masomo yake ya chuo na...
  14. JamiiForums Tanzania Ndoa hii imenifurahisha sana(harusi)

    Dah SINA cha kusema
  15. JamiiForums Tanzania Majukumu ya mwanaume kwenye ndoa

    Brother uliyeoa,nisikilize mie Didas Tumaini nikujuze: Acha nikupe dawa ya akili, labda itakujaza maarifa sahihi ya kutunza ndoa yako. => Mwanaume anayejitambua lazima anajua majukumu yake, na kamwe hawezi kuyakwepa. Bro, unapooa basi jua majukumu yako sio tu kuacha hela ya kula asubuhi, na...
  16. JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni: Rais Magufuli yupo well-informed na fiti sana kichwani kwa kumbukumbu. Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa!

    Wanabodi, Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni, Rais Magufuli, kwanza yuko well informed kwa upande wa data za utendaji wa wateule wake wote! kichwani yuko fiti sana katika utunzaji wa kumbukumbu kutoka kichwani, leo katika kuwaapisha viongozi wapya aliowateua hivi karibuni, alikuwa anatiririka...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu walio oa

    Hongereni wanaume marijali mnaotunza familia zenu na watoto Jambo linalopunguza watoto wa mitaani , Leo nilikuwa katika usafiri wa public transport kulikuwa na majaridiliano makali kuwa wanaume wote wenye michepuko huwa wanamudu changamoto za ndoa na kuepukana na talaka!!! Waliotoa msimamo huwa...
  18. JamiiForums Tanzania Njia saba kujua mapenzi ya mungu kwenye ndoa

    7 WAYS TO DISCOVER THE WILL OF GOD IN MARRIAGE A lot of things have been said and written about the will of God in marriage. Many people, especially Christians, are concerned about marrying the will of God for their lives and not making a marital mistake. This man writing is not an exception...
  19. JamiiForums Tanzania Somo kwa munaovumilia kwenye ndoa

    Today's lesson for women If your husband is abusive ,harsh and violent,and you know you can not take it... WALKAWAY If your husband is a serial womanizer and you cannot take it... WALKAWAY If your husband married or impregnated another woman and you think you cannot withstand it... WALKAWAY If...
  20. JamiiForums Tanzania Changamoto za uke wenza

    Shosti wangu analalamika sana kuhusu kuishi maisha ya uke wenza.Mumewe alimuolea mke mwenza na toka wakati huo maisha yao ni ya shida tupu. Kiwango cha maisha kimeshuka sana. Hakuna maelewano baina yake na mume, ukiachilia mbali mke mwenzie. Nyumbani kumekua kama kituo cha polisi. Kwa wale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…