Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.
Wadau hamjamboni nyote? The Israeli Air Force is carrying out strikes on the Houthi-held Sanaa International Airport in Yemen, according to local media.
The strikes come after repeated Houthi missile attacks on Israel in recent days.
Earlier this month, also after repeated attacks...
Habari za uhakika
Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani
Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar es salaam na aijulikan watarudi kwa meli boti ama ndege
KWA KAZI nzuri waliyofanya
Naomba...
MADINI YA ALMASI YENYE THAMANI YA TSH 1.7 BILIONI YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA
▪️Waziri Mavunde awapongeza RC Mtanda,Kamati ya Usalama,Uwanja wa Ndege na Kikosi kazi Madini
▪️Aelekeza uchunguzi zaidi kubaini mtandao wote wa wahusika
▪️Atoa rai kwa wadau wa madini kuzingatia...
Kwa mwaka 2025, ndege ya kivita inayoongoza duniani ni Lockheed Martin F-35 Lightning II, ikizingatia teknolojia ya kisasa, uwezo wa kiutendaji, na matumizi ya kimataifa.
🔝 Ndege Bora za Kivita Duniani (2025)
1. F-35 Lightning II (Marekani)
Uwezo wa Stealth: Imeundwa kwa teknolojia ya hali...
Sasa ni rasmi na hiyo ndege itakuwa retrofitted kabla haijaanza kutumika kumsafirisha Rais.
Marekani imepokea ndege iliyokusudiwa kwa ajili ya msafara wa Air Force One kutoka Qatar — zawadi ambayo imezua ukosoaji mkubwa, hata kutoka kwa baadhi ya wafuasi wakubwa wa Rais Donald Trump.
“Waziri...
El Al iliripoti kuibuka kwa asilimia 19 katika faida ya robo ya kwanza, na kufikia dola milioni 96 licha ya mashirika ya ndege ya kigeni kupunguza safari za Israeli. Mapato yalipanda 5% hadi $774 milioni, wakati sehemu yake ya soko ilishuka hadi 44% kutoka 62% mwaka uliopita.
Mkurugenzi...
Matukio mawaili makubwa wiki hili; kuzuiwa wanaharakati wa Kenya (Martha Karua et al) na kushambuliwa kwa akaunti nyeti za mitandao na ku kisha kuchapisha taarifa potofu.
Sipendi dhulma na uonevu anaofanyiwa Tundu lakini pia ni utoto kuwapa airtime hawa Wakenya
Madhaifu ya serikali ya CCM...
Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji.
"Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
Kwa baadhi ya ya tamaduni tai akitua juu ya paa lako...
Watu watakusanyika na kuanza kutoa maelezo mbalimbali
Wengine Watazomea na kupiga kelele, "Jamani eeh! Nuksi imetua!"😂
Wengine hata wataita waganga wa kienyeji
Na Wengine watafunga na kuomba.
Yote haya ni Kwa nini?
Kwa sababu kuna wazee...
Hairuhusiwi popote pale Ndege ikiwa Angani Watu (Abiria) kuanza Kucheza Dansi huku wengine Wakiruka Sarakasi katika Viti vyao na wengine wakirandaranda na Vinywaji vyao (Vilevi) kana kwamba Wote wako Baa wakati kumbe wako Futi 65,000 Usawa wa Bahari wakiitafuta Morocco.
Na nimeshangaa sana tu...
“Yemenia”: Our Aircraft are Insured Against War Globally Except for Yemen’s Airports Due to “International Classification”
Yemen Airways imepinga kwa nguvu taarifa "zisizo kweli na zisizo sahihi" zilizosambazwa na baadhi ya mashirika ya habari ya kimataifa, ambayo yalidai kwamba ndege za...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais wa Marekani Donald Trump yuko tayari kupokea ndege ya kifahari aina ya Boeing 747-8 kama zawadi kutoka kwa familia tawala ya Qatar wakati wa safari yake ya Mashariki ya Kati wiki hii ijayo, na maafisa wa Marekani wanasema inaweza kubadilishwa na kuwa ndege inayoweza...
Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kwamba Rais Trump anatarajiwa kupokea "ikulu inayo kuruka" kama zawadi kutoka kwa mtawala wa Qatar- Boeing 747-8 yenye thamani ya mamia ya mamilioni ya dola, iliyopambwa kwa dhahabu na samani za kifahari.
Cha kushangaza ina vifaa vingi vya kusikiliza...
raisi D.Trump kama alivyoahidi ameanza kuhamishia Wazungu ktk AK kwenda moja kwa moja USA ambapo watapewa ukimbizi na citizenship straight a way na kuwa integrated in the amerikan society.
sababu kuu ya raisi wa USA kufanya hivyo ni know how na ujuzi ambao hawa Christians ktk AK wanao, kuanzia...
Rais Vladimir Putin aliamrisha idara yake ya ujasusi itume ndege kumfuata Rais wa Burkinafaso Kapteni Ibrahim Traoure ili ahudhuria maonesho ya kijeshi nchini Urusi.
Hayo yamejiri baada ya matishio kadhaa ya kumtoa kumpindua na ikiwezekana kumtoa uhai Rais Traoure.
Rais Putin ni mshirika mkuu...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Palamagamba Kabudi akiwa Bungeni Jijini Dodoma leo May 08,2025 kwa niaba ya Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kwamba Serikali itawapa Simba SC ndege kuelekea Morocco kwenye mchezo wa fainali.
“Baada ya...
Imefahamika kuwa ndege ya pili ya kivita ya Marekani katika wiki moja ilikuwa imedondoka ndani ya bahari nyekundu muda mfupi tu kabla ya raisi Trump kutangaza kusitisha vita.
Msemaji wa jeshi la Marekani amesema ndege hiyo ilipata mkasa huo wakati ikijaribu kutua kwenye deki la meli ya USS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.