ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania India yapoteza ndege 5 za kivita katika siku ya mwanzo ya vita

    Pakistan imesema inajitayarisha kujibu vita vilivyoanzishwa na India ndani ya mipaka yake huku ikitoa tangazo la kuzidondosha ndege 5 za kivita za India zilizoshiriki mashambulizi hayo. Wakati huo huo jeshi la India limepeperusha bendera nyeupe mpakani na jimbo la Kashmir upande wa Pakistan...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa “Uwanja wa ndege wa Sanaa waangamizwa”

    Habari za kuaminika uwanja wa ndege wa Sanaa waangamizwa na ndege zote zilikuwepo uwanjani hapo zimeteketezwa bila huruma yoyote. Waliokuwa wanawasifia hawa Vibaka Njoo I tena muwasifie kipigo cha leo ni katika kuwatia adabu kutokana na jaribio lao la kupiga uwanja wa ndege wa Ben Gurion...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Yemen ina tofauti gani na ukuta usio na mlinzi ulioandikwa "usikojoe hapa" ? Inawezekanaje ndege 30 za Israel ziingie bila hata moja kuangushwa ?

    Ndege 30 zimeingia kwenye anga la Yemen kwenye ukanda wa Houthi lakini wameshindwa kuotea hata moja tu ? Hata hivyo, lawama kamili huenda ikaelekezwa kwa Iran, ambao wapo nyuma ya Houthi. Inaonekana kwamba Iran waliwapatia Houthi mifumo ile ile ya ulinzi wa anga ambayo Israel waliidharau kwa...
  4. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya ndege 30 za Israel zimeanza kunyesha mabomu ndani ya Yemen

    zaidi ya ndege 30 za kivita za Israel zimezingira muda huu ndani ya Yemen huku zikipiga bandari , uwanja wa ndege na vituo vyote vya mawasiliano. Hali ya tahadhari imetolewa muda huu Kwa raia nchini Yemeni kuhama kwenye maeneo yote yaliyo chini ya wapiganaji wa houthi.
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi 50+ tumeondolewa katika ajira ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) kwa uonevu, Mamlaka za juu zitusaidie

    Mimi ni mfanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kimsingi tuliingia hapo kipindi cha Ukaguzi wa ICAO Mwaka 2023, kutokana na idadi ndogo ya Wafanyakazi wa TAA, Taasisi iliona ni Muhimu kuajili watu ili kuongeza nguvu katika vitengo mbalimbali ikiwepo security. Tuliitwa Vijana...
  6. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Nimegeuzwa fursa? - nimeuziwa ndege John badala ya kuku?

    Ni kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani. Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi wa nyama' yake na utofauti wa ngozi ya juu unanifanya nijiulize kama kweli huyu ni kuku halisi au ni...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ndege mwenye tabia ya viongozi wa Afrika

    Ebwana huyu ndege anatambulika kama hamerkop, ni ndege katika familia ya kunguru au korongo au wote au kwa kifupi ni wa kipekee. Ni ndege anayejenga kiota cha ukubwa wa Toyota Probox au Noah. Kisha huendelea kukusanya kila kitu na kukitia humo ilihali havimsaidii 😁 Yani unaweza kufumua kiota...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

    Wanaukumbi. Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi. Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa...
  9. Ritz

    JamiiForums Tanzania Houthi waishambulia Meli ya USS Harry S. Truman, na kuangusha ndege ya kivita ya F-18

    Wanaukumbi. This is an extremely serious incident for U.S. Navy. It would mean hostile missiles or drones got past the carrier’s layered defenses (fighters, AEGIS ships, CIWS), showing potential gaps in U.S. naval protection. A group like the Houthis forcing a $13 billion carrier into hard...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Balaa kubwa laipata meli ya kivita ya Marekani kwenye Red Sea.Wapoteza ndege ya kivita ya mabilioni

    Ndege ya kivita yenye thamani ya dola za kimarekani 70mil sawa na mabilioni ya fedha za Tanzania imepotea kwenye bahari nyekundu. Tukio hilo limetolewa taarifa na US navy na kutaja sababu ni wakati wa harakati za kuitayarisha ndege hiyo kwa kuivuta kwa kutumia trekta.Dereva wa trekta ambalo nalo...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna zile IDs za wana Simba SC ziliiombea mabaya Jana kwakuwa tu Rais Samia aliipa Simba SC Ndege, chonde naziomba ziendelee kuiombea mabaya Simba SC

    Kuna Watu hapa JamiiForums ni Wapumbavu (Mapopoma) hadi basi. Hivi unajijua kabisa Wewe ni mwana Simba SC na unajulikana hapa lakini kwa CHUKI ZAKO TU ZA KISIASA (za CHADEMA na CCM) unaiombea Simba SC mabaya huko Afrika Kusini katika Mechi yake ya Jana dhidi ya Stellenbosch FC na hadi Kuilaani...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba imepewa ndege au imelipiwa nauli?

    Kuna huu upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusiana na uamuzi wa Serikali ya Rais Samia kuipa tafu klabu ya Simba katika mechi yake ya pili dhidi ya Stellenbosch huko Durban, South Africa. Yamezuka maneno kutoka pande fulani zikisema Simba imepewa ndege halafu badala ya kubeba mashabiki wake...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Mashirika ya ndege yanayokuja nchini huajiri mhudumu maalum anayezungumza Kiswahili lakini waajiriwa wale si Watanzania

    Nimeshangazwa sana na waziri mkuu kushangazwa na wanaoajiriwa kwenye ndege za mashirika ya kimataifa kwa ajili ya kuzungumza kiswahili sio watanzania. Kwa mtazamo wangu nilidhani waziri mkuu angekuja na mpango ambao serikali imefanya kuwafanya watanzania wanaozungumza kiswahili waajiriwe kwenye...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tukio la kupasuka kioo cha ndege kilicho mtoa rubani na kupona

    Mnamo Juni 10, 1990, Ndege ya British Airways nambari 5390 ilikuwa safarini kutoka Birmingham kuelekea Malaga. Ilipofika urefu wa takriban futi 17,300, tukio la kutisha lilitokea baada ya kioo cha mbele cha ndege kujitenga ghafla wakati ndege ilikuwa ikiruka katika urefu wa juu. Nguvu ya...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Team ya kampeni ya Prof Janabi ipewe ndege ya ATC kusafiria

    Ili kuwezesha kuwafikia Wapiga kura wengi duniani. Napendekeza Timu inayomtafutia Kura Prof huko duniani wapewe ndege moja au mbili za ATC pamoja na posho nene kwa ajili ya kuzunguka duniani kote kutafuta Kura mpaka ashinde WHO.
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Fun Fact: Unajua kuwa firigisi ni meno ya ndege?

    Ndege hawana meno ya kusagia chakula kama binadamu. Hivyo tumboni mwao wanafirigisi inayofanya kazi kama meno. Firigisi ina misuli yenye nguvu ambayo ikijikunjakunja, pamoja na mawe yaliyomo ndani yake, mawe yale husaga chakula kama vile mbegu ngumu. Kwa watu wa machimbo, firigisi ni kama...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Jux alipaswa kupewa ndege impeleke harusini Nigeria

    Kwa mchango wa Wasanii wetu katika ushindi wa Chama. Jux alistahili Boeing 787 impeleke pamoja na Wasanii wote Lagos achukue jiko na kumrudisha nchini. Pia ubalozi wetu Abuja ilipaswa kushiriki kikamilifu kwenye harusi hii ya kipekee.
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wanyama na ndege wa Afrika. 3-Kifaru.

    KIFARU KIFARU ni mnyama aliye mkubwa sana na mnene kabisa. Ingawa watu husema kwamba makao yake ni Afrika, wako wengine wa jamii yake Bara Hindi na Java na Sumatra; tena ziko alama za vifaru wa kale karibu kila upande wa Asia. Haya yanaonyesha kwamba zamani vifaru walikuwa wanakaa mahali...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wanyama na ndege wa Afrika. 2-Chui.

    CHUI KATIKA wanyama wote wanaomshabihi paka hapa Afrika hakuna aliye mkubwa kuliko chui ila simba tu. Urefu wake, chui, toka pua yake mpaka ncha ya mkia wake wapata futi saba na uzito wake ni kama ratili mia na hamsini. Anajulikana kwa ajili ya uzuri wa ngozi yake yenye madoa meusi. Madoa...
  20. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania China yasitisha uagizaji wa Ndege za Boeing

    China imeonyesha kuchafukwa sasa wameingia kwenye Vita rasmi ya kibiashara sasa wanayanyoosha makampuni ya Marekani kitu ambacho kitasababisha mdororo wa kiuchumi na ukosefu wa ajira huko US. The trade war: China has ordered its airlines to halt all deliveries of Boeing jets and stop purchasing...
Back
Top Bottom