Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.
Hakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.
Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu...
Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo...
Baada ya agizo la Dharura, Foleni ya kuondoka Tehran imekuwa ni kubwa sana,
Trump kalazimika kukatisha mkutano unaoendelea nchini Canada wa G7 na kurudi haraka Marekani, Amewaagiza wajumbe wa Baraza la Usalama wa Taifa (NSC) wawe tayari kwenye chumba cha dharura (Situation Room)...
Katika tukio la kushangaza linalovuka miaka na kizazi, kiti cha ndege nambari 11A kimekuwa gumzo duniani kutokana na miujiza miwili ya walionusurika ajali mbaya za ndege.
Mnamo mwaka 1998, mwimbaji maarufu wa Thailand, Ruangsak Loychusak, alinusurika ajali ya ndege iliyotikisa taifa hilo —...
Simba, juzi juzi tu kuelekea fainal yenu, Mama alitoa karibu gharama zote simba kwenda na kurudi Moroco, mlimpongeza mama kwa vicheko na furaha meno yote 32 nje nje kwa furaha mlokuwa nayo
Leo kawaita kuwasuruhisha, mnasema anaingilia soka na mambo yasiyomhusu
Yanayomhusu ni kutoa pesa za goli...
Hii sio sasa maana Usrael wanaingia na kutoka kwenye anga la Iran utadhani wanacheza game.
Mikwara yote ile tuliyokuwa tunasikia ya mifumo imara ya ulinzi wa anga imegeuka kuwa kama kituko, Hivi kweli ina make sense katika ndege zote hizi zinazokwenda kushambulia Iran hakuna hata moja...
saa 2 zilizopita BREAKING NEWS Ndege za kivita za Israel zitaruka hivi karibuni juu ya Tehran, Netanyahu anasema Ndege za kivita za Israel hivi karibuni zitaruka juu ya Tehran na kushambulia shabaha zote muhimu za kuanzishwa kwa makasisi wa Iran, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alisema Jumamosi...
Makobaz wanazusha kwamba ndege moja ya Israel ilidunguliwa, ifahamike utaalam wa hizi ndege ni wa hali ya juu, yaani radar zenu zinagundua uwepo wa ndege kama tayari ndege imeshapita na kurusha mabomu yake, yaani mnaona uwepo wa ndege na kuanza kuhaha, kumbe ilishapita baada ya kufanya...
Nikiwa Rais wa Tanzania ndege zitatengenezwa hapa nchini
Zifuatazo ni sifa za ndege zitakazotengenezewa Tanzania;-
Zitakuwa zinatumia motor kama engine
Motor hizi ni za kipekee sana zinltakuwa na utofauti na motor zinazotumiwa na magari au rockets
Battery zitakuwa na uwezo wa kurecharge huku...
Huku tukidhani kuwa air defense ya Iran imemalizwa nguvu, leo Iran imefanikiwa kudungua ndege mbili aina ya F-35 ambazo ni stealth (Hazionekani katika radar). Hatma ya Marubani wa ndege hizo haijulikani
--------------------------
Logo
News / Defense / Iran Retaliation
Iran...
Kwa mara ya kwanza, ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imetua katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya majaribio ya awali kabla ya kiwanja hicho kuanza rasmi kuhudumia Watanzania.
Akizungumza baada ya kuipokea ndege hiyo, Waziri wa Ujenzi...
🚨🇮🇷🇮🇱
Israel imetumia miaka mingi kujiandaa kwa shambulio dhidi ya maeneo ya nyuklia na makombora ya Iran, ikiwa ni pamoja na kuingiza silaha na majeshi ya vikosi maalum kwa siri ndani ya nchi hiyo, kwa mujibu wa afisa wa usalama wa Israel.
Wakala wa Mossad wanaripotiwa kuanzisha kituo cha...
Sitaki uchochezi, najiuliza tu maswali ya kijinga
La bandari maelezo yamekuwa mengi tumekubaliana nayo vema, Je hili la kuuwa shirika la ndege la nchi hiyo hiyo na kuzaliwa shirika lingine kwenye nchi hiyo hiyo moja limekaaje?
Kwa wenzetu huko vipi? Nchi moja inaweza kuwa na mashirika mawili...
Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
Mradi wa Treni-Ndege ya umoja wa Kisovieti (Soviet Jet Train) ulianza katika miaka ya 1970 kwa wazo rahisi, weka injini za ndege ambazo haziwezi kutumika tena angani, lakini bado zinaweza kutumika ardhini.
Kwa mradi huu, Treni ya ER22 ilirekebishwa umbo kuweza kusimikwa injini za ndegevita ya...
Akijibu hoja iliyoibuliwa na Mwandishi wa Habari kwenye kikao maalumu baina ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na wahariri, kuhusu changamoto ambayo imekuwa ikijitokeza kwa nyakati tofauti kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kushindwa kuzingatia muda na ratiba za safari, Msajili wa Hazina, Nehemia...
Habari zilizopo kwa sasa na uthibitisho wa video ni kuwa Ukraine imefanikiwa haribu ndege vita zaidi ya 40 ndani ya Urusi.
Haijulikani wamefanikiwa vipi kwani umbali huo FPV drone haziwezi fika
Siku ya jana pia wamefanikiwa lipua madaraja mawili ndani ya Urusi
SSB chini ya Budanov ni habari...
Ukraine imesema imekamilisha shambulio lake kubwa zaidi la masafa marefu tangu vita na Urusi kuanza, baada ya kutumia droni zilizosafirishwa kwa siri kushambulia kwa pamoja ndege za kivita takriban 40 katika kambi nne za kijeshi nchini Urusi siku ya Jumapili.
Rais Volodymyr Zelensky alisema...
Tangu raisi Trump atembelee nchi tatu za kiarabu za mashariki ya kati na kupewa zawadi kede kede minongono imekuwa mingi hasa juu ya Qattar kuipatia Marekani ndege moja ya fakhari sana kwa matumizi yake ya kumsaririsha raisi huku na huko ndani na nje ya nchi.
Hatimae Qattar imesema kupitia...
Baada ya matishio ya muda mrefu yaliyokuwa yanafanywa na kundi la kigaidi la Houth kushambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion bila mafanikio!! mfupi uliopita, IDF ilishambulia uwanja wa ndege mkuu wa Sana'a na ndege za kundi la kigaidi la Houthi.
Ndege zilizolengwa zilitumiwa na utawala wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.