Hongera Mkuu. Binafsi Nimeishia hizi za humu humu TZMajuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda KIA na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.
View attachment 2212905
View attachment 2212918
Wabongo ni complex mno. Kakuambia anakutisha? Punguza stressPicha za kudownload izo usitutishe.
Wabongo ni complex mno. Kakuambia anakutisha? Punguza stress
Mkuu mi mshamba tu sikuangalia hizo Mbanga. Hayo fanyeni wasomi uchwara msiojitambue kmmkNi sawa na kusema Dar Express bonge la basi, KLM ni shirika na siyo aina ya ndege, Bonge la ndege ulipaswa aina ya ndege uliopanda inayoendeshwa na Shirika la klm kama ni Air Bus (type gani), Boeing type gani nk. got it ?
Mkuu mi mshamba tu sikuangalia hizo Mbanga. Hayo fanyeni wasomi
Tufanye nina uelewa Mdogo. AsanteHuyo siyo ushamba, bali ni uelewa, hivyo ulipaswa kusema kwamba una uelewa mdogo, unaweza kuwa mshamba lkn bado ukawa clever, got it ?
Achana nao wabongo tumejaa wivuMkuu mi mshamba tu sikuangalia hizo Mbanga. Hayo fanyeni wasomi
KweliAchana nao wabongo tumejaa wivu
Allu akitoka namchukulia bonge la ndege akapumzike 😎😎Picha za kudownload izo usitutishe.
🤣🤣🤣🤣 katoka Sabaya lazima dogo atatoka.Allu akitoka namchukulia bonge la ndege akapumzike 😎😎
Haipingwi hiyo lazima atoke. Nipo hapa nahesabu masiku tu 😀😀🤣🤣🤣🤣 katoka Sabaya lazima dogo atatoka.
Majuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda KIA na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.
Ukiacha KLM ni flight gani nyingine ya kwenda developed countries umewahi kupanda?
View attachment 2212929