ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania MSD yakiri kushindwa kusambaza Dawa kwa ndege zisizo na rubani (Drones)

    Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Mavere Tukai ametaja sababu za kusimama mradi huo ni kutoonesha tija na kuwa na ugumu kiutekelezaji. Amesema mpango huo si kipaumbele chao, wanachokifanya kwasasa ni kuhakikisha wana Dawa za kutosha, Wanatekeleza Matakwa ya Kikanuni na Kuimarisha Muundo wa utendaji...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Unachelewa kwenda Sudan halafu unatumia ndege ya abiria, ikibadili ratiba je?

    Aisee hii ni hatari ya ajabu sana. Duh, mechi Jumapili wewe unaondoka Alfajiri saa kumi Jumamosi kwa ndege ya Ethiopian Airlines na kufika Sudani saa saba mchana. Heeeee! Ikitokea la kutokea ratiba za ndege zikaingiliana mkachelewa kufika huko Sudan, mtamlaumu nani ndugu zetu? Mimi nilidhani...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yaizidi JNIA kwa idadi ya wageni wanaoingia nchini

    Uwanja ndege wa AAKIA mwaka 2021 ulipokea wageni wa kimataifa 732,000 ukifuatiwa na JNIA uliopokea wageni 604,000 wa kimataifa, ikiwa ni tofauti ya wageni 128,000. Ripoti ya takwimu za kitaifa (Tanzania in figures 2021) inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inaonyesha kuwa uwanja huo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

    Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu! Hii ni ndege ya chini! Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah! Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo! Na ukitaka...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani wakuu. Zile sanamu za kufukuzia ndege mashambani zinaitwaje?

    Kwa kiingereza wanaita Scarecrow. Kiswahili zinaitwaje.
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndani ya masaa 24, Urusi wamepoteza ndege ya kivita, helikopta na vifaru 18

    Huku Ukraine wakiendelea kusubiri wanywa gongo wanaotumwa na Putin kuja kupigana kwa niaba ya wanajeshi waliokimbia mapambano, Ukraine bado wanatembeza kichapo..... Russia suffered significant losses of military equipment both in the air and on the ground over the last 24 hours, the Ukrainian...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Tiketi za ndege zimekwisha, Warusi wanaitoroka nchi yao baada ya hotuba ya Putin

    Putin ametoa hotuba itakayoanza kulazimisha wanajeshi wa akiba.... Tiketi za ndege zimeisha, hamna ndege, watu wanaikimbia nchi, tatizo ni mataifa machache yanawapokea Warusi kwa sasa.... Russian President Vladimir Putin has announced the partial mobilization of his country's reservists...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kama unapenda maswala ya aviation, na hujawahi au huifahamu ndege vizuri pitia hapa

    Huyu mdada Yuko njema sana nilikuwa napita pita YouTube nikaona vids zake Piloti Bambi Inaonesha Ana ulewa sana na hayo maswala kakulia huko, check it out hizo vid utaziona kwa ukaribu Helicopter pia
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wapiga chini ndege ya Su-24 ya Warusi

    Aisei kupoteza ndege ya kivita kizembe hivi mbona kunauma sana... Ukraine destroyed a Russian Su-24 aircraft, also known as a "Fencer" jet, its armed forces said Friday, as war between the nations continues. "During the current day, the Defense Forces aviation has hit 4 areas of the focus of...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ndege ya Mizigo (Air Tanzania)

    Utangulzi Kufuatia mpango wa serikali ya Tanzania kuagiza ndege moja ya mizigo (Boeing 767 yenye uwezo wa kubeba tani 52) katika kkufanya biashara na kusaidia katika usafirishaji wa bidhaa za ndani na nje ya nchi. Niiliwaza na kuona kuwa kuna haja ya kulitizama hili mapema ili kuepuka hatua za...
  11. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Abiria afariki ndani ya ndege ya Kenya Airways kabla haijaruka

    Taarifa iliyotolewa na shirika hilo leo Septemba 14, 2022 ilisema abiria huyo alifariki alipokuwa akihudumiwa na wahudumu wa afya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) Imeelezwa abiria huyo alipata matatizo ya kupumua alipokuwa akiingia kwenye ndege ambayo ilikuwa...
  12. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania US na washirika wake wajadili namna ya kutuma ndege za kivita Ukraine

    Marekani na washirika wake wanatarajia kukaa kikao kujadiliana namna ya kuweza kutuma ndege za kivita Ukraine. Kumbuka hitaji Hili Ukraine wamekua wakilihitaji kila siku. Pia Ukraine anahitaji vifaru vya kisasa aina ya leopards kutoka German, Germany alionekana kusitasita ila kwa mafanikio...
  13. Msishangae

    JamiiForums Tanzania Leo ni miaka 21 tangu majengo pacha nchini Marekani kushambuliwa na ndege - kwanini haizungumzwi?

    Wana JF, Hadi muda huu sijasikia kama leo kuna kumbukumbu ya miaka 21 tangu majengo pacha kushambuliwa na ndege kulikoni au mambo ya urusi na Ukraine yamefunika kila kitu.
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7000 vyakamatwa Uwanja wa Ndege

    Mamlaka za Forodha Nigeria imekamata viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7,000 vilivyokuwa Uwanja wa Ndeger kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea Hong Kong. Viungo hivyo vilikuwa katika magunia 16 na vilibainika baada ya kutoa harufu, na gharama yake imetajwa kuwa ni Dola 478,000 (Tsh. Bilioni...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Marubani wasimamishwa kazi kwa kupigana wakiwa angani

    Shirika la Ndege la Ufaransa, limewasimamisha kazi marubani wake wawili wa Air-France kwa kosa la kupigana wakati wakirusha ndege ya Airbus A320 kutoka Geneva kwenda Paris mwezi Juni. Wafanyakazi wengine waliingilia kati ugomvi baada ya kusikia kelele ambapo waliamua kuwatenganisha vyumba...
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Jinsi ndege ya Rais Habyarimana ilivyotungiliwa

    Naitafsiri kidogo Ile posting ya JF ya Jager Master ya Dec, 2011. Hii makala ya 2001, imeandikwa na kachero Wayne Madsen. Anasema Marekani Wana kambi Cyangugu, Rwanda karibu na mpaka wa Congo. Wizara ya Ulinzi ya Marekani mara nyingi inaàjiri PMC (private military contractors) ambao zamani...
  17. ward41

    JamiiForums Tanzania Kumbe Qatar, Emirates, British airways ni vishirika vidogo vya ndege Duniani.

    Haya hapa ndiyo mashirika makubwa ya ndege za abiria ulimwenguni. Kama kawa USA ana top list
  18. S

    JamiiForums Tanzania Uturuki yalalamika ndege zake F-16 za kimarekani zimenyanyaswa vibaya mno na S-300 ya Ugiriki

    Ndegevita za kimarekani F-16 zinazomilikiwa na Uturuki zimenyanyaswa kijinsia na S-300 (mfumo wa ulinzi wa anga wa kisoviet/kirusi wa zamani) ya Ugiriki zilipokuwa zikiruka kwenye kisiwa cha Crete (Ugiriki). Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya Uturuki (mwanachama wa NATO kwa miaka...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza kuficha ndege zake, yaziondoa Crimea baada ya mapigo

    Pale Crimea hapakaliki, milipuko ya ghafla hadi imekua kero, ndege za kivita zinalipuliwa zikiwa uwanjani, Urusi imeona isiwe tabu, yaanza kuzirejesha nyumbani..... Sikujua supapawa anaweza kuteswa kihivi na kainchi kadogo, vita kweli sio ukubwa wa nchi au wingi wa silaha.... Russia is...
  20. Jackal

    JamiiForums Tanzania Ndege za Israel zaingia anga la Iran kwa kujirudia wakati wa mazoezi ya kijeshi!

    Report: Israeli F-35s penetrated Iranian airspace repeatedly during war drills London-based Saudi news outlet says drones and mid-air refueling aircraft took part in exercises, managed to avoid Russian and Iranian sensors...
Back
Top Bottom