ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nilishiriki mapokezi ya ndege boeing 737 - MAX 9

    Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Mapokezi Ya Ndege Mpya (Boeing 737 - Max 9) Ya Shirika La Air Tanzania (Air Tanzania Company Limited) Ambapo Mgeni Rasmi Katika Mapokezi Hayo Alikuwa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaaliwa, Kwa Niaba Ya Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kutokana na...
  2. JamiiForums Tanzania IRAN; anga yetu si salama kwa ndege za Israel, zitakutana na pigo zito kutoka kwa ulinzi wetu

    Wanaukumbi. Kamanda wa kituo cha pamoja cha ulinzi wa anga cha Khatam al-Anbiya cha Iran: Anga zetu si salama kwa ndege za Israel, zitakutana na pigo zito kutoka kwa Ulinzi wetu wa Anga. Marekani na Ulaya wamemwambia Israel Usijaribu kurudisha mashambulizi Israel. Sisi itakuwa ngumu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi Afrika Mashariki inayomiliki ndege za kivita zisizotumia rubani?

    Katika ukanda wa Afrika Mashariki kuna inamiliki ndege zisizo na rubani kwa ajili ya vita? Kama ipo je hizo ndege ni mpya au zamani? Tunaweza kukabiliana na tishio mashambulizi kama Israeli? Kama hatuna kwanini tunakwenda kuficha majini Ukata? Tutaweza kujilinda wenyewe bila nguvu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi letu lina ndege za kivita zisizo na Rubani?

    Swali chokonozi na fikirishi toka kwa Mjanja M1 kwenda kwa wajuzi wa mambo nchini. Jeshi letu lina Ndege za kivita zisizotumia Rubani? Kwa anaejua tunaomba miongozo tafadhali....
  5. JamiiForums Tanzania Viwanja vya Ndege Vitano Vimekamilika, Miaka Mitatu ya Rais Samia

    VIWANJA VYA NDEGE VITANO VIMEKAMILIKA, MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu Serikali imefanikiwa kukamilisha viwanja vya Ndege 5 ambavyo ni Kiwanja Cha Ndege cha Geita, Mwanza, Mtwara, Songwe na Songea. Waziri Bashungwa...
  6. JamiiForums Tanzania TANAPA yatangaza kufunga Viwanja vitatu vya Ndege ndani ya Hifadhi ya Serengeti kwa muda

    TAARIFA KWA UMMA KUFUNGA KWA MUDA KWA AERODROMES Hii ni kuwafahamisha waendeshaji wa ndege katika Hifadhi za Taifa na Umma kwa ujumla kuwa kutokana na sababu za kiutendaji, viwanja vya ndege vifuatavyo vimefungwa kwa muda hadi tarehe 20 Mei 2024 (Serengeti Kusini), 1 Julai 2024 (Lobo) na 1...
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laweka ndege zake mkao wa vita dhidi ya yeyote

    Israel iko tayari kumaliza huu ugomvi wa muda mrefu, ifahamike moja kuwa nani mbabe ukanda huo, nani anayemuabudu Mungu wa kweli, hamna haja ya mikwara oohh masaa 48, yaani fanyeni kweli, mlipigwa tena kwenye unalozi. IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari in a press statement says Israel is...
  8. JamiiForums Tanzania Air Tanzania yakanusha ndege yake kumtelekeza Abiria nchini China

    Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa inayodaiwa kusamba na Mtanzania aitwaye Issa Azam aliyedai kuna raia wa Tanzania ambao walikuwa Abiria waliotelekezwa na Ndege hizo katika jiji la Guangzhou
  9. JamiiForums Tanzania Mfahamu ndege Flamingo

    1) Flamingo wanauwezo wa kuhisi mvua ikiwa umbali wa km 500.. Sio flamingo wote wana uwezo huo isipokuwa ni Flamingo kutoka bara la afrika hasa wanaopatikana nchini Namibia 2) Neno flamingo ni neno la kihispania flamenco lenye maana ya moto... Na sababu ya kuitwa hivyo ni kutokana...
  10. JamiiForums Tanzania Ndege aina ya Boeing 737 Max, ni hatari, zimepigwa marufuku nchi nyingi

    Wanajamvi aina ya hizi ndege zimepigwa marufuku sehemu nyingi sana Duniani baada ya mfululizo wa ajali. Inadaiwa Boeing 737 Max, ni ndege za kisasa mno lakini zina hitilafu kwenye mifumo yake ya utengenezajji. Ethiopia hii ndege ilianguka na kuua watu wote, majuzi Marekani hii ndege mlango...
  11. JamiiForums Tanzania Ndege wanapiga piga madirisha ya chumbani kwangu. Nifanyeje?

    Habari za muda huu! Nipende kumshukuru mama Samia Suluhu kwa kuniamsha salama. Nimeamka umeme hamna niko likizo nikasema nijilaze sasa kero ni Ndege aise wanagonga madirisha ya chumbani kwnagu mpaka naonea vioo huruma. Kwa ambaye anapitia hii changamoto huwa unafanyeje? Eneo nililoko ni Rombo km...
  12. JamiiForums Tanzania Top Ten viwanja vya ndege vinavyohudumia Abiria wengi Tanzania

    Passenger traffic 1 Julius Nyerere International Airport Dar-es-salaam Dar es Salaam 2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar Zanzibar 3 Kilimanjaro International Airport 4 Mwanza Airport 5 Arusha Airport 6 Songwe Airport Mbeya 7...
  13. JamiiForums Tanzania Wasomi tusaidieni kuunganisha mashirika ya ndege Afrika

    Wataalamu wasomi na wanamajumui kwa kuweka ubinafsi kando na uafrika mbele, hili jambo kama si leo ni siku zijazo laweza leta mapinduzi chanya katika kujikwamua na kuamsha shughuli nyingi za kiuchumi kijamii kiafya n.k. Hebu wasomi tusaidieni tufanyaje? Zingatia kama sio fitna leo East Africa...
  14. JamiiForums Tanzania Makonda: Anachokifanya Rais Samia Ndicho Alikifanya Magufuli (Mapokezi ya Ndege mpya ya Abiria Boeing B 737-9)

    https://www.youtube.com/watch?v=r1yNAnTHyC0 Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amefika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (JNIA) kama mgeni rasmi katika tukio adhimu la kupokea ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), leo...
  15. JamiiForums Tanzania Tulitangaziwa Ndege itawasili Asubuhi Saa 4, ila imewasili / inawasili Mchana huu

    Rais angekuwepo bado Kipenzi cha Wengi na changu hasa GENTAMYCINE Hayati John Pombe Magufuli ( JPM ) Ndege hii ingewasili muda ule ule wa Asubuhi kama tulivyotangaziwa. Ukiona unapuuzwa huku ukiwa wa Muhimu katika Ardhi fulani jua hufai na hata katika Vita hutakiwi Kuaminika kwakuwa huna...
  16. JamiiForums Tanzania Maafisa Usalama wavamia nyumba za Diddy, akakimbia msala na ndege yake binafsi inafuatiliwa huko Antigua Caribbean

    JUST IN: Rapper Diddy's private jet has been tracked to the Caribbean islands after his homes were raided in relation to a s*x trafficking investigation. The jet appeared to land on Antigua in the Caribbean according to flight tracking data. At the moment, it is unknown if Diddy is actually on...
  17. JamiiForums Tanzania Viwanja vya ndege vyalipuliwa huko Ukraine

    Makombora zaidi ya 20 yamepiga mji wa Lviv na Stryi na kulipuwa uwanja wa ndege za kivita na kulipua air defence Kambi za mafunzo , maghala ya silaha na visima vya mafuta kwa Sasa mji unawaka moto ili kuweza kuwachoma wanamgambo wa Ukraine walijificha kwenye mapango [🖼 Telegram channel...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Serikali kuleta ndege mpya nchini Machi 26, 2024

    Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani, hii itakuwa ndege ya 14 kutoka ATCL.
  19. JamiiForums Tanzania Ninaumia moyo kila ninaposikia serikali ya Tanzania imeagiza ndege mpya ya biashara

    Wiki ijayo tunapokea ndege nyingine ya fedha nyingi sana ambayo itaungana na ndege zingine za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Ununuzi wa ndege za mabilioni si tatizo, tatizo ni pale tumeruka hatua muhimu. Tulipaswa kutatua masuala ya maji, umeme, elimu, na afya kwanza kabla ya kufikiria...
  20. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato Sehemu ya Kwanza Kukamilika Disemba 2024

    UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO SEHEMU YA KWANZA KUKAMILIKA DISEMBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato - Dodoma umefikia asilimia 54.1 kwa sehemu ya kwanza inayohusisha ujenzi wa barabara ya kuruka na kutua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…