Air Tanzania fanyeni marekebisho ya ndege zenu

katawa

JF-Expert Member
Jan 29, 2010
749
1,667
Tarehe 30-12-2023 nimepanda ndege yenu iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou iliyopewa ruti namba TC 402.

Button za viti ambazo utumika kuweka kiti kwa mkao anaoutaka mtumiaji nyingi zimeharibika.Hili linapelekea msafiri kutokuwa na uwezo wa kuweka kiti atakavyo na kupelekea kero kubwa kwa wasafiri waliopewa siti ambazo hizo button ni mbovu.

Vyoo vinatoa harufu,nunueni pafyumu za kupulizia kwenye vyoo vya ndege.

Nawashauri fungueni ukurasa hapa JF hili tuweze kuwa na fursa ya kuwashauri kwa minajili ya kuboresha huduma ya shirika letu.
 
Mmezoea vyoo vya shimo itabidi mkifika maporini dereva afungue madirisha msimame mchimbe dawa.
 
Yeye ni mimi,uliyeniquote. Punguza kukurupuka mkuu. Uzi unahusu Air Tanzania na sio Ethiopia. Serikali yetu haiwezi kuendesha biashara,tafuta biashara inayoendeahwa na serikali yetu kupitia hao watu makini
Yeye amesema serikali haiwezi kuendesha biashara na mimi nimemjibu kumuonyesha na kumuonyesha mfano kuwa serikali inaweza kuendesha biashara kama ipo na mikakati serious na watu makini.
 
Ok nitakupa mifano michache ya biashara za serikali zenye mafanikio.
1. Biashara ya mazao ya misitu, tiki, mkulungu nk…
2. Biashara ya utalii, hapa naisemea NCA, Tanapa etc
3. Nenda hapo kwenye transit cargo zinazopita hapa kwetu.
4. MSD now wanadeliver Dawa mpaka huko Zambia

Kwa ufupi mkuu zipo sehemu nyingi zenye mafanikio na huduma nzuri ambazo 100% zipo owned by government.
 
mm niliteswa na ATCL kutoka MUMBAI- DSM, Ndege ya Saa 11 Alfajir tulikuja kuipanda Saa 2 na muda wote huo hakuna maelezo
 
ATCL wanafeli kwenye mambo madogomadogo.
Kama vile wafanyakazi wa hili shirika hawajielewi.
 
Yeye amesema serikali haiwezi kuendesha biashara na mimi nimemjibu kumuonyesha na kumuonyesha mfano kuwa serikali inaweza kuendesha biashara kama ipo na mikakati serious na watu makini.
Nini ambacho huelewi? Tunaongelea serikali ya Tanzania siyo Ethiopian. Kama kuna sehemu yoyote serikali imefanikiwa ndo tolea mfano hapa siyo kukimbilia nchi ambazo hatujadili hapa
 
Ok nitakupa mifano michache ya biashara za serikali zenye mafanikio.
1. Biashara ya mazao ya misitu, tiki, mkulungu nk…
2. Biashara ya utalii, hapa naisemea NCA, Tanapa etc
3. Nenda hapo kwenye transit cargo zinazopita hapa kwetu.
4. MSD now wanadeliver Dawa mpaka huko Zambia

Kwa ufupi mkuu zipo sehemu nyingi zenye mafanikio na huduma nzuri ambazo 100% zipo owned by government.
MSD hawa wanaochukua pesa bila kupeleka dawa vituo vya afya na zahanati au wengine

Sent from my TECNO BF7 using JamiiForums mobile app
 
ndio ni mpya,nadhani ukaguzi wa marekebisho madogo madogo haufanyiki
Hiyo itakuwa Dreamliner ya mwanzo kabisa, 5H-TCG !...Hii si imefanyiwa matengenezo nchini Malasia miezi mitatu iliyopita ? ... Au walitengeneza bodi na injini tu?
 
Na kuna ule mkito wa tairi zinapoingia ndani
Kuna aina fulani ya kelele isiyokuwa ya kawaida wakati ndege zetu za Airbus 220-300 zinapofungua milango ya magurudumu kabla ya kutua. Mkito nimewahi kusikia kwenye ndege za zamani lakini kwenye Airbus ni mlio unaoashiria hitilafu.... ATCL wanapaswa kutoa ufafanuzi kwenye hili.
 
Back
Top Bottom