ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kama unafanya kazi na hujawahi kuona tajiri ndani ya Tanzania achana nayo haraka tafuta kazi nyingine

    Ni kweli kabisa sifa na utu wa mtu upo kwenye kufanya kazi, lakini si kweli kila kazi inalipa , kazi nyingine zinakupotezea muda tu. Kila kazi unayoifanya jitahidi sana kuifanyia tathimini inakupa nini kwenye maisha yako. Je, inakupa pesa inayoendana na kasi na mabadiliko ya maisha duniani na...
  2. Ushuhuda: Tunampenda sana msaidizi wetu wa kazi za ndani, anatulipa wema

    Mimi na wife ni watumishi, wife ni mwalimu na mimi ni afisa manunuzi wa taasisi fulani, tulipoanza maisha hatukuwa na msaidizi wa kazi, ila tulipo barikiwa kupata mtoto wakwanza tuliona kuna haja ya kuwa na binti wa kutusaidia kazi za nyumbani. Basi katika kutafuta tafuta siku moja nikaenda...
  3. Pitio la Kitabu Cha Khamis Abdulla Ameir: Maisha Yangu Miaka Minane Ndani ya Baraza la Mapinduzi Khaini au Mhanga wa Mapinduzi?

    ''Yupo lakini huisikii sauti yake. Hasemi lakini yuko wala huhisi kuwepo kwake. Lakini yupo ila wewe humuoni. Anasikiliza zaidi ya yeye kuzungumza. Huisikii sauti yake. Utamfahamu na kumtambua katika yale atakayofanya.''
  4. N

    La Wydad Simba day halitawezekana, leteni wengine wakali ndani ya top 20 za CAF

    Yes mmetuma barua ya maombi tarehe 8 /08 waje simba day lakini haihitaji kuwa rocket scientist with PhD kujua kwamba hilo haliwezekani kwani majamaa wana super cup vs Berkane kama sikosei ni tarehe 11/08 Ligi ya Misri ndiyo inaelekea kuisha sidhani kama kuna team itapatikana huko maana lazima...
  5. S

    Hiki kilichowekwa ktk barabara za miji midogo ndani ya Wilaya ya Mbulu ni Lami au kitu gani?

    Wilaya ya Mbulu ina miji midogo miwili Haydom na Dongobesh ambayo sehemu ya miji hiyo pamoja na mji wqa Mbulu amabayo ndiyo makao makuu ya wilaya barabara zake zimewekwa kitu kinachofanana na lami. Naomba kujua kuna aina ngapi za lami, maana lami iliyowekwa ktk miji hii haifananni na lami...
  6. S

    Hizi zilizowekwa katika barabara za miji ndani ya Wilaya ya Mbulu ni Lami au Kitu gani?

    Wilaya ya Mbulu ina miji midogo miwili Haydom na Dongobesh ambayo sehemu ya miji hiyo pamoja na mji wqa Mbulu amabayo ndiyo makao makuu ya wilaya barabara zake zimewekwa kitu kinachofanana na lami. Naomba kujua kuna aina ngapi za lami, maana lami iliyowekwa ktk miji hii haifananni na lami...
  7. Kisa cha Batuli na Ashura ndani ya jiji kufikia kutoleana laana.

    Batuli na Ashura walisoma pamoja mikoani, kufika darasa la sita Batuli alihamia jijjni na kukaa na shangazi yake. Alisoma mpaka chuo na kuajiriwa na bank moja mjini. Alipata a mume na kuolewa harusi kubwa tu. Yeye na mume wake walipata nyumba ya NHC mjini maisha yakaendelea. Batuli alipata...
  8. Ushauri: Anataka akafanye kazi za ndani (house girl) Uturuki

    Wasalaam Wana jf Kuna binamu yangu mkoa X ameniomba ushauri, kwamba amepata mchongo wa kwenda nchini UTURUKI kufanya kazi za ndani. Nami kwakua sina experience na mambo hayo nikaona ni Bora nilete kwenu mnaweza Kua na ABC's za kumuambia, ili nimfikishie na iwe hiari kwake kwenda ama...
  9. Mrejesho: Kanifukuza ndani

    Wakuu kama mnakumbuka juzi niliwaeleza kuhusu yule singe mother alieniletea shobo nikaamua kumchombeza akaniomba laki kwa kisingizio kwamba anadaiwa. (Sikumpa) Jana pia kanicheki mchana kuhusu hiyo pesa nikamwambia nitakuchek baadae akasema fresh. Nikaona nijaribu kumla kimasihara kama wengi...
  10. Ramani mpya baada ya ujio wa DRC ndani ya EAC, mshindwe wenyewe

    Sasa EAC tumetimia watu milioni 300, soko la watu wote hao na GDP ya bilioni 250 dola za Kimarekani, jameni watu tuchangamkieni hizi fursa, wa kulala waendelee na kusubiri maembe yadondoke, ila tuliozoea kupambana tuendelee mbele kwa mbele... Sema nimependa sana namna rais Uhuru amechakarika...
  11. D

    Avocado oil press machine

    Salama humu ndani! natafuta mashine ya kukamulia mafuta ya parachichi yenye uwezo wa kuzalisha kati ya 10 na 20KG kwa siku.
  12. Njombe: Wananchi washauriwa kutumia baridi kama Utalii wa ndani

    Kiongozi mmoja sijamkata jina na cheo huko Njombe ameongea (nimemuona kwenye taarifa ya habari ITV) akiwashauri wananchi kutumia baridi kama kivutio cha utalii wa ndani. Baridi linaloendelea limetajwa kuathiri afya za watu na mazao. Nimonia kwa watu na ukungu kwa mazao ni kati ya magonjwa...
  13. Sri Lanka waandamanaji wajipa raha ndani ya vyumba vya Ikulu

    Waandamanaji nchini Sri Lanka wamefanikiwa kuingia Ikulu na kufika mpaka chumbani kwa Rais. Waandamanaji hao wamerusha picha kwenye mitandao zikiwaonyesha wakiwa wamelala kitandani kwa Rais huku wengine wakiwa sebuleni wakiangalia 'breaking news' ya maandamano yao.
  14. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro apiga marufuku Walimu kuwekwa ndani

    RC apiga marufuku walimu kuwekwa ndani Martine Shigela alitoa agizo hilo wakati wa akifungua kikao cha wadau wa elimu wa mkoa wa Morogoro katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) kilicholenga kutathmini masuala ya sekta hiyo. Kikao kazi hicho cha wadau wa sekta ya elimu mkoa...
  15. Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara Paul Koroso, aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”

    Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na mgogoro ulioibuka katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya Sh2.9 bilioni. Dk Mollel pia ameagiza Koroso...
  16. Simulizi ya kipelelezi na love story kali ndani yake; The Modern War (Vita ya Kisasa)

    𝗧𝗛𝗘 𝗠𝗢𝗗𝗘𝗥𝗡 𝗪𝗔𝗥 (𝗩𝗶𝘁𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝗶𝘀𝗮𝘀𝗮) 𝗠𝘁𝘂𝗻𝘇𝗶:𝘀𝗮𝘂𝗹 𝗱𝗮𝘃𝗶𝗱 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽: 0756862047 𝗨𝗧𝗔𝗡𝗚𝗨𝗟𝗜𝗭𝗜... "Mwanzo ilikuwa ni vita rahisi sana, vita dhidi ya ndugu yangu wa damu aliyeenda kinyume na kanuni za maisha ya utu. Sikujua kwa kufanya hivi ningeamsha vita nyingine kubwa ambayo ipo juu kabisa ya uwezo wangu...
  17. Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

    Wanabodi, Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni. Serikali ya...
  18. Milipuko yarindima ndani ya mji wa Urusi

    Majengo yalipuka huku milipuko ikiendelea.... ====== Russia has accused Ukraine over explosions which reportedly killed three people in the city of Belgorod, near the border with Ukraine. The regional governor said the blasts hit dozens of residential buildings and air defences had been...
  19. Watoto 30,000 wakimbia makazi Msumbiji ndani ya mwezi mmoja

    Vurugu zinazoendelea Kaskazini mwa Msumbiji zikihusisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe zimesababisha zaidi ya watoto 30,000 kukimbia makazi yao hadi kufikia mwishoni mwa Juni, 2022. Hiyo ni idadi kubwa kuwahi kurekodiwa ndani ya mwezi mmoja katika mapigano hayo. Mashambulizi mengi yametokea...
  20. Kamanda Muliro azungumzia nguvu ya mwanamke ndani ya Jeshi la Polisi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…