ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuifinyia kwa ndani ndio nini?

    Kumekua na haka kamsemo, leo nataka wajuvi wa michezo ya kitandani mniambie nini maana ya kufinyia kwa ndani. Elimu ni kufundishana.
  2. JamiiForums Tanzania Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

    Habari za wakati huu wakuu, Ni nusu mwaka sasa tokea kuwa "The Storyteller" aliyestahili tuzo humu jukwaani. Ni muda mrefu sana umepita tokea pale nilipoifahamu na kujiunga na jumuiya, japokuwa mlio wengi mtachungulia kwa profile ili kuona lile neno "joined Nov 2022", JF nimeifahamu kwa zaidi...
  3. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kuvuta sigara ndani ya daladala hata Kama umepata Arosto?

    Ni vizuri watu wakajifunza kuwa waungwana Ni Jambo Ambalo halifai Mtu kuvuta sigara ndani ya gari Jambo hili limetokea katika daladala hapa nikielekea mitaa ya visiwani maana sisi wengine hatupatani na Moshi mchafu wa sigara this is unacceptable
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwasasa hana mvuto tena ndani na nje ya chama

    Tundu Antipas Lissu wa 2015 -2020 sio huyu wa Leo 2023. Lissu wa Sasa ameporomoka hata hoja anazojenga hazina nguvu tena. Labda ni kwa sababu mara nyingi amekuwa akirudia hoja zile zile!! Sijajua wazungu wamemfanyaje Huko alikotoka!! Ajitafute upya huyu sio Lissu tunayemjua
  5. JamiiForums Tanzania Hatutaki dini ndani ya serikali

    Wanaharakati vita yetu si ya damu na nyama,bali ni ya kutumia maarifa na ufahamu. Dua yangu ''Ee ulimwengu nifundishe niwe na maarifa,niendeleze akili yangu ili nipate hekima.'' Tanganyika ilipopata uhuru,viongozi wa kiislamu walikusanyika kwa nyerere kuona nafasi yao ndani ya serikali ni...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli ndani yake

  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI Ndege ya Malaysia iliyopotea miaka 9 iliyopita yaonekana ndani ya maji ikiwa haina abiria

    Salaam Wandugu, Nimepata taarifa mtandaoni kuwa ndege ya Malaysia iliyopotea miaka tisa iliyopita imekutwa kwenye maji ikiwa haina abiria. Habari hiyo ilichapishwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwamo Twitter linaonesha picha ya mbele ya ndege yenye kutu inayosomeka: “Ndege ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa serikali iweke wazi mishahara ya kila kada ndani ya taasisi zote

    Hello! Mambo ya mafumbo ni ya kizamani. KIjana anaomba kazi , sehemu ya mshahara mnaandika TGS D , POS C, mara TANAPA 02 n.k n.k Ukiondoa mishahara ya tgts na tgs ambayo ni common, hiyo mingine inabidi mtu aanze kuhangaika kuulizia kwa mtumishi wa ofisi husika, kama humjui mtu basi tena...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mchina apokea mkong'oto kutoka kwa waganda ndani ya Ethiopian Airlines ikiwa angani kwa kushukiwa kuwaibia pesa

    Sijui kweli aliiba ama wanamsingizia wamuibie?
  10. JamiiForums Tanzania Uteuzi na uchaguzi ndani ya China (China's Meritocracy)

    China has a unique system of selection and election of officials, which Canadian scholar Daniel A. Bell has described as "political meritocracy." Unlike Western models, China's selection of officials is focused on ability and merit. "Political meritocracy" is the idea that the political system...
  11. JamiiForums Tanzania Ndani ya Boksi: Mnara wa Babeli, chanzo cha lugha nyingi duniani

    Ikapita miaka mingi. Wana wa Nuhu nao wakazaa watoto wengi sana. Watoto wao walikua na kuzaa watoto wengi zaidi. Na hapo ndipo kukawa na watu wengi zaidi duniani. Mmoja wa watu hao alikuwa kijukuu wa Nuhu jina lake Nimrodi. Alikuwa mbaya aliyewinda na kuua wanyama na wanadamu. Nimrodi pia...
  12. JamiiForums Tanzania Wenye Baa tafadhali Wadhibitini Wamachinga wanaotuuzia Bidhaa tukiwa katika Mazungumzo au Tunakula ndani ya Baa zenu

    Nimekereka mno Jioni hii baada ya kuingia Baa Moja na wakati Nakula Chakula changu kaja Mmachinga Mmoja na kunisogezea Usoni mwangu karibu na Mdomo Ndaba ( Kiatu ) ili Nikinunue na nilipomwangalia nikihisi labda Kakosea na ataniomba Radhi nikashangaa Kiatu kingine Kimeshadondoka katika Sahani...
  13. JamiiForums Tanzania Wizara ya mambo ya ndani ya nchi ianze kuboresha vigezo vya usajili wa taasisi za dini, hasa makanisa

    Sijui kama wizara Ina maono gani kuhusu usajili wa taasisi za dini, hasa makanisa. Kwa upande wangu naona ni muda muafaka Sasa kupitia upya vigezo vya usajili wa makanisa kabla hatujachelewa. Naona kabisa matapeli wote wa mjini wamevamia usajili wa makanisa. Nashauri kwamba kwa kuanzia Sasa...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge ataka Sheria kuweka bayana uteuzi wa Wagombea ndani ya Vyama vya Siasa

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Neema Lugangira ametaka maboresho ya vyama vya siasa na chaguzi ziainishe bayana uteuzi wa wagombea ndani ya vyama vya siasa katika nafasi mbalimbali za uongozi. Ameyasema hayo leo Aprili 25,2023 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Desiigner ashtakiwa kwa kupiga nyeto ndani ya ndege

    Mwanamuziki Desiigner ashtakiwa kwa kupiga nyeto ndani ya ndege
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu?

    Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu? Karibuni sana mnielimishe juu ya hili.
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha, ila wakiwa Wanazinunua Mitumbani hawaoni Aibu?

    Nitashukuru nikielimishwa hili.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaozama ndani ya maji na kukaa zaidi ya dakika 1 bila mashine wanatumia mbinu gani?

    Heri ya sikukuu ya Iddi Jamani. Tusahau kidogo mada ngumungumu na mada za mmu. Leo sikukuu angalau tupunzishe akili na kusahau kidogo shida. Nimewahi kusikia kuna wajuvi wanaweza kwenda ndani ya maji zaidi ya nusu saa,Mimi sijawahi kushuhudia hiyo kitu Sasa sijui Kama ni kweli au story za...
  19. JamiiForums Tanzania Mahakama yadaiwa kuamuru Mwanamitindo Noel na Mpambaji Kelvin Events wapimwe endapo wanafanya mapenzi ya jinsia moja

    Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Aina ya Biashara ndani ya Wilaya ya Tunduru

    Habari Wakuu, Bila shaka Mungu ametupa uzima hivyo hatuna budi kumshukuru..! Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuanzisha uzi huu...... Naomba wajuvi, wenyeji na hata wafanya biashara wazoefu mnisaidie mawazo mbali mbali ya kibiashara ambayo ninaweza kuifanya katika wilaya ya Tunduru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…