ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Zanzibar ndani ya Tanzania ikiwa na watu milion 2

    Huu ni ujinga na upumbavu wa kila mtanzania anayeitetea hii serikali nasema R.i.p Magufuli Haiwezekana wazanzibar wajazane kwenye baraza letu la mawaziri uchwara na bado makazini wazibe ajira zetu mitaani wako huru kufanya kazi waitakayo mwishowe waje kutupiga na risasi kutuulia mimia ya vijana...
  2. Ndugu waanza kuona miili ya wapendwa wao ambao hawakuonekana, wakiwa kwenye video ya mlundikano wa maiti iliyovuja ndani ya mochwari ya Mwananyamala

    Hatusemi mengi. Huyu mwamba ni dereva na aliuawa huko Salasala. Hakukuwa na ushirikiano kwa ndugu kupewa maiti ya mtu wao mbali na ukweli kuwa aliuawa kwa kupigwa risasi. Ndugu walikuwa wameshakata tamaa walaamua kusahau Leo ameonekana ndani ya ile video ya Mwananyamala. Serikali bado inasema...
  3. Historia Ya Watakatifu ( Kama Inavyotambuliwa Na Kanisa Takatifu Katoliki )

    Kanisa Katoliki ( Roman Catholic ) ndio kanisa la kale zaidi huku likishika historia nzima ya ukristo na likirekodi matukio mbalimbali tangu kuanza kwa ukristo hadi sasa... Katika ku rekodi matukio na mambo muhimu ya ukristo, kanisa katoliki kuanzia lilipo anzishwa limeweza ku hakiki mambo...
  4. B

    Nilipozoa kinyesi cha kichaa ndani ya eitiem.

    Wakuu, nawasogezea stori (mkasa ulionikumba mwaka 2013). Nisisahau jadi ya watanzania, hamjambo wote? Watoto wenu hawajambo? Wakuu, ilikuwa hivi, mwaka 2013 mwezi wa 11, kipindi hicho nikiwa nimeingia mwaka wa 3 wa masomo chuoni, wakati 'bumu' la kwanza likiwa limetoka, siku hiyo bumu linatoka...
  5. R

    Askofu Nkwande: Waliotufungia ndani ni wenzetu, vijana tuliowatuma kufanya kazi wamegeuka kuwa mikono miovu na kumwaga damu

    Askofu Nkwande wa jimbo katoliki la Mwanza amelaani vikali mauaji ya raia akisema kwamba "tulifungiwa ndani na waliotufungia ni wenzetu ndugu zetu, vijana tuliowatuma kufanya kazi wamegeuka kuwa mikono miovu na kumwaga damu". Nkwande aliyasema hayo wakati wa ibada maalumu ya kuwaombea waliouawa...
  6. J

    2025-2030 hakutakuwa na tamasha la msanii ndani ya nchi

    Salute kwenu JF bosses! Kutokana na usaliti wao kwa wananchi na kuwakumbatia watawala waliofanya mauaji ya kikatili October 29 ya mwaka 2025, ni dhahiri shairi sasa HAKUTAKUWA na MSANII atakayeandaa show ndani ya nchi au nchi jirani na Tanzania, au nchi nyingine yoyote duniani yenye wananchi...
  7. Hatupendi kutoka, lakini tutabakije ndani salama?

    Hii ya kutufuata watu ambao hatujatoka majumbani na kutuua inatusikitisha Sana. Tunajiuliza siku nyingine ikitokea tufanyeje? Maana hata tukibaki nyumbani tunajua watatufuata tu hivyo hatutakuwa salama. Serikali hili la kufuata watu majumbani ni kosa kubwa Sana wakati mwingine watu tutaogopa...
  8. Msako wa kudili na waliochochea maandamano sasa umefika ndani ya chama tawala, milio itasikika soon

    Napenyezewa taarifa kuwa hizo kesi za uhaini mnazosikia wanapewa wananchi na wanasiasa wa upinzani sio mwisho. Episode ijayo ni ndani ya gavoo na chama dola. Muda sio muda tutaanza kusikia milio. Njia ni zilezile za tangu zama za Kolimba mpaka zama za jiwe. Tega sikio…
  9. Polo magonda watch out kuna wakubwa wanataka kukusamilia kabla ya esther

    Hutoamini najua walahi. Sababu ni watu unaowaamini na kuwategemea. Venye venyewe wasema kikulacho kinguoni mwako. Sijui walahi. Wamalize hili wanajambo lao nawe. Nye Nye Nye! Watu wabaya nye. Mwacheka usoni wageuka watupa mikuki. Polo polo polo magonda anza kutroti hewala. Kama waweza jipange...
  10. C

    Kwa hiyo chama na serikali kwa ukilaza wenu huko ndani mnaambiana mkae kimya watanzania mnawajua watasahau na litapita na maisha yataendelea sio!

    Sawa endeleeni kuamini hivyo na kuaminishana hivyo.
  11. Napendekeza: Tuwe na CCM Pekee Kama Ilivyo China na CCP, Vyama Vingine Visiwe Washindani Bali Vishiriki Ndani ya CCM

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni, siasa za ushindani nchini Tanzania zimegeuka kuwa uwanja wa lawama, chuki, na migawanyiko badala ya kuwa chanzo cha mawazo ya maendeleo. Vyama vingi vya upinzani vimeshindwa kuja na sera mbadala zinazotekelezeka, badala yake vimekuwa vikijikita katika maneno...
  12. M

    Jambo moja linaniuma ni kitendo cha kuua watu ndani. A Way forward

    Hili jambo lilikuwa ni ugaidi wa hali ya juu na halitaiacha nchi Salama, mpaka viongozi wa CCM walipiziwe mbele ya watu. Mtanzania anayetaka kununua/kumiliki bunduki....
  13. A

    Jelly Silaa amaliza ubunge 2025 kwa maumivu, aswekwa ndani akidaiwa kutaka kupindua matokeo.

    Miongoni mwa mawaziri wote wa Baraza la Mawaziri la 2020-2025, Jerry William Silaa peke yake ndiye waziri aliyeanguka ubunge hivyo kupoteza sifa ya kuteueliwa kuwa waziri tena kwenye baraza lijalo. Jerry Silaa aligombea ubunge 2025-2030 kwenye Jimbo la Ukonga, Ilala jijini Dar es Salaam kupitia...
  14. Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa

    Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Badala ya vyombo vya usalama kulinda raia vinakuwa vinajihusisha na ujambazi
  15. GE2025 Nashauri viongozi waache kusema watu walioko nje ya nchi ndio wanachochea ya ndani. Kana kwamba huku ndani mambo ni shwari

    Hamjambo! Nimemsikia viongozi kadhaa wakisema na kulaumu watu walioko nje kama kina Mange Kimambi na wengineo wao ndio wanachochea vurugu na amani ndani ya nchi. Kauli hiyo inatolewa ni kana kwamba huku ndani watu wako sawa na hakuna tatizo. Kauli kama hizo zinatufanya tukimbie ukweli na...
  16. Uamsho wa ujasiri wa ndani

    UAMSHO WA UJASIRI WA NDANI KILA BINADAMU ANA CHEMCHEMU YA UJASIRI NDANI YAKE Kila mtu ana kipimo cha hofu, lakini ndani ya hofu hiyo kuna mbegu ya ujasiri. Ubongo wa mwanadamu umeumbwa na uwezo wa kujilinda na kulinda heshima yake. Ndiyo maana, unapoona ukatili, ubongo wako unajibu si kwa...
  17. Ukosefu wa huduma ya mtandao (Internet service) umekosesha nchi mapato makubwa ya ndani na nje

    Wasalaam Aleykhum, Hatimaye nimefika nyumbani Zanzibar salama majira ya jana jioni na kuswali Isha nyumbani Mie ni Muislam ninayeogopa Unafik kuliko Shirki (japo dhambi zote mbaya sana mbele ya Allah (S.A.W) Nimeumizwa na vifo nilivyoshughudia huko bara kwasababu kikazi mi n maranyingi nakuwa...
  18. GE2025 Kuwafungia watu ndani na kuwazimia internet ni zaidi ya ukatili

    Mara zote nimekuwa nikiwashauri baadhi ya wanasiasa kwamba, watanzania wa miaka ya 90 sio hawa wa miaka ya 2000. Watanzania wa sasa wamekula 'matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya.' Mema wanayajua na mabaya wanayajua. Hawa wa sasa sio watanzania wa kanga na chumvi. Wala sio wa kurubuniwa...
  19. GE2025 Taifa limetoboka, kila mmoja anajiona hadi ndani

    Wakuu Taifa limetoboka, tuambiane tu ukweli watanzania wanalia tena kilioo cha kwikwi. Mahospitalini kumejaa maiti kitaa kumejaa maiti Ndani ya nyumba za watu kumejaa vilema waliyokosa matibabu ,wanaogopa kwenda hata mahospitali kwa kuogopa kumaliziwa . Wengine wanaogopa kujitokeza...
  20. APPRECIATION: Asanteni sana JWTZ walau kwa hicho kidogo mlichofanya

    Asiyeshukuru kwa kidogo ,hata apatapo kingi hakitomtosheleza. Kwa moyo wa dhati napenda niwashukuru wanajeshi wetu (JWTZ) hususani wale mliofanikisha ulinzi wa waandamanaji. Japo maumivu ya familia zetu ni makubwa na makali sana kutokana na kupoteza ndugu zetu, lakini binafsi naamini nyinyi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…