ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ndani ya wiki 2 wanajeshi 100 wa Marekani wamejeruhiwa huku idadi kamili ikifichwa

    Ndani ya wiki mbili pentagon wamesema wanajeshi 100 wamejeruhiwa na watatu kuuliwa. Lakini ripoti zinasema pentagon wamekuwa wazito na slow kwenye kutoa takwimu halisi huku idadi kamili wakificha kwa hofu za kiusalama. Iran ilishambulia kambi za marekani zilizopo kwenye nchi za ghuba ya uajemi.
  2. JamiiForums Tanzania Msomi wa Heshima ambaye si Msomi, anapowaweka ndani Wasomi

    PROFESA ASHANGAA SERIKALI YA TANZANIA KUWAKAMATA WAHADHIRI WA VYUO VIKUU! Baada ya serikali ya Tanzania kuwakamata kwa tuhuma za kuchochea maandamano wahadhiri watatu na kuwanyima dhamana, mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam enzi za utawala wa Julius Nyerere, Prof. Joseph Mbele amedai kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Habari wa ndugu .... Iko hivi ... Nilipata ruhusa ya kwenda chuo nje ya nchi ila mkurugenzi wangu aligoma kunisainia barua. Nikaondoka bila ruhusa yake. Nikiwa huko masomoni nikapigwa SP ""Stop Pay"" sababu ni kuondoka kwenye kituo cha kazi bila ruhusa. Nikapambana kwa kumbembeleza mwajiri...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Milioni 100 ndani ya masaa 144

    Chadema wamefikisha milioni 100 katika kampeni yao ya marathon ya kutafuta milion 300 na kitu Imewachukua siku sita tu sawa na masaa 144 kufikisha kiwango hiki pamoja na changamoto ya tuhuma za ubadhirifu zinazomkabili makamu mwenyekiti ndugu Heche Hapa lipo funzo kwa watanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Dini na Waafrika

    Mungu" unayemwamini ni utendaji wa moja kwa moja wa kundi fulani la watu lililofanikiwa kuwatawala babu zako kwanza. Kabla ya Wazungu na Waarabu kuleta miungu yao, babu zenu walikuwa na miungu yao pia. Ubinadamu umeamini katika si chini ya miungu 5,000 tofauti katika miaka 10,000 ya historia ya...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Yesu anaweza kuwa Mungu ndani ya Qur'aan? The evidence says Yes 👇👇👇

    Usikute kuna kilaza anadhani swali langu limeuliza " Je ndani ya Qur'aan kuna Aya inayosema Yesu ni Mungu? ". Hiyo sio mantiki yangu. Analogy au mfanano wa mantiki yangu ni kama ifuatavyo. 👇👇👇 Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inamtambua Mwl. Julius Kambarage Nyerere kama Rais wa...
  7. JamiiForums Tanzania Inapofikia mahala vyombo vya ulinzi kushiriki "dirty jobs" za kisiasa ndani ya nchi. Ni dalili mbaya kwa Taifa

    Sheria yenye utata ya Usalama wa Taifa namba 2 ya mwaka 2023, ilitungwa mahususi kwa ajili ya kushughulikia wanasiasa wanaoipinga CCM. Sehemu kubwa ya sheria hiyo inakiuka weledi na misingi ya utawala bora. Waemepwa uwezo wa kukamata na haielezwi wakikamata wanamdetain wapi mtuhumiwa. Imetoa...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini ni kirusi ndani ya vyama vya siasa, afutiwe uanachama haraka kabla hajaleta madhara.

    Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na Mzee Fundikira, Mtikila, Marando, Lwamwai na wengine. Kwenye kamati hiyo akiwa na Mabere Marando...
  9. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDSM kulipwa ‘Boom’ mara 2 kisha kuwekwa mahabusu ili walipe, Bodi ya Mikopo yasema waulizwe CRDB

    Julai 3, 2026, Mdau aliandika “Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa Boom (fedha za mkopo) mara 2 kimakosa, wametumia TAKUKURU kutuweka mahabusu, kwani hayo ni makosa yetu? Hii si sawa”. Ufafanuzi umetolewa kutoka pande husika. Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia na Lawama za "Mkono wa Nje": Kwanini Mchawi wa Maendeleo Yetu Yupo Ndani ya Mifumo Yetu

    Utangulizi Katika ulingo wa siasa za kimataifa na diplomasia ya kiuchumi, maneno ya viongozi wakuu wa nchi hubeba uzito mkubwa sana. Hivi karibuni, kumeibuka mjadala mpana nchini unaochochewa na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika hotuba hiyo, Rais...
  11. JamiiForums Tanzania Furaha ya kweli hupatikana ndani ya akili na moyo wako

    Zingatia: Furaha ya kweli 📌 Kuna wakati tunadhani tukipata pesa nyingi, nyumba nzuri, gari la ndoto au mafanikio makubwa ndipo tutafurahi. Lakini ukweli ni kwamba vitu vya nje vinaweza kutupa raha ya muda, si utulivu wa kudumu. Pesa ni muhimu. Zinatoa uhuru wa kuchagua, zinatatua changamoto...
  12. S

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi mnakaa siku kadhaa maji hayatoki yakija kutoka ni maji yenye chumvi ndani yake na imeshakuwa mazoea sasa

    M ninaenda Moja Kwa Moja kwenye mada ni hali ya kawaida sana Kwa sisi watanzania hususani wa hapa Dar miaka na miaka toka enzi za Nuwa Hadi sasa dawasco kuwaamini wao katika kutupatia maji safi na salama Kwa matumizi mbalimbali kubwa likiwa ni ugidaji wa maji hayo tena bila ya kuyachemsha hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Mdada yoyote mwenye makebo makubwa hauwezi mkuta rafiki yake ana makubwa yake bali huchagua mwenye madogo ili asishaini ndani yake mbele ya hadhara

    Wanawake ni wajanja sana. Wanawake wanajua kupangilia namna ya kuonwa. Kuanzia make up , nguo lakini pia watu atakao hang nao popote watakapo enda.
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA mtimueni John Heche labda mseme hakuna accountability ndani ya chama

    Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani. Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

    Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba. Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Je Haaland ni Albino? Mdau atoa sababu ya kitaalamu kwanini watu wengi wanadhani Haaland ana features za kiafrika ndani ya ngozi ya mzungu.

    Watu wengi wamekuwa na maoni kwamba Erling Haaland ana muonekano kama wa mwafrika. Sura ya Haaland ni features za kiafrika isipokuwa ngozi na nywele ndio vya mzungu. Wengi wanamfananisha na wa Afrika kutoka West Africa.. ( Rapper Fat Joe ni moja Kati ya watu ambao sio wa Afrika lakini wana...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Maridhiano baina CCM na ACT Wazalendo - Julai 9, 2026

    Hii hapa: Jambo Tv https://www.youtube.com/watch?v=44nfO46PvfU
  18. JamiiForums Tanzania Migogoro ndani ya CHADEMA

    CHADEMA kwa sasa imeendelea kutikiswa na migogoro mbalimbali ya ndani ambayo imevuta hisia za wanachama na umma kwa ujumla. • Kumekuwa na kesi na mjadala kuhusu mgawanyo wa mali za chama. • Kumekuwa na tuhuma zilizotolewa hadharani dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa chama kuhusu matumizi ya fedha...
  19. JamiiForums Tanzania Yawezekana CHADEMA hawajaelewa nguvu waliyo nayo! Waache kusikiliza kila mwanaharakati, Chama makini mambo yao uamriwa ndani wala si watu wa nje,

    Kuna haka ka Tabia ka kubeza nguvu na sacrifice za watu! Hasa jasho kwenye vyama! Naona CHADEMA mmeanza kujisahau kisa tu mtu mmoja ambaye anataka ambition zake zitimie Mimi ni CCM mfu niwe wazi, ila Ninapenda kuona CHADEMA ikiendelea kuimarika zaidi na zaidi kwa kuwa ndo chama mbadala, achana...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani Wanafanya Mashambulizi Makubwa ya Maangamizi Ndani ya Iran Muda Huu. Hali Inatisha Sana

    Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭 Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…