nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuwa Balozi wa Tanzania: Siasa, Ujasusi na Ujuzi wa Kiufundi

    Wakati Bongo, kuchaguliwa kuwa balozi, wanaangalia uchawi wako, ukada wa chama tawala, au uswaiba tu, kwa wenzetu ni strategies zinatumika, wanajua kabisa Bongo ni super power kwa Afrika Mashariki, na ina maslahi mapana wanayoyahitaji, wanajua Rais ni mwanamke, tena Islam, wanakuletea mwanamke...
  2. JamiiForums Tanzania THRDC: Licha ya kuongezeka kwa Uhuru wa Kujieleza Nchini, bado Serikali haijabadili baadhi ya Sheria kandamizi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini (THRDC) umesema hali ya Uhuru wa Kujieleza nchini imebadilika na kuongezeka kwa Uhuru tofauti na miaka 6 ya utalawa wa Hayati Rais Magufuli. Lakini pamoja kuwepo kwa Uhuru huo bado Serikali haijazifanyia marekebisho Sheria zinazokinzana na Uhuru wa...
  3. JamiiForums Tanzania 36% ya Waathirika wa VVU/ UKIMWI wanafariki kutokana na kuugua TB

    Kwa mwaka 2022 maambukizi ya ugonjwa huo yalifika wastani wa wagonjwa 208 katika kila watu 100,000 hukua 25,800 wakifariki. “Asilimia 36 ya waathirika wa Virusi vya Ukimwi wanaopoteza maisha inasababishwa na ugonjwa wa Kifua Kikuu. Hii inathibitisha ugonjwa huu ni hatari na kikwazo cha...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Katazo na Marufuku ya Michango mashuleni hapa Nchini ni Kongole kubwa kwa Awamu ya 5 na ya 6. Michango ilikuwa mzigo kwa wananchi

    Moja ya Vitu ambavyo Serikali inapaswa kupongeswa navyo katika swala la Elimu ukiachilia mbali miundombinu ya madarasa nk basi huachi kabisa kuipongeza serikali hii inayoongozwa na Dk. Samia Suluhu pamoja na ile ya mtangulizi wake Hayati John Magufuli kwa katazo na marufuku ya Michango mashukeni...
  5. JamiiForums Tanzania Putin akubaliana na Lukashenko kupeleka silaha za nyuklia za kimkakati nchini Belarus

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema amekubaliana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko kupelekea silaha za nyuklia za kimkakati nchini Belarus. Katika mahojiano na chombo cha habari cha Urusi yaliyotolewa jana Jumamosi, Putin alisema Lukashenko kwa muda mrefu aliibua suala la kuweka silaha za...
  6. JamiiForums Tanzania Dola Bilioni 1.9 Kuimarisha Gridi ya Taifa Nchini

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa Serikali imetenga fedha kiasi cha Dola za Marekani bilioni 1.9 kwa ajili ya miradi ya kuimarisha gridi ya Taifa kwa kipindi cha miaka minne. Makamba amesema hayo wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka 2022/2023 kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyochochea ukuaji wa uwekezaji kwenye sekta mbalimbali nchini

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa taarifa kuhusu mwenendo wa hali ua uwekezaji nchini katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kueleza kwamba jumla ya miradi 575 imesajiliwa sawa na ongezeko la asilimia 26. Mchanganuo wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kambi za Jeshi la Marekani Zashambuliwa na Iran nchini Syria

    Irani imefanya mashambulizi ya Drone na Rocket kwenye Kambi za Jeshi la Marekani Usiku wakuamkia leo. Taarifa zinasema Ile mifumo ya Ulinzi wa Anga Ulilala Fofofo. Dunia Inako Elekea Nipatamu sana The main air defense system at a coalition military base in northeast Syria was “not fully...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hali ya zao la mpunga nchini ni mbaya msimu huu

    Kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka hapo juu, nimepta mara nyingi katika mbuga zilimwazo mpunga kuanzia Dodoma, Manyoni, Itigi, Igunga, Nzega, Kahama, Shinyanga na mkoa wa Mwanza Kwa kipindi kuanzia January Hadi March mwaka huu. Nimepata picha kuwa mwaka huu tutakumbwa na uhaba mkubwa Sana kama...
  10. JamiiForums Tanzania Hungary imesema haitamkamata Putin iwapo ataingia nchini humo

    Hungary inasema haitamkamata rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo angeingia nchini humo, licha ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutoa hati ya kukamatwa kwake wiki iliyopita, ikimtuhumu kuwachukua kinyume cha sheria mamia ya watoto kutoka Ukraine. Mkuu wa wafanyakazi wa Waziri Mkuu wa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hizi kazi zimekuwa nyingi na hakuna watu wa kuzifanya

    Hizi kazi zimekuwa nyingi na hakuna watu wa kuzifanya mpaka UK inatafuta wafanyakazi kutoka nje. Jaribu bahati yako, ukweli ni kazi za kuangalia wazee, sasa wewe kama unaona haikufai, pita kushoto, Wale wanataka kujaribu bahati yao, fursa ndio hii. Uwe una elimu hata ya uuguzi kutoka chuo...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali: Ugonjwa ulioambukiza watu 8 na kuua 5 Mkoani Kagera ni Marburg

    Ugonjwa wa ajabu uliosababisha vifo vya watu watano kati ya wanane waliougua wilayani Bukoba Vijijini mkoani Kagera umetambuliwa kuwa ni Marburg. Soma: Ugonjwa wa Virusi vya Marburg: Historia, Uambukizwaji, Dalili na Matibabu Imesema ugonjwa huo huambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nywele ndefu zinazovaliwa na wanawake weusi zilitolewa sadaka kwa miungu huko nchini India

    Kazi kwenu warembo wetu. https://indianhair.net/blogs/journal/real-indian-temple-hair-all-you-want-to-know
  14. JamiiForums Tanzania Takriban watanzania 620,000 wana ulemavu wa kutoona nchini

    Inakadiriwa kuwa Watanzania takribani 620,000 wana ulemavu wa macho nchini ikiwa ni sawa na asilimia moja ya watu kwenye nchi zinazoendelea na za uchumi wa kati kwa mujibu wa makadirio na takwimu za Shirika la A fya Duniani (WHO). Hayo yamesemwa leo na Bi. Ziada Sellah kwa niaba ya Katibu Mkuu...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia kagusa Watumishi kwa Mikopo ya Elimu nchini kuanzia Vyuo vya kawaida, Kati na Vyuo Vikuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kurahisisha ugumu wa maisha Kwa watumishi. Mnamo tarehe 14.3.2023 Serikali kupitia Wizara ya Elimu ikishirikiana na benki ya NMB wameanzisha mfuko uitwao Elimu Loan. Mfuko huu utatoa mikopo kwa riba ya 9%, hii...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa nishani ya heshima nchini Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu ametunukiwa nishani ya Heshima ya nchi ya Afrika ya Kusini (National order of South Africa) na Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa katika kutambua nafasi ya Tanzania katika kuisaidia Afrika Kusini kupambana na ubaguzi wa rangi...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia aanza ziara nchini Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterkloof Air Force Base Pretoria kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 15 Machi, 2023.
  18. JamiiForums Tanzania Moodys wamekuja nchini kutathmini cha kuuza endapo tutashindwa kulipa mikopo?

    Tunaambiwa hawa Moodys wamekuja kutathmini hali yetu ya kukopesheka, hii maana yake ni nini? Mtu ambae hakopesheki ni yupi na mtu anaekopesheka yukoje? Kwa uelewa wangu, mtu anaekopesheka ni yule anaeweza kuulipa mkopo tarajiwa, lakini pia anacho cha kuweka ‘Collateral’ endapo atashindwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Abdulrahman Kinana uso kwa uso na Balozi wa Marekani nchini

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na Kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani hapa Nchini Tanzania Mhe. Michael Battle, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo Machi 14, 2023. Wamejadili masuala...
  20. JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mvua kubwa kunyesha nchini Machi 14 na 15, 2023

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imefanya utabiri wa hali ya hewa wa siku 5 huku ikitoa angalizo kwa siku mbili za Machi 14 na 15, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa na mvua kubwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Machi 13, 2023, angalizo la mvua kubwa limetolewa katika maeneo machache...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…