nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ujao utakuwa mwepesi sana kwa CCM tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe hapa nchini

    Ndugu zangu watanzania, Uchaguzi ujao Ni uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na ushindi mkononi, uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na Matokeo ya ushindi wa kishindo, Hii Ni kutokana na kazi kubwa Sana iliyofanywa na serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia katika...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho. Chanzo: ITV Dakika 45
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Cameroon atoa uzoefu wake wa kusoma nchini China

    Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Pili cha Yaounde nchini Cameroon imefanya mkutano wa hadhara wa “Soma nchini China, changamsha maisha yako", na kumwalika Joseph Olivier Mendo’o, ambaye ni mhitimu wa Taasisi hiyo kutoa uzoefu wake wa kusoma nchini China. Takriban watu 200, wakiwemo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga kampasi za vyuo 6 katika mikoa 14 nchini

    Wakati wa mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (TAHLISO) uliofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma jana, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imeanza kujenga kampasi za vyuo vikuu katika mikoa...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

    Kuna tetesi mwanamuziki A.K.A kutoka South Africa amepigwa risasi huko Durban, South Africa A.K.A aliwahi kushirikiana na mwanamuziki Diamond miaka ya nyuma wakachia kibao kinaitwa 'Make Me Sing' na Don't Bother alioimba na Joh Makini --- Statement Rasmi kutoka kwa Familia ya AKA ======...
  6. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Swali kwa upinzani: Je, tatizo lenu ni Magufuli au CCM?

    Ningependa kuwa karibisha wafuasi wote wa siasa za upinzani hapa nchini katika hili swali langu fupi kwa majibu yao. SWALI: Tatizo sugu la wapinzani wa hapa nchini je ni Magufuli na utawala wake wa awamu iliyo pita [ awamu ya tano ] au tatizo ni CCM yote ? KARIBUNI
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali: Vifo vya watoto chini ya umri wa miaka mitano vimepungua nchini

    Tafiti zinaonesha kuwa kiwango cha vifo vya watoto chini ya miaka mitano kwa Mwaka 2022 kimefika vifo 43 kwa kila watoto 1,000 waliozaliwa hai ukilinganisha na vifo 67 kwa kila Watoto 1,000 waliozaliwa hai ilivyokuwa kwenye Utafiti uliofanyika mwaka 2015/2016. Hayo yamesema Februari 7, 2023 na...
  8. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Je, kuwa na dini ni miongoni mwa vigezo vya kuwa kiongozi hapa nchini? Kwanini?

    SWALI: Ningependa kuuliza swali hili swali kwa wanachama wote wa hapa JF. Je, suala mtu kuwa na dini huwa pia ni kigezo kinachotumika kwa mtu kupewa dhamana ya kuongoza katika hili taifa? Mfano wa hizo nafasi za uongozi ni Urais, Umakamu wa Rais, Uwaziri, Uspika, Unaibu waziri n.k Karibuni...
  9. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni lazima kwa viongozi hapa nchini? Kwanini?

    Ningependa kuwakaribisha wadau wote wa JamiiForums kwa majawabu katika hili swali linalonitatiza kwa muda sasa. SWALI: Je, suala la mtu kupewa dhamana ya kuongoza katika taifa letu, swala la ndoa [kuoa au kuolewa] huwa ni jambo la lazima kwake yeye kulitimiza? Mfano wa nafasi hizo za uongozi...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Bei za vyakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi 2023

    BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasaidia wakulima waongeze tija kwenye uzalishaji wa chakula nchini
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

    Wanabodi, Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini Tanzania

    Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora...
  13. lukala

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umeleta furaha nchini

    Kwaheshima kubwa ,nawasalimu Watanzania wote habari za asubuhi!!! Let me go direct to my point , hii nchi ilipoteza mwelekeo miaka mitano iliyopita, mambo yake yalikuwa hayatabiriki Sana hata kama mambo mengine yalikuwa kisheria. Mfano, suala la ajira Kwa watumishi wa serikali, watumishi...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wafungwa na Mahabusu wenye VVU Nchini wanalishwa Ugali Maharage kila siku

    Taarifa iliyowasilishwa Bungeni kupitia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya #UKIMWI na kueleza kuwa Wafungwa na Mahabusu Tanzania wanapewa aina moja ya Chakula kila Siku. Kutokana na hilo, Afya za #Wafungwa walioathirika na Virusi vya UKIMWI na wanaotumia Dawa za Kupunguza Makali ya Virusi...
  15. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni, IGP Wambura na Ukimya juu ya mauaji ya kikatili yanayoendelea nchini

    Wakuu Salam. Mauaji ya kikatili yanayoendelea nchini hasa mikoa ya Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, ona sasa Mtwara yanastua, yanakera, ni hali ya kutisha, hujui lini na wewe utafikiwa. Imefika mahali jamii inauliza hivi nchi hii sheria hakuna? hata tamko la mkuu wa jeshi la polisi kwa eneo...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Jiwe la dhahabu lilokamatwa Kenya na kurudishwa nchini kipindi cha JPM umma ulitangaziwa

    Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu? Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama katika kuboresha mazingira ya biashara nchini

    31 Januari 2023 KONGAMANO KUJADILI NAFASI YA MAHAKAMA UBORESHAJI MAZINGIRA YA BIASHARA LAFANYIKA Na Faustine Kapama-Mahakama, Dodoma Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akichukua kumbukumbu muhimu wakati wa Kongamano hilo Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma...
  18. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania BRELA ni Taasisi ya kuigwa nchini kwa huduma bora, kwakweli wanastahili pongezi!

    Wakuu moja kwa moja kwenye mada bila kuwachosha. Mimi siyo Chawa wala mtumishi wa BRELA. Mimi ni mdau tu mnufaika wa huduma za BRELA. Kwa wasiojua, BRELA ni Taasisi inayoshughulika na masuala ya usajili wa biashara /kampuni na kutoa leseni za biashara/kampuni nchini. Mie nimekuwa mnufaika wa...
  19. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nimemshauri akasomee ulozi na uchawi (vodoo) Afrika Magharibi

    It serious unafikiri mimi ningemshauri ninj? Zaidi ya kumwambia kwamba akasomee ulozi na uchawi Afrika magharibi kwa sababu kwa alichofaulu ni kiwango kizuri kwa hiyo fani na ama kwa hakika vodoo inalipa sana kama ukichanga karate zako una nagasi kubwa sana ya kutoboa maisha kwahiyo hapa...
  20. tpaul

    JamiiForums Tanzania Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

    Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
Back
Top Bottom