nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Dar: Maandamano ya ACT Wazalendo kuelekea Ikulu kushinikiza waliotajwa wizi kwenye ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua

    Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani. Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni...
  2. Bilioni 37 kuboresha mawasiliano wilaya 23 nchini

    Kukamilika kwa upanuzi wa mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kutaisaidia utekelezaji wa Tanzania ya kidijiti na kufungua fursa za kiuchumi na mawasiliano ya uhakika kwa wananchi katika wilaya 23, imebainika. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hayo jijini...
  3. Kwanini kutua kwa Airbus A380 nchini kunaibua hisia na gumzo?

    KWANINI KUTUA KWA AIRBUS A380 NCHINI KUNAIBUA HISIA NA GUMZO? Airbus A380 ndiyo ndege kubwa na nzito zaidi ya abiria ulimwenguni kwa sasa. Yapata urefu wa mita 73, kimo cha mita 24, uzito wa juu wa kuruka tani 560, pamoja na uwezo wa kubeba hadi abiria 853 endapo itapangwa viti katika mfumo wa...
  4. Mkoa wa Kumamoto nchini Japani waadhimisha miaka 7 tangu kutokea kwa tetemeko kubwa la pili la ardhi

    Inatimia miaka saba leo Jumapili tangu tetemeko kubwa la pili la ardhi kuutikisa mkoa wa Kumamoto unaopatikana kusini magharibi mwa Japani. Tetemeko hilo lililokuwa lenye kiwango kikubwa zaidi cha saba kwenye kipimo cha matetemeko nchini Japani lilitokea katika mji wa Mashiki Aprili 16 mnamo...
  5. Rais Samia na awamu ya pili ujenzi wa sekondari za kata zote nchini

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Deogratius Ndejembi, amesema serikali imedhamiria kujenga shule za sekondari katika kata zote nchini awamu ya pili. Alisema shule hizo zitajengwa katika halmashauri zote 184 nchini na kila halmashauri itapata...
  6. Waziri Mkuu wa Japan anasurika kifo baada ya kutupiwa Bomu

    Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba. Kishida alikuwa anazuru bandari ya Saikazaki mkoani Wakayama leo Jumamosi asubuhi. Waziri Mkuu wa...
  7. Mashambulizi ya Urusi yaua watu 8 na kujeruhi wengine zaidi ya 20 nchini Ukraine

    Mashambulizi ya Urusi huko mashariki mwa Ukraine yamesababisha vifo vya watu wanane na kuwajeruhi wengine zaidi ya 20. Mkuu wa Majeshi ya Ukraine amesema mashambulizi makali yanayofanywa na vikosi vya Urusi yaliendelea jana Ijumaa katika eneo la Sloviansk na maeneo mengine ya Donetsk, mashariki...
  8. Je, ni kweli Nabii hakubaliki kwao? Raia wa Afrika Kusini wataka Jeshi la Polisi Tanzania kwenda kuzuia uhalifu nchini kwao

    Moja ya changamoto kubwa sana tuliyokuwa nayo Tanzania, ni kuona kila kitu tulichokuwa nacho hakifai. Wakati nchini Tanzania hadi tume ya kupitia mfumo wa Haki Jinai ikiwa imeundwa na tayari ipo kazini, raia wa Afrika Kusini wameonyeshwa kuvutiwa sana na utendaji kazi wa Jeshi la Polisi la...
  9. Msaada kwa wanaojua Viwango vya Mshahara kwa Mwalimu nchini Botswana

    Habarini wanajamvi, Nimechoshwa na maisha ya walimu hapa nchini. Nimekuwa nikiona baadhi ya machapisho kuwa angalau Botswana kuna kaunafuu. Kwa anaejua mshahara wa Mwalimu wa Degree nchini Botswana naomba anijuze, na pia connection kama itawezekana. Ahsanteni.
  10. Serikali ifanye uchunguzi wa kina kwenye mbegu za vyakula zinaoingizwa nchini

    Nilikua nimekaa mahali kwa bahati mbaya. Sasa nikasikia beberu moja Toka kwa Biden likiwa linatetema kwamba eti Kuna mkakati wa kuweka vijidudu vya magonjwa ya mimea na wanadamu Toka nchi moja ya mashariki ya mbali kwa wale macho madogo. Ingawa naelewa Kuna vita vya kiuchumi baina yao. Ila...
  11. Tamko la chama cha upinzani Afrika Kusini kuhusu kukamatwa kwa Thabo Bester nchini Tanzania

    Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini EFF kimepokea kwa mikono miwili hatua ya kukamatwa kwa Raia watatu wa Afrika Kusini ambao mmoja wa ni Thabo Bester maarufu kwa jina la ‘Mbakaji wa Facebook’, pamoja na Mpenzi wake Dr. Nandipa Magumana na mtu mwingine mmoja aliyetajwa kwa jina la...
  12. Wenje: Magufuli angekuwa hai, asingekubali"ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG

    Mbunge wa zamani wa Nyamagana kupitia CHADEMA EZEKIEL WENJE amenukuliwa akisema kuwa kama Rais wa Awamu ya Tano, Marehemu Dkt John Pombe Magufuli angekuwa hai basi asingekubali hali aliyoiita "ufisadi" huu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG. Nimeshangazwa sana na kauli hii ya Wenje na nimejiuliza...
  13. Wastani wa shilingi milioni 423 zimepigwa na kila halimashauri nchini zikiwa ni pesa za mikopo kwa vijana.

    Hii ni kwa mujibu wa riport ya CAG. Ambapo kiasi cha shilingi bilioni 80 hazionekani zilipo, pesa ambazo ukizigawa kwa halimashauri zote 187 nchini ni kila halimashauri imepoteza milioni 420. Hii haiingii akilini kabisa, iweje pesa ndefu kama hiyo wadaiwa waingie mitini. Maafisa maendeleo wa...
  14. M

    Mzuka wa ushangiliaji wa Kocha Robertinho haukuanzia hapa Simba; alikuwa hivyo toka anacheza mpira wa miguu kwao nchini Brazil

    Kohh koooh... Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo, ukipenda unaweza kumuita Robertinho alikuwa mshambuliaji nguli aliyechezea vilabu vikubwa nchini brazil, mwisho mwa miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa miaka ya 80. Kocha huyu anayewaonoa wekundu wa msimbazi kwa sasa, aliwahi kukipiga katika vilabu...
  15. Aliyekua Mgombea Urais Nigeria adai analazimishwa kuondoka Nchini humo

    Peter Obi ambaye alishika nafasi ya 3 katika Matokeo yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi amesema Majaribio ya kuwadanganya Wananchi ni ya kusikitisha. Licha ya kutoweka wazi ushahidi wa madai yake, Obi amesema Serikali imekuwa ikifanya kila namna kupoteza ukweli juu ya Wizi wa Matokeo ya...
  16. TCCIA: Wataalamu nchini kuibeba Sekta ya Kilimo

    Na. Mwandishi Wetu. Wataalam sekta ya kilimo kama wataendelea kuwatembelea wakulima na kutoa elimu kwa wakulima watasaidia kuiinua Sekta ya kilimo Nchini. Akizungumzia juu ya teknolojia katika sekta ya kilimo nchini Mkurugenzi Mtendendaji wa Chama cha Wafanya Biashara Wenye viwanda na Kilimo...
  17. Serikali inavyosambaza kwa kasi mashine za X-Ray na Ultrasound nchini

    Hadi kufikia mwaka 2023 jumla ya mashine za mionzi (X-ray) za kisasa za kidijitali 213 zimesimikwa huku vipimo vya Utra sound 67 vimesambazwa na kusimikwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya msingi nchini. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)...
  18. Macron yuko China kuishinikiza kusaidia amani nchini Ukraine

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini China ambako pamoja na mengineyo analenga kulishawishi taifa hilo mshirika wa Urusi, kusaidia juhudi za kuleta amani katika mzozo wa Ukraine. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aidha anataraji kuirai China kuacha...
  19. R

    Tundu Lissu arejea Nchini asema ripoti ya CAG ufisadi ni uleule, mambo ni yaleyale

    Mwandishi: Ripoti ya CAG imetoka na majibu ya Rais ni kwamba waliofanya madudu wampishe. Unadhani hiyo ni kauli ya kitendaji au ya kimamlaka? Lissu: Kwanza wizi na ufisadi ni ule ule wa miaka yote, kama haujaongezeka, ninachosoma ni kwamba umeongezeka. Wizi ni ule ule, wa watu wale wale, wa...
  20. N

    Mwakyembe aitwa na NaCoNGO kueleza kwa kina madai aliyoibua kuhusu baadhi ya ngo kuhusika kueneza mapenzi ya jinsia moja nchini

    Mwanasiasa aliyewai kuwa Waziri kwenye Wizara tofauti, ikiwemo Wizara ya Katiba na Sheria Dk. Harrison Mwakyembe ameitwa na Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) kueleza kwa kina kile alichoeleza mbele ya Umma kuhusu madai ya baadhi ya mashirika (NGOs) kuhusika kueneza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…