nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tuwe makini na yanayoendelea nchini, Viongozi wasio waaminifu wameamua kujichotea fedha za walipa Kodi watakavyo

    Katika ulimwengu wa ukaguzi wa hesabu forensic auditing na intelijensia ya jinai (criminal intelligence) miradi mikubwa inayohusisha wageni mashuhuri kama Wasanii na wanamichezo, matukio ya kimataifa au kampeni kubwa za kuitangaza nchi inaweza kutumika kama kichaka au mbinu ya kutakatisha fedha...
  2. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Ghafla ya Vyombo vya Habari na Uhuru wa Kisiasa Tanzania

    Kuna hivi vyombo vya habari vya machawa navyo siku hizi wanazungumza siasa, wasafi tv, clouds media na vyombo vingine vya habari zikiwemo youtube channel za machawa, nao siku hizi wanachambua siasa na matukio ya MO29. Ila naona serikali inaendelea kutumia hivi vyombo na lengo kuu lao si kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Rio Frednand haja post ziara yake nchini TANZANIA kwenye social platforms zake

    Nyota wa zamani wa Man U na team ya Taifa England yupo Tanzania Kwa ziara ya siku mbili, na kesho anatarajiwa kufika Dodoma Bungeni Ujio wake tulitegemea awe balozi wa utalii na michezo Ila naona yeye alivochukulia ni kama ametokea Bunju B kwenda Kawe, yaani amechukulia kuwa ni jambo la...
  4. K

    JamiiForums Tanzania From the Pitch to the Pillars of Power: Evaluating the Mismatch of Media Scrutiny in Tanzania

    This critique originates from the deeply frustrated perspective of an ordinary citizen—a passionate observer who is tired of watching immense intellectual talent and public influence squandered on sports debates while vital national assets are bargained away in silence. Day after day, Tanzanians...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Kenya kufuatia maandamano

    Lei, Mei 18 kwenye baadhi ya maeneo kumeonekana migomo na maandamano ya watu wakidai bei ya mafuta imekuwa kubwa sana hivyo wanahitaji uwajibikaji bdi ishuke
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano ya Mafuta yageuka kuwa ya Vifo wakati Polisi wakikabiliana na Waandamanaji Nchini Kenya

    Maandamano ya kitaifa ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta yamegeuka kuwa vurugu na kusababisha vifo Jumatatu, Mei 18, baada ya makabiliano makali kati ya polisi na waandamanaji katika maeneo mbalimbali nchini Kenya. Huko Kakamega, watu wawili waliripotiwa kupigwa risasi na kufariki, huku...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA imeharibu maadili ya Taifa letu. Siasa zao zimejikita kwenye matusi, upotoshaji, vurugu na ufitinishaji; kama Taifa tuseme NO

    Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema. Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema. Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata...
  8. JamiiForums Tanzania Kukosa agenda kwa vyama vya upinzani nchini, kumewasababishia Udumavu wa kisiasa

    Na hiyo huchangiwa zaidi na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 100%, hali ambayo huwakosesha kabisa vyama vya siasa vya upinzani nchini agenda. Matokeo yake hali hiyo ni kwamba wapinzani wanaonekana kama matapeli tu wakisiasa wanapokua kwenye medani za siasa nchini. Hata hivyo, kukosa...
  9. JamiiForums Tanzania Tangu mfumo wa vyama kuanzishwa nchini, bado hakuna kabisa mchango wa vyama vya upinzani katika kuchochea maendeleo ya wananchi nchini.

    Ni CCM pekee kwa dhamira yake njema kwa taifa, utashi wa kisiasa wa viongozi wake, mipango mikakati yake ya maendeleo kwa wananchi na dhamira yake njema kwa waTanzania, ndio daima huunda serikali sikivu ya wananchi na kuongoza nchi, huku ikilenga zaidi kuwaletea waTanzania wote maendeleo bila...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Trump nchini China: mambo matatu umefuatilia?

    Trump amewasili. Mei 13, kutokana na mwaliko wa rais Xi Jinping wa China, rais Trump aliwasili Beijing kwa ajili ya ziara ya siku tatu nchini China, ambayo ni ziara ya kwanza ya kiserikali nchini China katyika wa muhula wake wa pili. Katika miaka ya hivi karibuni, uhusiano kati ya China na...
  11. JamiiForums Tanzania Ahmed Shabiby: Mapapa makubwa yamehodhi tenda za kuleta dawa nchini, nyingi ni feki na zina Milligram chache

    Mbunge wa Jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amesema kuna mtandao unaokwamisha juhudi za kuanzisha viwanda vya dawa nchini, akidai kuwa baadhi ya viongozi wanahujumu sekta hiyo kwa maslahi binafsi huku wananchi wakiendelea kuumia kutokana na gharama kubwa za dawa. Akichangia hotuba ya Wizara ya Afya...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Kongamano kubwa la PPP na Wizara ya Maji | Fuatilia ujue kwanini soon shida ya maji nchini itabaki historia

    Fuatilia mdahalo huu kwa faida yako na faida ya watoto wako. https://www.youtube.com/live/ns5m5m5-20o?si=hLRnoSO87jjQU2b0
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru wa Vyombo vya Habari hatarini: Waandishi wa Standard Media wazuiwa kwenye tukio la Rais Ruto

    Waandishi wa habari kutoka Standard Media Group wamezuiwa kuingia katika event ya Rais William Ruto huko Naivasha wakati wa Second National Education Conference. Kisa hiki kimeibua mjadala mkubwa kuhusu freedom of speech na haki ya wanahabari kufanya kazi yao bila vitisho au ubaguzi. Inadaiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ubinafsishaji ni mbaya? Kisa cha uuzwaji wa Port Harcourt na Kaduna refinary nchini Nigeria.

    Kwa nyakati tofauti tumekuwa na mijadala mizito kuhusu ubinafsishaji wa mashirika ya umma ambayo yamekuwa hayafanyi vizuri. Mijadala hii kwa imekuwa ikiibua hisia tofauti miongoni mwa wananchi, wanasiasa na wadau wa maendele. Kwasababu hiyo leo ningependa kusimulia kisa cha serikali ya Obasanjo...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu ndo balozi mtarajiwa wa Marekani nchini Tanzania….

    Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump. Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉. Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Vita nchini Iran vyaibua swali kuhusu usalama wa nishati duniani, na vinu vya upepo mjini Pingtan vimetoa jibu la China

    Kwenye mapumziko ya siku ya Mei Mosi, kwenye fukwe za Pingtan, mji uliopo kusini mashariki mwa China kulijaa watalii wengi. Vinu vikubwa vya upepo vyeupe vimesambaa kando ya ukanda wa pwani wa kilomita 5, mapangaboi yake makubwa yanazunguka polepole katika upepo. Hata hivyo, wakati watalii hao...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea nchini unategemea kuna Katiba mpya?

    Kuna bajeti imepitishwa hadi sasa ya kuunda Katiba mpya? Bunge la chama kimoja liunde katiba? Wabunge vilaza wamekalia uchawa tu kusifiasifia tu matumbo yajae Mambo ya tume ya ccm kuchunguza ni kupoteza muda tu wananchi wanahitaji katiba mpya wataepata lini? Katiba hakuna waweke wazi watu wajue
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wa Rwanda Paul Kagame Kufanya Ziara Ya Siku Moja Nchini hapo Kesho. Kufanya mazungumzo na Taifa Rais Samia Moyo Wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho. Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na Moyo Wa Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Rais wetu Mpendwa anaendelea kuonyesha...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kundi la makampuni la AMSONS la Tanzania kujenga hospitali 10 nchini Kenya kwa dola milioni 40 za Marekani

    May 2 2026 Kundi la AMSONS kujenga hospitali 10 za akina mama na watoto nchini Kenya chini ya mpango wa afya wa dola milioni 40 za Marekani Mpango huo, unaoitwa "Ahadi ya Maisha," unaonyesha kujitolea kwa pamoja katika kuhakikisha uzazi salama na kuanza kwa afya kwa watoto wachanga...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Betting nchini Tanzania - Neema ya Kiuchumi au Janga la Kitaifa?

    Heri ya Mei Mosi wakuu! Fikiria hili: Ni wikiendi, upo kijiweni au kwenye banda la kuonesha mpira. Yanga inacheza na Simba, au labda Arsenal ipo uwanjani dhidi ya Man City. Lakini badala ya macho yote kuwa kwenye soka pekee, asilimia kubwa ya vijana wameshikilia simu zao wakichanja 'mikeka' au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…