nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Haya chukueni upesi haya yafuatayo kutoka kambini huko nchini Ivory Coast

    1. Kocha wenu ambaye pia ni dalali ameshafanya kutompanga kabisa mchezaji Kibu Denis katika mechi za Afcon kwakuwa amekataa kuwa wakala wake na hata ikitokea akaanza kumpanga kuanzia mechi ya Zambia na Congo DR itakuwa ni kwa kutuzuga tu ila hatompa dakika 90 bali atampa nusu tu yaani dakika 45...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tani Elfu 50 za sukari kuingizwa nchini kukabiliana na upungufu uliopo

    Ndugu zangu Watanzania, Mkurugenzi mkuu wa bodi ya Sukari nchini Tanzania Ndugu Kenneth Bengesi amesema kuwa katika kukabiliana na upungufu wa sukari hapa nchini, inatarajiwa kuanzia mwezi huu wa januari kuingizwa kwa Tani Elfu Hamsini za Sukari kutoka nje ya Nchi. Mkurugenzi huyo ameelezea...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe akutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Michael Battle leo kujadili kuhusu Demokrasia nchini

    Kikao hicho kimetokea Leo ikiwa bado siku Kadhaa Ili yafanyike Maandamano Ya Chama Chake una maoni gani??
  4. JamiiForums Tanzania Ajira 500 za Wauguzi nchini Saudia, zimeishia wapi?

    Serikali ilitangaza nafasi 500 za wauguzi wa kike, ambao walitakiwa kuenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia, kupitia tangazo hilo ilitangazwa kuwa kufikia tarehe 10 January watakaokuwa wamefanaikiwa kupata nafasi, watatakiwa kuonana na Waziri husika. Je, hili hili suala limefikia wapi??
  5. N

    JamiiForums Tanzania Udanganyifu wa mitihani nchini una historia yake

    Moja ya habari kubwa kila yanapotangazwa matokeo ya mitihani ya kitaifa huwa udanganyifu unaofanywa na watahiniwa, hii ni kwa darasa la nne na Saba, kwa elimu ya msingi, kidato cha pili, nne na sita kwa elimu ya sekondari na hata kwenye vyuo vya taaluma mbali mbali. Ni takribani siku kumi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye chombo cha habari cha nchini Marekani chaeleza ukweli kuhusu Xinjiang

    Hivi karibuni, Shirika la Habari la CBS la nchini Marekani lilichapisha waraka kuhusu safari ya ujumbe wake mkoani Xinjiang. Tofauti na habari zisizo za kweli zinazotangazwa na vyombo vingine vya habari vya nchi za Magharibi, waandishi wa habari wa CBS walieleza kile walichokiona na kukisikia...
  7. JamiiForums Tanzania Jina gani la Kibantu ambalo umewahi kulisikia hapa nchini likakuduwaza?

    Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!. Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI 1. MLANGO Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani...
  8. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya Afya, Je, kuna mlipuko wa ugonjwa wa macho?

    Habari za muda tena, heri ya siku ya mapinduzi. Moja kwa moja kwenye mada, jana nikiwa katika harakati za kutafuta mkate wa siku muda wa saa 4 asubuhi nilianza kuhisi maumivu jicho la kulia kadri muda ukivyozidi kwenda hali ilizidi kuwa mbaya nikaona hata isiwe shida acha nijipumzishe na kazi...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani inafundisha Wanajeshi wa Kiafrika kufanya Mapinduzi nchini mwao? Walioongoza mapinduzi Guinea na Burkina Faso ni zao lao

    Katika majibizano makali mnamo Machi 23, 2023, Congressman Matt Gaetz alimuhoji kiundani Kamanda wa Kamandi ya U.S. Afrika, Jenerali Michael Langley kuhusu Dola za Walipa Kodi wa Marekani zilizotumika kuwafunza Viongozi wa Kijeshi wa Mapinduzi barani Afrika Mnamo Januari 2022, Luteni Kanali...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hata shirika la Reli yawezekana halijui limeagiza treni za SGR za aina gani; treni inayofanyiwa majaribio Korea haifanani na zilizowahi ingizwa nchini

    Tumekuwa tukipewa updates za ujio wa treni ya kisasa. Kila inapoletwa updates wafu waliowahi kusafiri nje ukataa kwamba hizi zimepitwa na wakati siyo treni mpya. Ukisoma huku kila uchwao wapo viongozi wa serikali na chama waliowahi kutetea kwamba zile zilizoletwa ni vichwa vya kisasa na...
  12. JamiiForums Tanzania Kumamoto: Mji ulio nivutia zaidi nchini Japan

    Miji ya wenzetu imepangwa ikapangika, imejengwa ikajengeka. Nataka ku relocate nikaishi zangu Kumamoto nchini Japan.
  13. JamiiForums Tanzania Watu waandamana Nchini Marekani kupinga mashambulizi dhidi ya Yemen

    Katika Jiji la New York na jiji la Washington, makumi ya watu waandamana kupinga mashambulizi yanayofanyika huko Yemen. Marekani na Uingereza wamefanya mashambulizi makubwa katika kambi za kivita za kundi la kigaidi la Houthi lenye makazi yake Nchini Yemen. Jambo lililopelekea waandamanaji...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

    Rais BIden wa Marekani amethibitisha kuwa Majeshi ya Marekani na Uingereza yamefanya mashambulizi dhidi ya kikundi cha Houthi nchini Yemen Rais Biden amesema mashambulizi hayo ni kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya kikundi hicho cha Houthi ndani ya Red Sea ≈============== UK Prime Minister...
  15. JamiiForums Tanzania Watu wenye ulemavu katika maandalizi ya michakato ya kupiga kura Nchini

    Watu wenye ulemavu, iwe ni ulemavu wa kuonekana au usioonekana, wanahitaji msaada mkubwa katika michakato ya upigaji kura. Upigaji kura ni haki ya kila Mtanzania mwenye umri wa miaka kumi na nane na kuendelea. Watu wenye ulemavu wanahitaji kipaumbele na mwongozo wa kutosha wanapojiandaa kupiga...
  16. JamiiForums Tanzania Majizzo awashukia Machawa nchini

    Mmiliki wa Efm Francis Ciza almaarufu "Majizzo", amewashukia Machawa wanaoishi kwa kutegemea kuwasifia watu wenye pesa mjini. Kupitia mtandao wake Majizzo ameandika "Hapana, usiwe proud kuitwa ‘Chawa’. Labda kama kuna maana nyingine, lakini hii ya kwamba wewe ni mtu tegemezi na anayekula kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu kuhusu Ajira nchini

    Kwa wale vijana wanaopambana kutafuta ajira Serikalini na Sector binafsi kuna la kujifunza hapa.
  18. JamiiForums Tanzania Mnada wa kuuza wake utawala wa Victorian nchini Uingereza

    Wasaalamu wakuu? Najua unajiuliza ni kivipi nchini uingereza kuwe na mnada wa kuuza Mke?! Linawezekana vipi? Tulia Leo nikupe historia hii. Katika utawala wa Victorian malkia, nchini uingereza walikuwa wanafanya vitu kwa njia ya ajabu na ya moja kwa moja. Kabla ya talaka kuwa kisheria, njia...
  19. JamiiForums Tanzania Tunauza Rozela safi toka shambani. Agiza popote ulipo nchini Tanzania

    Mzigo umeisha
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kamishna Jenerali wa Kudhibiti dawa za kulevya nchini Ndugu Aretas Lyimo namwona kama kiongozi serious na anayeweza kulisaidia Taifa; hongera

    Huyu Bwana anahitaji pongezi kubwa sana. Anapambana na dawa za kulevya proffesionally siyo kisiasa kama watangulizi wake. Amebiresha mambo mengi kwenye taasisi hii kwa muda mfupi. Ameondoa Tambo za vyombo vya habari, amepiga marufuku kuchafua watu kisa siasa na sasa anakamata na kuchunguza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…