Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,860
- 40,494
Ukiiongelea ligi ya Tanzania mwaka 2020-2022 hutaacha kuongelea umahiri wa Waamuzi mahiri na wa kutegemewa kipindi hicho wakiongozwa na Hery Sasii. Sasii alikuwa mwamuzi makini na aliyetegemewa katika Mechi ngumu na zenye ushindani. Kila mpenda soka alifurahia uchezeshaji wake.
Lakini ghafla akaanza kuporomoka na akishindwa kumudu hata Mechi ndogo za Mtibwa Vs Prison.
Jana kafungiwa miezi 6 Kwa makosa ya Wazi aliyoyafanya Mechi ya Simba Vs Singida BS. Ufanisi wa binadamu uko kama wa mashine kuna kipindi unashuka mpaka chini kabisa. Kwa heri Sasii refa wangu bora uliyeanguka ghafla kiufanisi.