nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Balozi Matinyi akutana na Watanzania wanaoishi nchini Uswidi

    BALOZI MATINYI AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI NCHINI USWIDI Balozi wa Tanzania katika Ufalme wa Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi, tarehe 29 Mei, 2025, alifanya kikao na Watanzania wanaoishi nchini humo katika viwanja vya ofisi za ubalozi jijini Stockhom. Katika kikao hicho kilicholenga...
  2. Waufukweni

    Je, Wajua? Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani!

    Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani, ambapo wanaume huishi wastani wa miaka 79 na wanawake miaka 84. Tofauti hii ya miaka mitano kati ya jinsia inaonyesha hali bora ya huduma za afya, lishe, na mtindo wa maisha unaojali afya. Maisha marefu ya raia wa...
  3. B

    PM Majaliwa aikaribisha Japan kuwekeza nchini

    29 May 2025 Tokyo, Japan PM MAJALIWA - JAPAN YAKARIBISHWA KUWEKEZA NCHINI TANZANIA https://m.youtube.com/watch?v=OZi6y1z9ffE Waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa asema kuwa Japan imekubali sasa kufanya ubia na wazawa wa kiTanzania kufungua biashara na miradi mikubwa Tanzania Kimkakati...
  4. M

    Je, kuendelea kutofanya kazi kwa mtandao wa X Nchini si sawa na kukubali matakwa ya adui?

    Napata shida kidogo hapa. Kuendelea kutopatikana kwa mtandao wa X Nchini si sawa kabisa na kukubali hila mbaya za adui? Ebu fikiri, mwizi kavunja mlango na kuiba mali zako. Badala ya kuimarisha ule mlango na ulinzi kwa ujumla na kuendelea kuishi katika nyumba yako, wewe unaamua kuivunja nyumba...
  5. funaku

    Madhara ya Post Election Violence nchini Kenya sababu ya mizaha ya siasa

    Inasikitisha Sana na kamwe tusijipeleke huku.
  6. Mchochezi

    Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    FT: Simba SC 1-1 RS Berkane (Agg: 1-3) | Ni kufa au kupona. Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika. Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0. Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili. Mchezo ni saa 10:00 jioni kwa...
  7. Ngengemkenilomolomo

    Press ya Jerry Muro ni press ya hovyo kuwahi kufanyika nchini

    Wakuu Nimesikiliza press ya Jerry muro nimelia sana yn ningekua ndugu yangu luka ningesema nimebubujikwa na machozi Yani kanavoongea unaona kabisa kama njaa anafukuzia teuzi Yan mtu kabsa unaitisha press kusema lazma umtetee mtu kwa sababu alikuteua? Kwahiyo kukuteua tuu imetosha kumtetea...
  8. Mindyou

    Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  9. GoldDhahabu

    Unajua kauli moja inaweza kubadilisha joto la kisiasa nchini?

    Hata kama siyo wote , lakini wengi wataweza kuelewa wakiona mtuhumiwa ameamua kubadilika toka moyoni! Fikiri, kwa mfano, alkijitokeza na kusema, "Ndugu Watanzania wenzangu, naomba mnisamehe! Nimetambua makosa yangu, na ninayajutia sana. Mnisamehe, na mnipe muda nirekebishe nilikoharibu" Kwani...
  10. JanguKamaJangu

    Soka sio mchezo pendwa namba moja Nchini Finland, unaoongoza ni ice hockey

    Wakati Barani Ulaya inajulikana wazi kuwa mchezo wa soka (Football) ndio namba moja kwa kupendwa na kufuatiliwa zaidi na Watu, Nchini Finland hali ni tofauti, wao mchezo wao namba moja ni ice hockey. Mchezo huo unaongoza kwa umaarufu na kwa kufatiliwa na watu wengi Finland, hii inajumlisha...
  11. N

    MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi

    https://nation.africa/kenya/news/africa/us-demands-answers-from-tanzania-on-boniface-mwangi-agather-atuhaire-torture-claims--5055008?fbclid=IwY2xjawKedsVleHRuA2FlbQIxMQABHukqJTQqQdD9M6_P7IAPsxMA2SmVPDulEpTFYPt8dKYcN4gL5jg93slqRle4_aem_Z13cOlvjRQOfJnicy5KMJg
  12. kavulata

    Kila mtu nchini ameichoka TANESCO.

    Kila anashangaa kwanini umeme lazima ukatike sila siku kuanzia mijini hadi vitongojini, hata baada ya kuambiwa bwawa la Nyerere linafanyakazi Sasa, mvua zinanyesha mabwawa yote yamejaa na Tanzania tuna umeme wa geai. Katikakatika hii inasababisha hasara kubwa sana kwa watumiaji hivyo kero...
  13. Waufukweni

    Waziri wa Ulinzi: Waliotaka kufanya vurugu nchini, Mataifa yao hayajawasapoti

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema uwepo wa ushirikiano wa kidiplomasia wa kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi zingine umesaidia hata watu aliowataja kutaka kufanya vurugu nchini kutoungwa mkono na nchi zao...
  14. BigTall

    Kuna wimbi la bidhaa feki nchini kuuzwa kwa bei sawa na bidhaa halisi; Mamlaka husika zinawalindaje walaji?

    Je, umewai kuuziwa bidhaa feki au bandia kwa bei ya bidhaa halisi? Uchunguzi uliofanywa na 'wazalendo' umebaini kuongezeka kwa bidhaa feki sokoni ambazo zinauzwa kwa bei sawa na zile halisi jambo ambalo ni kilio kwa walaji. Uchunguzi huo ambao unawasilishwa kwenye andiko hili kwa ufupi...
  15. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena Tax: Walitaka kujipenyeza nchini kuleta vurugu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt. Stergomena Tax amesema kuwa kumekuwa na ushirikiano mzuri wa kidiplomasia ya kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi nyingine. Dkt. Stergomena ameyasema hayo leo, Mei 22, 2025, jijini Dodoma wakati...
  16. Roving Journalist

    Ujumbe wa Tanzania watembelea Bandari ya Oslo nchini Norway

    Bandari chanzo kingine cha Biashara ya Kaboni, hayo yaamelezwa na Ingvar M. Mathisen, Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Oslo, Norway kwa ujumbe wa Tanzania uliotembelea bandari hiyo hivi karibuni. Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe...
  17. Lord Denning

    Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X

    Hali si Hali nchini Tanzania. Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X. Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa...
  18. funaku

    Maneno ya Cassypool, Chawa wa Rais Samia nchini Kenya

    Huyu jamaa aniachaga hoi kwa vituko vyake.
  19. W

    Tanzania yang’ara katika mkutano wa wakaguzi wa majitaka migodini nchini Sweden

    Tanzania imeendelea kung’ara katika majukwaa ya kimataifa baada ya kuwa kivutio kikubwa katika mkutano wa Tathmini ya Mafunzo ya Ukaguzi wa Majitaka ya Migodini unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Luleå, nchini Sweden. Mkutano huo wa kitaalamu unahusisha nchi saba...
  20. L

    Demokrasia na uhuru nchini umepitiliza mipaka mpaka akina Heche wanatukana Polisi na Wanaharakati wakivuka mipaka kuja kuleta uchochezi nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Naona Sasa Demokrasia na uhuru hapa Nchini Umepitiliza Mipaka na kuvuka mstari wa demokrasia na uhuru unaopaswa kuwepo hapa Nchini na mahali penginepo pale popote Duniani. Uhuru umezidi mpaka sasa watu kama akina Heche wanafikia hatua ya kusimama kwenye magari yao...
Back
Top Bottom