nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa nafasi ya Uraisi, Uelekeo wa Vyama vingi vya Upinzani nchini ni Kumuunga mkono Mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan, Unadhani ni Kwanini?

    Ni kipi hasa kimewavutia zaidi vyama vya wapinzani nchini hata kujizuia kufikiria kusimamisha wagombea urais kupitia vyama vyao vya siasa, na kutoa fursa hiyo adhimu kwa kuunga mkono azma ya Dr.Samia Suluhu Hassan kugombea nafasi ya uraisi wa JMT katika uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025...
  2. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini kweli hawaoni yabayoendelea nchini kwa vyama vya upinzani hasa chadema inayopitia?

    Kila kona chadema imebanwa msajiri kila siku kutoa matamko yasiyo na tija na kusitisha ruzuku, viwanja vya mikutano imekuwa mwiba kwa chama hicho , uhamiaji kila sehemu wapo macho hawataki anayeitwa kiongozi wa chadema kuvuka mipaka ya nchi, mahakama nayo imebana kwa kuamua kesi ya chama...
  3. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ujumbe wa Wakili wa Kimataifa bwana Robert Amsterdam kwa Serikali ya CCM

    TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA "Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa. Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Nchini, imeanza uchimbaji wa visima virefu 67,000 kwa ajili ya kiliko cha Umwagiliaji

    NIRC YAENDELEA NA UTELEKELZAJI WA AHADI YA RAIS SAMIA KUCHIMBA VISIMA 67,000 VYA UMWAGILIAJI,NCHI NZIMA 📍Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita, kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imeanza utekelezaji wa ahadi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya uchimbaji wa visima virefu 67,000 vya maji kwa...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya kisiasa nchini, Naomba tuburudike kidogo labda tutaeleweka

    Yaonekana Viongozi wetu hawajui Afrika ilitoka wapi na inakwenda wapi. Hawajui nchi inatoka wapi na inakwenda wapi. Ko sa ni la CCM 'Kuokota' Kila mtu asiye na aibu akawe kiongozi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shura ya Maimamu wa Tanzania yatoa waraka mzito-Yalaani matendo ya utekaji na mauaji nchini na kutaka haki katika chaguzi nchini

    HAYA NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA WARAKA WA SHURA YA MAIMAMU , WARAKA MZIMA UPO KATIKA ATTACHMENT SHURA YA MAIMAMU TANZANIA S.L.B.2055 DAR ES SALAAM. 0748410746 WARAKA WA IDD ADH-HAA DHULHIJJA 10, 1446 = JUNI 07, 2025 PITIO LA HALI YA MAISHA TANZANIA 2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu, mambo yenye tija wananchi wengi wapo kimya ila kwenye Simba na Yanga kila mtu anaongea tena kwa uchungu

    Tangu jana Yanga watoe matangazo ya kuendelea na msimamo kila mtu anapaza sauti hadi wakina mama tena kwenye hizi public transport imagine. Ila mijadala yenye afya kuhusu mustakabali wa taifa, yanayofanywa na CCM, watu kutekwa, kupotea wala hawajadili kwa sauti tena wanafanya kama hawahusu eti...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Ziarani Nchini China

    Waziri Kombo Ziarani Nchini China🇨 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili Beijing, China tarehe 9 Juni, 2025 kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Kiongozi wa Ngazi ya Juu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri wa Watu wa China...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mji wa Cheboksary nchini Urusi washambuliwa na Drones za Ukraine!!

    Ndege zisizo na rubani za Ukraine zimeshambulia mji wa Cheboksary ndani kabisa ya Urusi hii inaonyesha wazi kuwa Drones za Ukraine hazina mpinzani huko Russia wanapiga popote wanapotaka!!!!! 🪐 Mashambulizi ya Ukraine yawatisha Warusi viwanda vyao vyazidi kushambuliwa!!
  10. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje; Serikali inafungia access ya mtandao nchini lakini Serikali yenyewe inaendelea kuutumia?

    Hello, wanaJF; Sote tunajua Serikali imefungia mtandao wa X (Twitter) lakini wao Serikali wanaendelea kuutumia kwa kutoa matangazo yao kwenda kwa Wananchi na watumiaji wa mtandao huo. Sababu zao wanasema ule mtandao unaruhusu Ngono, maana yake kila anayeingia mule anaenda kuangalia ngono...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Usaidizi wa gen z wa Kenya waidhoofisha kampeni nonsense ya no reform no elections ya Chadema iliyopoteza uelekeo kisiasa nchini Tanazania

    Kampeni hiyo imezimika kama moto wa mabua mitandaoni, field na ground baada ya wanainchi kuipuuza kizalendo zaidi. Hali hiyo imekuja baada ya gen z wa Kenya kuacha tena kusambaza hiyo ujinga kutokana na m.sarungi kuacha kutoa pesa kwa gen z wa Kenya, na chadema Tanzania nao wakajikuta...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Ibada zinazoendelea nchini ni wazi wachochezi watapata pigo kubwa sana

    Jana nimefutilia ibada nyingi za Eid El hadha, mahuburi yoote na Dua Ilikuwa ni Amani Tanzania na kuombea uchaguzi. Leo nimefuatilia ibada za kikristo kupitia vyombo vya habari kama Tumaini Tv (Catholic - St Joseph), Hope TV (Sabato), Upendo TV (Lutheran -Kinyerezi), Arise and shine Tv (Kawe)...
  13. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Si mlisema tatizo ni Magufuli na Mkafurahi alivyokufa kana kwamba yeye ndio chanzo cha yote nchini, sasa Kiko wapi?

    Mzuka Wana Jamvi.. Binadamu ni waasi na ni waovu.. Nakumbuka jinsi walivyokuwa wanampopoa Magu na kufurahia kifo chake kana kwamba tokea uhuru Magu ndio alikuwa raisi pekee na kuleta matatizo yote haya , pamoja na hayo Mkaenda mkaandaa nyuzi za kumsifia sana Rais Samia na ili kuwaumiza wafuasi...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema, hospitali zote hizi nchini lakini unaenda Kenya ukaangaliwe bega, una hofu gani?

    Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo. Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Watu wafupi nchini 'Wajukuu wa Samia' (Mr Pimbi, Tausi) watua Bungeni, wakaribishwa kwa makofi mazito

  16. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Intelligence Insider Africa Yathibitisha Uwepo wa Vikosi Maalum vya Uchaguzi (Red Army) nchini Tanzania

    Mwanza, Tanzania - Kwa mtazamo wa haraka, wanaonekana kama vijana wa kawaida wanaofanya mazoezi ya kukimbia. Wakiwa wamevalia sare za mazoezi zinazofanana na wakiwa na vitambaa vyekundu shingoni, wanakimbia kwa mpangilio asubuhi na mapema, wakiandamana na askari waliobeba silaha. Kwa mtu asiye...
  17. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Hery Sasii, miongoni mwa marefà bora nchini, kimekupata nini?

    Ukiiongelea ligi ya Tanzania mwaka 2020-2022 hutaacha kuongelea umahiri wa Waamuzi mahiri na wa kutegemewa kipindi hicho wakiongozwa na Hery Sasii. Sasii alikuwa mwamuzi makini na aliyetegemewa katika Mechi ngumu na zenye ushindani. Kila mpenda soka alifurahia uchezeshaji wake. Lakini ghafla...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Idara ya Usalama wa Taifa ya Kisiwa maarufu cha 'Puerto Rico' Watendaji wake WANACHUKIANA mno na kuna MPASUKO mkubwa sana?

    Na chuki kubwa inasemekana ni kwa miaka takribani Mitatu Minne hivi 75% ya Watendaji wa Idara hiyo kutokea Mji wa Ponce anakotoka Rais na siyo Mji Mkuu wa San Juan. Na taarifa ambazo Mtanzania Mimi GENTAMYCINE niliye na Marafiki huko Kisiwani Puerto Rico nilizonazo ni kwamba CHUKI hii kubwa na...
  19. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtanzania amewahi kwenda kutafuta maisha nchini India akatoboa?

    Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha. Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu. Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa ACT Wazalendo awaasa wana ACT Kutofurahia CHADEMA kuonewa na dola, akemea utekaji wa wananchi unaoendelea nchini

    Katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu, amewaasa wana ACT kufurahia na kitendo cha dola kula njama za kutaka kuiangamiza CHADEMA, akasema kuwa Dola ikishamalizana na CHADEMA wanaofuata kushughulikiwa ni wao. Pia Ndugu Ado Shaibu akasema kuwa wana ACT wajizatiti ipasavyo...
Back
Top Bottom