nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa wafanyakazi: Mabenki ya humu nchini yamekosa kabisa ubunifu wa kuvutia wakopaji

    Kama wewe ni mfanyakazi wa serikali au wa sekta binafsi,bila shaka utaungana nami kuwa mabenki ya humu nchini yamekosa kabisa ubunifu wa kuvutia wakopaji. Tuna utitiri wa mabenki, lakini hakuna benki ambayo ukieenda, utaona kitu cha tofauti sana na benki nyingine kuanzia kwenye riba na mambo...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Scholarship ni mbinu ya kutengeneza Vibaraka hasa wa Kisiasa?

    JE SCHOLARSHIP NI MBINU YA KUTENGENEZA VIBARAKA WA KISIASA? Anaandika Robert Heriel. Scholarship inaweza kuwa na maana nyingi, mojawapo ni kumsaidia mtu/mwanafunzi kirasilimali aweze kupata elimu Fulani; Rasilimali hiyo inaweza kuwa Fedha, au mahali pa kuishi(makazi), au chakula, au vitendea...
  3. JamiiForums Tanzania Taliban waanza mazungumzo na Maafisa wa Magharibi nchini Norway

    Wajumbe wa Taliban wanakutana na maafisa wa nchi za magharibi nchini Norway kwa ajili ya mazungumzo ya kwanza Ulaya tangu kundi hilo lichukue udhibiti wa nchi ya Afghanstan. Mazungumzo hayo, yaliyopangwa kufanyika kwa muda wa siku tatu, yatakijita katika suala la haki za binadamu pamoja na...
  4. JamiiForums Tanzania Huduma ya 5G yadaiwa kuathiri Mawasiliano ya Ndege. Mashirika makubwa yasitisha safari zake Nchini Marekani

    Mashirika makubwa ya ndege Emirates, Air India, Air Nippon na Japan Airlines yamesitisha safari zake za kwenda Marekani kutokana na huduma ya mtandao wa 5G. Jana asubuhi huduma ya mtandao wa 5G ilianza kutumika nchini Marekani kwa kuwashwa minara 4500 ya 5G. Mashirika hayo ya ndege yamesitisha...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Frank Ngailo: Mchezaji wa Tembo Warriors anayekwenda katika majaribio nchini Uturuki

    Naibu waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul, amesema matunda ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kukubali kuwa mwenyeji wa mashindano ya Mataifa Barani Afrika kwa Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu (CANAF) yameanza kuonekana...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa idadi ya Waafrika wanaoishi nchini China, ni wazi Afrika inazalisha nguvu kazi kwa nchi zilizoendelea

    Kuna idadi kubwa sana ya Waafrika nchini China, Waghana na Wanajeria wana mpaka food joints zinazopika vyakula vyao, hii yote ni kuhudumia idadi kubwa ya watu wao waliokwenda kutafuta maisha huko. Canada wanatoa offer za scholarships kwa undergraduates kusoma degree katika vyuo. Lengo kuu ni...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali iweke taa za barabarani katika majiji yote makubwa nchini

    Katika miji yote mikubwa utakuta taa za barabarani zipo barabara chache na nyingi Ni mbovu haziwaki na hakuna ukarabati wowote. Hakuna ufuatiliaji wala uongezwaji wa taa katika barabara kuu na halmashauri hazijishughulishi na hilo wanachojua wao mwisho wa mwezi uhakika basi imetoka hiyo. Jiji...
  8. JamiiForums Tanzania Wanyarwanda waliotoroka chanjo ya Covid-19 nchini mwao wamerejeshwa nyumbani

    Mfalme wa Kisiwa cha Ijwi huko Kivu Kusini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anasema Wanyarwanda zaidi ya 100 waliokuwa wamekimbia nchi yao kukwepa chanjo ya Covid-19 walirejeshwa nchini Rwanda siku ya Alhamisi. Katika mahojiano na BBC, Mfalme Roger Ntambuka alisema wameweza kuwashawishi...
  9. JamiiForums Tanzania Chuma cha Kizambia 'Baba wa Pasi za Upendo na Mpenyezo' keshatua nchini Kesho Kutambulishwa na kuwemo Safari ya Mbeya

    Pape Ousmane Sakho, Kibu Denis na Medie Kagere watafunga Magoli mpaka Watachoka kwani mwenye Pasi zake na Fundi wa 'Miauta' Raia wa Zambia ameshatua nchini. Kuna Watu sasa naona ile nia yao ya Ubingwa inaenda Kutoweka na tayari Coastal Union FC ya Tanga wameshaapa, kulishana Yamini na kusoma...
  10. JamiiForums Tanzania Tausi wa Mrisho Mpoto ndio nani hapa nchini?

    Kwema Wakulungwa! Hii nchi mtu huwa mzalendo akiwa na njaa, fukara na apeche Alolo Ila akipata ulaji uzalendo huyeyuka Kama theluji. Hii imaanisha nini? Naomba kwa heshima na taadhima, Kwa wale wanafasihi Nguli waje waniambie Tausi wa Mrisho mpoto kwenye hii nchi ndio Nani? Alafu Mrisho...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Nape hii kauli yako imetufikirisha na kutuchanganya mno 'Werevu' wachache nchini, hebu ifafanue tafadhali

    "Kama Waziri wa Sekta hii ya Habari nimeagiza kufanyike Uchunguzi wa Kina ni kwanini kwa Siku za karibuni kila kukitokea tu Ajali zinazohusisha Misafara ya Viongozi nchini Gari zinazohusika ni zilizobeba Waandishi wa Habari na Wao ndiyo hufa kwa wingi" Waziri wa Habari Nape Nauye. Kamarada...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA msimkebehi Dkt. Slaa baada ya kurudi nchini, mfuateni na mumuombe arudi ili awanyanyue kisiasa tena

    Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu. Chadema mkipata Dkt. Slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani. Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania WAKATI MAMBO MENGINE YAKIENDELE LEO NCHINI OFISI ZOTE ZA CHADEMA TANZANIA ZIMEFUNGULIWA ZIPO WAZI.

    Taarifa zilipo leo kupitia watu wambea ambao hawalipwi lakini hawakubali wapitwe wamedokeza kuwa upande wote wa kaskazi ya nchi na pwani na baadhi ya maeneo mengine hapa nchi leo ofisi za Chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema zimefunguliwa ghafla uku wengi wa wambea hao wakiwa wanahoji...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nalinganisha Vyama vya SIASA Nchini Tanzania na Mitandao ya Simu

    Chama cha Mapinduzi wanafanana sana na Vodacom, wanaweza kukuibia kifurushi chako hivihivi ukiangalia. Hakika wao ni chama kubwa, wenye sera nzuri lakini zilizopo kwenye makaratasi, ambazo hawajaweza zitekeleza hata kwa asilimia 10 toka tupate Uhuru. CCM wamejisahau, ila wajifunze kwa Nokia...
  15. JamiiForums Tanzania Mfumuko huu wa bei nchini, Watanzania tumekuwa wapole mno. Tunahitaji maandamano ya amani

    Hali mtaani inatisha sana, karibu kila kitu kimepanda bei, kuanzia maduka ya ujenzi hadi maduka ya vyakula, hadi pipi zimepanda bei. Kipato cha Mtanzania kiko palepale na asilimia kubwa ya vijana hawana ajira wala kipato chochote. Sahivi ukininunua mafuta ya elfu moja ya kupikia hayatoshi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Njia ya PPP yaweza kusaidia pia kwendeleza miradi nchini

    Wana JF nimejaribu kuwaza hivi kwanini nchi yetu haitumii sana njia ya PPP- Public Private Partnership katika kuanzisha miradi ya maendeleo nchini? Njia hii naona inakuwa na unafuu sana maana sio mkopo bali ni ubia kati ya serikali na mwekezaji wa mradi. Mwekezaji analeta pesa yote ya mradi na...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba mtuambie je, na huku Kuadimika kwa 'Soft Drinks' nchini kumesababishwa pia na Kauli ya Spika Ndugai au?

    Katika Gazeti la Leo la The CITIZEN ukurasa wa Nne ( 4 ) nanyi ( Serikali ) mmekiri 'Kuadimika' Kwake na mmeahidi Kufanya Uchunguzi wa kwanini hivyo tunaomba majibu yenu ya haraka ili Wanywaji wa Soda na tusio Walevi wa Bia na Mvinyo tujue tafadhali.
  18. JamiiForums Tanzania Staajabu Siasa za Afrika; Bunge kumchagua Rais mpya nchini Uganda?

    Siasa za Afrika ni sawa na mti wenye majani mabichi yanayokufanya upende kwenda kukaa chini yake kwa sababu una kivuri kizuri ilihali chini kuna mchwa wanautafuna. Nchini Uganda Rais anayesemwa na mpinzani wake kuwa ni dikteta Yoweli Museveni anafikilia kuwanyima haki wananchi wa Uganda...
  19. JamiiForums Tanzania Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

    Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora...
  20. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai amesema kuna upotoshaji mwingi unaendelea nchini, adai kuna wakati sheria za hovyo zinapitishwa bungeni

    Akiwa kwenye kongamano lililokuwa limeandaliwa na vijana wenyeji wa dodoma ambapo alialikwa kama mgeni rasmi katika kongamano hilo, spika Ndugai amedai kuwa kuna upotoshaji mwingi sana unaendelea nchini. Akitolea mfano suala la yeye kupingwa, Ndugai amesema anapingwa si kwa sababu ana pungufu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…