WABUNGE WA UJERUMANI NI:
Michael Gahler
David McAllister
Hangover ya ukoloni bado inaonekana wazi kwenye siasa za kimataifa—hasa kwa mataifa ya Ulaya. Licha ya kuondoka Afrika kwa miongo kadhaa sasa, bado wanashindwa kukubali kuwa mataifa kama Tanzania ni huru, huru kujiamulia na kuendesha...
Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.
Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu...
Wasalaam
Juzi nimeona Kanisa Katoliki wamepeleka huduma za afya Kisarawe kupitia Caritas eneo ambalo asilimia kubwa ilionesha lina waislam wengi...walishukuru wanasema tangu uhuru hawakuwa na huduma za afya
Wahudhuriaji wengi walikuwa waislamu pamoja na kuwa viongozi wa mradi alikuwa Askofu...
Niwapongeze YANGA kwa KUW ANA MSIMAMO WA HATUCHEZI
NAOMBA NIWAASE TU KOMAENI
KANUNI NA SHERIA WALIZOPANGA NA KUSAINI WENYEWE LAZIMA ZIHESHIMIWE
HAWA WANAZI WA BODI YA LIGI WANAOSHABIKIA SIMBA NAAPANLAZIMA WAAIBIKE
KAMA WALIHONGWA WATASEMA TU MWISHO WA SIKU PESA WALIZOPOKEA
NARUDIA...
CCM wanapita nyumba kwa nyumba kuandikisha wanachama wapya wa kadi za kielektroniki
Ajabu ni kwamba hawakuulizi kuwa unahitaji kuwa mwanachama au la
Wameandikakisha watu kibao haswa vijiji bila shaka tutasikia takwimu mpya watatoa wakiwa na mamilion ya wanachama
Nimepata pia...
Jakaya alipoiongoza nchi alituachia somo la msingi kwa kuonyesha kuwa ukiwa rais unatakiwa kuliongoza taifa, si chama chako. Alitufundisha kuwa kiongozi wa nchi hastahili kuwa na upendeleo kutokana na nani alimuunga mkono au nani hakumuunga mkono.
Hata hivyo, JPM alipoingia alijikita katika...
Mimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na wewe kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani.
https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX
Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025.
Hali...
Kwetu tanzania ukimtukana mtu tusi yanaweza kuisha mkaombana misamaa ya 4R.
Ila jambo linakuja ni lile la kuelewa ukweli kama umetoa rasmi tusi pro max.
Ili nimeliona hata hapa JF wakebei kupitia CCM wanapoelezwa ukweli wanavyo anza kureact ukweli kuliko matusi yetu haya sehemu za siri.
Ukifika Dar kwanza jihesabu wewe ni miongoni wa wateule wenye bahati, hivyo usiichezee nafasi hiyo.
Bila kujali umeenda huko kwa njia gani iwe umeletwa kwa kudandia gari ya msiba, ama umeenda kama shamba boi, dada wa kazi, umeenda kama saidia fundi au umeletwa mara moja kubarizi na kupunga...
Kuna wapumbavu wanalinganisha great nation na Kenya, ni aibu. Watanzania jifunzeni kdg, historia ya nchi yetu tofauti kabisa na Kenya.
Sisi msimamo wetu kuiokoa Afrika wakati wakenya walikuwa wanainjoy mali za waingereza. Two different things. Nchi yetu ardhi ni mali ya serikali.
Km wakenya...
Wanabodi
Huu ni wito kwa viongozi wetu wa dini,waepuke lugha za vijiweni wawapo mimbarini!
https://www.jamiiforums.com/threads/padri-muchunguzi-ashangazwa-na-kauli-za-rais-asema-waumini-wetu-ni-wanasiasa-lazima-tuwarekebishe.2335881/post-53667625
Matamshi haya ku mu address Mkuu wa nchi na...
Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa
Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema ilikabiliwa na faini kubwa na matakwa ya udhibiti "yasiyo halisi" kutoka kwa mamlaka ya Nigeria.
Mwaka...
Maoni yametolewa, Ukweli unaonekana hata na mtoto mdogo anaweza kutambua changamoto kubwa inayoipa doa tume ya uchaguzi na kuifanya kuwa batili na isiyoweza kusimamia haki. TEC wametoa maoni yao, Waziri mkuu mstaafu Warioba ametoa msisitizo huo, vyama na taasisi mbalimbali wamesisitiza kwamba...
Muslim Brotherhood, ilianzishwa mwaka 1928 nchini Misri, ni shirika la kimataifa la Kiislamu la Sunni linalolenga kutekeleza sharia na kuanzisha caliphate ya kimataifa.
Itikadi zao zimezijenga vikundi vya kigaidi vingi duniania ikiwemo hamas na al-qaeda.
Mataifa kama Saudi Arabia, Umoja wa...
Yaani leo nataka niwaulize straight-up — nani kati yenu viongozi ana elimu ya kueleweka? Si hiyo ya kununua kwa chupa ya wine na kutunukiwa kwenye mahoteli, I mean real — academic grind, sleepless nights, defending a thesis not just defending a damn political party like a lapdog.
Me? I’m a...
Serikali yoyote duniani inapoanza kupata ganzi na kuanza na kuendelea kuua wananchi wake kwa kisingizio au kuzima sauti ya mnyonge ni maandalizi ya kuhitajika kwa mfereji wa damu.
Nimesoma barua ya polisi "TAARIFA KWA UMMA" baada ya kuvamiwa, kupigwa kisha kutekwa nyara kwa ndg Mdude hii...
Sina mengi ya kusema ila ukweli ndio huo na hii ni kazi ya Mungu (NATURE).
Angebki uraiani, ingekuwa ni hatari zaidi kwake . Kwahiyo, NATURE imemtafutia sehemu salama ingawa tunaona kama anateseka.
Pia, kuwepo kwake ndani, kunachochea hamasa ya mabadiliko.
Kwa kifupi, yuko jela kwasababu kuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.