Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao
UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi...
Niliwahi Wauliza , Haya Matendo yenu ambayo ndio njia mloichagua , Hayatawahukumu huko mbele Kwa namna ambavyo mmezalisha MAISHA YA KISASI Kwa Manufaa yenu tu ?.
Uongozi na Mali, huja na kuondoka, ni vitu ambavyo kufumba na kufumbua unavyo au vinapotea .
Watanzania yamewafundisha nani hasa...
Website ya Utumishi ilikuwa msaada kwa watumishi kuona nafasi za mafunzo yenye ufadhili nje ya nchi. Lakini mwaka huu hakuna mafunzo yanayoonekana kwenye sehemu ya mafunzo, post ya mwisho ni ya december 2024. Matangazo ya nafasi za mafunzo wamehamishia kwenye kurasa zipi?
Anonymous
Thread
mafunzo
nafasi
nchi
nje
nje ya nchi
tena
utumishi
website
1/ Nchi fulani, mvua inanyesha kwenye paa lililovuja, lakini mwenye nyumba anajisifu kununua mwamvuli mpya kwa marafiki zake.
2/ Wamepanda miti mingi ya kivuli katikati ya jangwa, lakini wamesahau chanzo cha maji kiko mbali sana na wenye kiu.
3/ Wameleta farasi na punda wa miguu minne kwa kila...
Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa.
Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori.
Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Kijamii (CCK), David Daud Mwajojele, amewasili katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma, akiwa ameambatana na mgombea wake mwenza, kwa ajili ya kuchukua fomu za kuteuliwa kugombea nafasi ya Rais na...
Kuna uhusiano gani Kati ya mambo ya Imani na Ukeketaji kwa maana Ukeketaji umepigwa marufuku katika nchi zaidi ya 70 duniani kote lakini unaendelea kutekelezwa hasa katika nchi za Afrika, kama vile Gambia
Iko wazi, kwa kila mtumiaji wa map zinazopatikana ktk simu zetu amewah kupima speed pale anapokuw safarini. Sasa swali langu ni.
Ikiwa uko baharini(boti/meri) au angani(ndege/parachuti) hii map itaendelea kufunction km kawaida au kutakuwepo na mabadiliko?
Nauliza hivo maana sijawahi panda...
Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza.
Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
Wakuu
Nimekutana na video hii huko mtandaoni.
Huyu ni mgombea wa Urais kupitia CUF anaitwa Mkunyutila Siwale hapa ndo alikuwa anawashawishi wajumbe waweze kumpigia kura ili aweze kugombea Urais kupitia chama cha CUF
Sasa inavyoonekana sijui ni uzee au kukosa confidence lakini kashindwa...
Kuna malalmiko mengi nchi nzima kuhusiana na kura za maoni zilizopigwa hivi karibuni. Wengi wamelalamika kuwa rushwa ilitawala sana na hasa wale walioshika namba moja hawakushika namba moja kwa haki.
Ninaishauri CCM irudie zoezi hili kwa mara ya pili ili haki ipatikane. CCM inapiga vita...
Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi?
Au ni ulimbukeni tu??
Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa offer.
Kituko zaidi unakuta mwanamke ni masikini kapuku wa kutupwa lakini anakazana kunywa bia ya elfu...
Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni.
Kimsingi tuna safari kubwa.
Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
Ukiwa na akili na uelewa wala huulizi nini anafanya polepole kwani iko wazi anachofanya ni kuwahamisha wananchi kutoka kwenye umakini na kuwachanganya wasahau yanayowasibu.
Polepole hana jipya labda kama lakini kwa mdomo mtu kama Lissu,Silaa,Rungwe,nk t
Umuofia kwenuuuu!! Mapama wanaotikisa chi ile ya kusadika kwa uchache ongezeni wengine
1. Aziz
2 .6(Marehemu)
3. Edward (Marehemu)
4. Mzee wa Msoga
5. Makamu mtarajiwa
6. Amos
7. Mzee wa tai ya taifa
8. Bashiaae
9. Mauzi au mathread(Junior)
Arafu nyie.... isijekuwa nayo hii platform...
GʻT
Hawa wanaonunua uongozi kuna biashara gani wanaenda kufanya huko kwenye ofisi za umma ili pesa zao zirudi. Taifa lipo katika hali mbaya sana chini ya wanamtandao TAKUKURU nao wameng'olewa meno.
Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
Leo katika mazungumzo yake na wananchi, Polepole ameeleza kuwa wahuni wameanza kuzunguuka nchi hii na kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030.
Akasema mmoja wa wanaofanya hivyo ni mtoto/offspring wa Mtu mzito sana ndani ya Wanamtandao.
Hii ngoma ni hatari sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.