nchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lissu na hatima ya nchi yetu

    Watu wengi ndani na nje ya nchi yetu,wasomi mbalimbali,Bunge la ulaya, viongozi wa kisasa kule marekani,na sasa jumuia ya madola,wote wameshauri Tundu Lissu atoke gerezani.wote wanajua kesi iko mahakamani, lakini bado wameshauri Lissu atoke. Kwanini?Inawezekanaje watu wote hawa wawe hapana...
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu, mnapambana vipi na changamoto za ununuzi wa bidhaa nje ya nchi?

    Wakuu, katika harakati zangu za biashara, nikakutana na kampuni B mtandaoni. Kutokana na bidhaa zao walizozichapisha kwenye ukurasa wao, ziliweza kunivutia sana na kunishawishi kufanya nao biashara. Nikapiga mahesabu, mpaka nizilete hapa bongo, naweza kupata faida mara mbili. Nikawasiliana...
  3. JamiiForums Tanzania MADOGO PAMBANIENI KUPATA SCHOLARSHIP MUENDE NJE YA NCHI.

    Vijana wa six mnakazi ya kufungua nyuzi kila kukicha mnaulizia kozi hii ntapata kwa matokeo haya. Wale wenye DIVISION 2 NA 3.NJE YA NCHI KUTAWAFAA ZAIDI COMPETITION YA NDANI NI NGUMU NYIE KUPATA VYUO.UFAULU WA 99% UNATAKA WALE TOP NORCH( TOP LAYER PEKEE NDIO WAENDE VYUONI NA NDIO WATAKAOPATA...
  4. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: WAJIBU wa Askari jeshi(JWTZ) kwa raia na nchi

    Wajibu mkuu wa askari jeshi kwa wananchi ni kulinda Katiba, mipaka ya nchi, na usalama wa wananchi pamoja na mali zao dhidi ya tishio lolote la ndani au nje. Kulingana na miongozo ya jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), majukumu ya msingi kwa jamii yamegawanyika katika maeneo...
  5. JamiiForums Tanzania Njia ntakazotumia kuondoa squatter zilizotapakaa nchi nzima

    Wote ni mashahidi miji ya Tanzania ina sifa moja mingi ina squatter zifuatazo ni njia ambazo ntazitumia kuondoa hizi squatter zilizopo kama sehemu ya kuifanya nchi kuwa nzuri kama nchi zilizoendelea
  6. JamiiForums Tanzania Iran: Kwa Ukubwa wa Nchi Yetu Tunaweza Kuhimili shambulio La Nyuklia na Kusimama Tena, Israel Ndogo Itasambaratika. Waamue Wasuke au Wanyoe

    Iran imesema endapo itashambuliwa na silaha za Nyuklia watajibu Kwa Ukubwa sana na hawataangalia fatwa inayowakataza kutumia silaha za maangamizi ya binadamu Kwa kushambulia vinu vya Nyuklia vya Israel ambavyo vitaleta maafa kwenye Nchi hiyo ndogo tofauti na wao ambapo wataathirika lakini Ukubwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuishi nchi ya ugenini kunaniweka matatani

    habari ndugu yangu natumaini uko njema wa afya, na kama si hivyo polee. kwa jina naitwa ...... Fulani hila kwa sababu ya hili nililoamua kushikilisha adhira sinto tananabaisha kinagaubanga wasifu wangu..huenda walegwa wa hili wakapata nakala hii hiii si hadithi ya kubuniwa wala kutungwa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini imetoa orodha mpya ya nchi ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini humo bila VISA

    Serikali ya Afrika Kusini imefanya maboresho katika sera yake ya msamaha wa visa, ikithibitisha kuwa raia kutoka nchi 22 za Afrika sasa wanaweza kuingia nchini humo bila visa kwa ajili ya utalii, biashara, au ziara fupi. Muda wa kukaa unaoruhusiwa unatofautiana kati ya siku 30 hadi 90, kulingana...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa Argentina akataa kwenda kuangalia mechi ya fainali ya nchi yake na Spain sababu hakwenda kuangalia mechi za mwanzoni

    Rais wa Argentina, Javier Milei, amesema hatahudhuria fainali ya Kombe la Dunia itakayozikutanisha Argentina na Uhispania, akieleza kuwa uamuzi huo unatokana na imani yake. Akizungumza kuhusu mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mamilioni ya mashabiki duniani, Milei amesema hataki kubadili...
  10. JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa hivi viongozi na watumishi wakisafiri kwa nchi zenye maendeleo wanafanya kazi gani ?.

    Katika kitu kilicho niumiza ni ile pesa ya kupeleka wasanii na wakaenda kujigamba ndio maana chawa wamekuwa wengi. Sisi tunaosafiri au waliosafiri hata mtu hapa JF ukisema kumpeleka nje ya mkoa wake lazima kupata wazo au kujifunza kilichomo na kupeleka mkoa wake ili nalo limewahinda serikali ya...
  11. JamiiForums Tanzania Watoto wakinondoni hivi huyu dotto magari anataka tuchafue mpaka kituo cha ostabey polisi leo anajiona mwenye nchi.

    Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa. Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza kumponza.Huyu dotto magari sijui kama anaelewa kuna mafia na mafia wanamuangalia hapo alipo
  12. JamiiForums Tanzania Marekani: Tunaomba Nchi Zingine Tuungane Kuivunjilia mbali Mahakama ya ICC Kisa Wanataka Kuficha Uhalifu waliyofanya Gaza na Sasa Iran.

    My Take Chadomo wakiona hii watalia sana 😂😂😂👇👇 https://www.instagram.com/p/DaxHrfqjpeU/?igsh=NWJ5N2JkY256ajlq
  13. JamiiForums Tanzania Inapofikia mahala vyombo vya ulinzi kushiriki "dirty jobs" za kisiasa ndani ya nchi. Ni dalili mbaya kwa Taifa

    Sheria yenye utata ya Usalama wa Taifa namba 2 ya mwaka 2023, ilitungwa mahususi kwa ajili ya kushughulikia wanasiasa wanaoipinga CCM. Sehemu kubwa ya sheria hiyo inakiuka weledi na misingi ya utawala bora. Waemepwa uwezo wa kukamata na haielezwi wakikamata wanamdetain wapi mtuhumiwa. Imetoa...
  14. JamiiForums Tanzania Inaonyesha mivutano ya iran na USA tunaweza kuwa laumu ila wote wanatumiwa na watu ambao kila nchi kujiweka kama sio yeye

    Ukiangalia migogoro ya iran na USA ni kama hawa watu wamekuwa mwana seserere wa nchi zilizopo karibu na iran. Na mpaka sasa unaweza kujiuliza wao kama wanafanya biashara kwa nini watumie nchi nyengine mfano iran anavyo fanya na nchi za nyengine kumtumia USA kuwapiga.
  15. JamiiForums Tanzania Waislamu kuna mada yenu hapa.Kwa nini mnapenda kukimbilia nchi ambazo sio dini yenu.

    Wakitoka south afrika kufukuza waafrika naona wazungu wataanza na hii operation ya imani. Kama dini imewapenda sana kwa nini mnakimbilia nchi ambazo sio dini yenu.
  16. JamiiForums Tanzania Nguo za jeshi kufanana na za nchi nyingine sahihi

    Kuna nch huku inapakana na malawi wanavaa nguo za jeshi zinafanana za us au Israel je ni sahihi ?
  17. JamiiForums Tanzania SOMO:Huwezi kuaminiwa na watanzania kuendesha nchi kwa hoja au agenda moja tu

    Kamwe na haitatokea eti agenda moja tu ndio inaweza kuwashawishi watu milioni 60 na zaidi kukupa nchi. Hata kunishawishi mmoja mimi tu unahitaji agenda zaidi ya 20 hivi kutoka sekta mbalimbali ili nikupe muda wa kukusikiliza. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu

    Rais Samia anasema kuwa "Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu"
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA walikosea kukubali kuichoma nchi wanayotaka kuiongoza

    Hakuna chama kipya kinakuja madarakani pamoja na ofisi zake za serikali, majeshi, polisi, mahakama, barabara, hospitali, mahakama na majaji wake wapya. Watatumia miundombinu hiihii na rasilimali watu iliyopo, maana miundombinu hii sio mali ya chama kilichoko madarakani wala Rais, ni mali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…