Habari za Leo!
Unapomkoaa Boss au mtawala au kiongozi wako. Moja ya mambo muhimu ya kuzingatia ni mtazamo wake juu yako.
Je ni Negative au positive?
Kama mtazamo wake ni Negative, hata ukimkosoa kiungwana na kiupole kwake ataichukulia kama dharau, chuki na vita. Hivyo majibu yake yanaweza...
WE DON’T NEED PAINKILLERS — WE NEED A COMPLETE CURE FOR THE DISEASE.
Abductions are real, and the abductors exist; some of them have already been cited in the matter of Mdude Mpaluka Nyagali.
Also Read > Polisi kuhusu taarifa za watu kutekwa: Ni kujiteka, wivu wa mapenzi na kugombea mali...
Bw. Moussa Dabo kutoka Gambia alikuwa mwanafunzi wa Yuan Longping ambaye ni Mwanasayansi maarufu wa mpunga chotara nchini China, hivi karibuni alifika kwenye kaburi la Yuan kutoa heshima zake. Alipiga magoti na kuweka mfuko wa mpunga chotara kutoka nyumbani kwake mbele ya kaburi na kusema...
Nimemsikia naibu waziri ofisi ya Rais Serikali za mitaa Dkt. Festo Dugange Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa nakisema kuwa mheshimiwa rais amepeleka pesa nyingi kwenye maeneo mbalimbali.
Kama rais ndiye anatoa pesa "yake", hii pesa ya umma inayotengewa serikali inakwenda wapi?
Je...
Habari
Suala la usafiri, iwe ni usafiri wa kibiashara au usafiri binafsi ni muhimu Kwa maendeleo ya Taifa na wananchi wanalitambua Hilo changamoto huja katika kumudu gharama za Kodi, bima, usafirishaii na hata Bei halisi ya gari. OZB CAR IMPORTERS Kwa kuiona changamoto ya gharama kuwa kubwa na...
Habari,
Suala la usafiri, iwe ni usafiri wa kibiashara au usafiri binafsi ni muhimu Kwa maendeleo ya Taifa na wananchi wanalitambua Hilo changamoto huja katika kumudu gharama za Kodi, bima, usafirishaii na hata Bei halisi ya gari. OZB CAR IMPORTERS Kwa kuiona changamoto ya gharama kuwa kubwa na...
Kufuatia taarifa ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu la kutaka nchi 36 kutaka kufanyia kazi baadhi ya mambo kadhaa ya kiuhamiaji ambayo yanaweza kuzuia raia wa Kitanzania kuzuiwa kuingia Marekani Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema " Naomba kuujulisha umma kuwa tayari Serikali ya...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema tangu kupata uhuru Tanzania imepata maendeleo makubwa na kwamba wanaosema hakuna kilichofanyika ni vema wakakaa kimya, wasiwe na tabia ya kasuku kukariri wasiyoyajua.
Wasira ameyasema hayo Juni 17, 2025 alipokuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa sana Stephen Wasira Ameunguruma na kuitetemesha Geita. Ametoa ujumbe Mzito Sana ulio wabubujisha watu machozi ya furaha.
Embu Soma hapa chini 👎KAENI KIMYA KAMA HAMJUI
NCHI ILIKOTOKA - WASIRA
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema tangu kupata uhuru Tanzania imepata maendeleo makubwa na kwamba wanaosema hakuna kilichofanyika ni vema wakakaa kimya, wasiwe na tabia ya kasuku kukariri wasiyoyajua.
Wasira ameyasema hayo Juni 17, 2025 alipokuwa...
Nendeni huko katika Mtandao wa TOUR AND TRAVEL WORLD mkajisomee wenyewe. Halafu inasemekana kutokana na yanayoendelea baina aliyeko ndani na mshika mpini ni kwamba Rais Trump anaweza kumzuia hata mshika mpini nae asisafiri kwenda Marekani.
Imechukua siku tatu tu Marekani kuingia kwenye vita kumsaidia Israel ila mpaka sasa Russia anaangakia mshirika wake anapigwa na watu kibao.
Jeshi la Marekani lina jisifu kuthibit anga ya Iran, na kusema wako vizuri. Russia uko wapi?
Kuna wimbo wa DMX unaimba move..... get out of my way.... Ole wake aletaye kikwazo ni kulala nae mwendo wa ngiri wanasema R Chugas.
Tuendelee kunywa mtori.
Tanzania sio rahisi kutoboa kama mfanyakazi tofauti na nchi nyingine. Ukienda Ulaya au USA, hata ukiwa mbeba maboksi utatoboa kama mfanyakazi. Zipo sababu.
Huko nyuma, nadhani enzi za Nyerere na Mwinyi sijui na nani, ili mwajiri akupe motisha, mfanyakazi ulikuwa unapewa marupurupu kama ada ya...
Nimetafakari sana jinsi wenzetu wanaweza kupiga kwa kutumia makombora kwenda kwenye kambi za kijeshi,wapi walipo viongozi na hapo vita hivi nchi zote sio karibu zote zipo mbali.
Sasa hapa kwetu tuna uchumi mzuri kuliko marekani na ulaya ndio natafakari.
Nimeona aina za makombora wanayotumia...
Mpende mchukie
The guy is truly gifted.
Huyu jamaa sio wa sayari hii.
Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu.
Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa.
Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi...
“Kwa mfano leo hapa Bariadi kuna miradi sita ya kufungua na yote ni kwa sababu serikali ilikuwa na fedha, tumetawanya fedha za kufanya miradi hiyo. Ni makusanyo ya ndani. Miradi yote tumejenga wenyewe isipokuwa mmoja ndio wa mtu binafsi niliokwenda kuufungua asubuhi leo. Lakini mitano yote ya...
Kama umebahatika kusoma kile kitabu ni wazi kuwa yule mwandishi alikuwa anaishi future. Kama yuko hai akamatwe haraka sana na afunguliwe kesi ya uhaini, haiwezekani amseme vile.
Pia waandishi wazuiliwe kuoandika mambo ya ukweli yanayoweza kupelekea wananchi kuchukia viongozi wao.
Waandishi...
Ubaya ubwela Saudia,Jordan,Syria,Bahrain n.k nazani hawajui au wanajipumbaza kuwa kila mmoja atafikwa kwa muda wake,inaonekaa Netanyau anaajenda kubwa kaibeba, kila nchi pale Mashariki ya kati itapigwa kwa mda wake.
Israel ni taifa mkakati la Marekani dhidi ya jamii ya kiarabu,wao hawajitambui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.