nchi

  1. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Je ni lini serikali itatua kero ya mawasiliano kwa maeneo yaliyo pembezoni mwa nchi?

    Katika halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera vipo vijiji ndani ya kata za Isingiro,Kaisho,Rutunguru Rubwera nk Hizi ni kata ambazo zimepakana na nchi za Rwanda pamoja na Uganda Huwapo ndani ya hizi kata mitandao ya mawasiliano ya simu ni shida kiasi kwamba ukiingia tu unaanza...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza kutoka Irani kuwa Nchi ikichafuka hata viongozi hawatakuwa Salama, Kulinda Amani na Haki ni wajibu kwa Sote

    Kumekuwa na nyimbo za kila siku. Makabwela tunaambiwa tutunze amani amani...... Linapokuja swala la kutendewa haki sisi makabwela hatukumbukwi. Tunahimizwa tu tutunze na kulinda amani. Kilichotokea kwenye Machafuko ya sasa huko Nchini Irani kimetupa funza kali Mkuu wa Nchi hiyo amekimbia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya nje ya nchi vinavyotoa kozi za Mtandaoni (Online)

    Habarini. Kwa mwenye uzoefu wa vyuo vikuu vya nje ya nchi vyenye hadhi, vinavyotoa kozi mbalimbali online, naomba anisaidie majina ili niweze kuvifatilia
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mtu Mwenye fikra finyu pekee ndo anaweza kusema wakenya wanaharibu nchi yao

    GT Katika ulimwengu wa harakati za mapinduzi ya kisiasa na kusukuma nchi iende mbele kile kinachotokea Kenya ni sahihi kabisa maana wanaijenga nchi yao. Ndugu zangu hakuna taifa lolote tajiri ambalo halijapitia madhira kama ya Kenya. Wanachofanya wakenya ni kutafuta kuheshimiana ili serikali...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani Bora kuagiza Gari nje ya nchi? Japan, UK, Singapore etc

    Nimeona kampuni kadhaa zinatoa huduma ya kuagiza Magari used nje ya nchi. Ipi ni Bora kwa uaminifu ,huduma na ufanisi wa kutuma pesa, Kati ya hizi; 1. Be forward, 2. SBT Japan, 3. Enhance Auto.
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wanaoipinga CCM ni kosa kukimbilia nje ya nchi?

    Kuna mzaha hufanywa na baadhi ya watu dhidi ya wanasiasa wanaoipinga CCM wanapokimbilia nje ya Tanzania. Kuna hoja kwamba huwezi kupigania maslahi ya Tanzania na watanzania ukiwa nje ya Tanzania. Na wengine hufika mbali zaidi kwa kuwaita watu hao ni vibaraka wa mabeberu. Lakini Historia ya...
  7. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi nyepesi kuongoza duniani kama TZ. Sikutegemea Simba kupeleka timu uwanjani leo

    Imagine Uto leo Wana hamu ya kucheza mechi, TAREHE 15 hamu Yao ilikuwa wapi mpaka wakavaa na Jezi zenye maandishi ya Hatuchezi Ng'oo? BODI ya ligi na TFF hawajatueleza aliyebadilisha Tarehe ni nani? kwa kanuni ipi kwa makubaliano na nani? kwanini bodi ibadilishe Tarehe na kupanga Tarehe mpya...
  8. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kwa tunaotaka Mabadiliko Nchi hii tunaombea Simba Agome serious asilete Team uwanjani

    Habari Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani. WHY? Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa tusiwaamini hata kidogo hawako serious na mabadiliko ya haki ya mifumo inayopiganiwa na chadema, ni matumbo yao. Take note of this:

    1. Sheikh Ponda anagombea Ubunge Temeke..........................amekwenda ACT agombee 2. Peter madeleka Tabora........................... amekwenda ACT agombeee 3. "UOZO" wote uliotoka chadema unatafuta majimbo!...........................wanatafuta kugombea 4. Covid-...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa: Tumeanza kuuza Internet nje ya nchi

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema Tanzania imeanza kuuza intaneti nje ya nchi baada ya mkongo wa taifa kuongezewa uwezo.
  11. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazotumia lugha zao asili za Kibantu kwenye elimu, serikali na jamii yote

    Hapa kuna muhtasari wa nchi za Afrika zinazotumia lugha zao za Kibantu kama lugha ya kufundishia na pia katika shughuli za kiserikali, kwa Kiswahili: 🇹🇿 Tanzania Lugha inayotumika: Kiswahili (lugha ya Kibantu) Elimu: Shule za msingi: Kiswahili ndicho kinatumika kama lugha kuu ya kufundishia...
  12. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha za aina zote

    Naunga mkono Iran kuwa na silaha za nyuklia. Naunga mkono hata Tanzania kuwa nazo. Namna pekee ya kuheshimiana hapa duniani ni kila nchi ikiwa na silaha za maangamizi makubwa. Iran ingekuwa nazo hizo silaha za nyuklia, Israel na Marekani zisingethubutu kuishambulia. Iran haijatenda kosa...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nchi imeshagawanyika hii watu wanataka reforms za kiuchaguzi ila mamlaka inajizima data

    Nchi imeshagawanyika hii watu wanataka reforms za kiuchaguzi ila mamlaka inajizima data. Sipati picha tunakoelekea kama kuna watu wachache watataka kupelekesha uchaguzi vile wanavyotaka wao ufanyike kisha wajitangaze ni viongozi wa nchi sijui itakuwaje. Kama watategemea jeshi na dola kuwalinda...
  14. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miezi takribani 19, Israel imepigana vita na nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Wakati Israel ina watu 9,523,978 tu

    Tangu shambulizi la Hamas kule Israel October 7, 2023. Israel imepigana vita na takribani nchi tatu zenye jumla ya watu 103,855,658. Nchi ni: 1. Palestine yenye jumla ya watu 5,589,623 2. Lebanon 5,848,354 3. Iran 92,417,681. Wakati Israel yenyewe Ina jumla ya watu 9,513,978. Yaani ni sawa...
  15. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tupo kwenye nchi Ambayo inawzalishaji wengi lakini walaji wachache!

    Kuna hali ya ndani inayokua kimyakimya katika taifa letu, hali inayosababisha movement nyingi lakini progress ndogo. Wengi wetu tumejenga maisha yetu juu ya misingi ya kujituma, kutumika, na kutoa huduma halisi kwa taifa. Tunazalisha kwa mikono, kwa akili, kwa muda, na hata kwa ndoto. Tunaamka...
  16. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Heche ni hatari kwenye siasa za nchi hii kiasi hiki?

    Kesho jumapili kulipangwa kipindi maalumu cha CAFETALK ambacho waongozaji wake walipangwa Kuwa Salim Kikeke na muuliza maswali nguli Masoud Kipanya, ghafla likatoka tangazo juu ya kwamba Heche hatahojiwa sababu ya chama chake kuzuiwa siasa... Sasa Je ni kweli kwamba Heche ni hatari kwenye...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nchi moja Afrika wao kuitana kwa Titles za Daktari wa Falsafa au Profesa hadharani ni Ufahari, wakati Taifa lao ni Masikini na Wapumbavu wanaongezeka

    Na Historians akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE alias "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" tunajua kuwa Taifa la Kwanza kwa Kujitambua Afrika ni Ghana na Taifa la Kwanza Afrika kwa kuwa na Demokrasia bora na Katiba safi kwa Wananchi wake ni Ghana na mwisho kabisa...
  18. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hivi unajua uchumi wa la jimbo la South Carolina ni mara tatu ya uchumi wa nchi yako?

    Nilicheka sana, Samia mbele ya public alisema uchumi wa Tanzania unafanya vizuri kuliko uchumi wa Ulaya na Marekani, what a shame. Samia unaijua Marekani? Ngoja nikupe elimu ndogo, hivi unajua Jimbo la South Carolina Lina uchumi mkubwa mala tatu ya Tanzania? South Carolina ni jimbo dogo sana...
  19. Kibo10

    JamiiForums Tanzania Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    PART 1 Kuna ukweli mmoja usiofichika wala kupingika kwamba watu wengi sana wanapenda kazi ya ushushushu, yaani Uafisa Usalama wa Taifa.Hiyo sio kwa Tanzania pekee bali sehemu nyingi duniani. Ukiingia mtandaoni utakutana na watu wengi wanaozungumzia taaluma ya intelijensia au/na wahusika katika...
  20. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo nchi zenye ndege nyingi za kivita duniani

    Haya wale wazee wa IRAN ni super power mpo..? Njooni huku muone ukubwa wa super power. Ila kwa ujumla USA apewe heshima yake. Kuna vi nchi vina mtishia US anaamua tu kuviangalia alafu anavihurumia na kukataa kuvipea trending. Hako ka kiduku + kobazi wote + Russia + Afrika yote ndege za US...
Back
Top Bottom