nchi

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nchi hii wanasiasa wamejipimia viwango vidogo sana vya uongozi unaocha alama.

    Mrisho Gambo anaamini katika zama hizi watu wa Arusha(mji mkubwa zaidi wa utalii nchini na Africa Mashariki) kufungiwa umeme ambao wanaolipia wenyewe kila kitu ni uongozi unaocha alama! Hivi wastani wa IQ za mwafrika mweusi ni ngapi?
  2. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya zazindua mkutano wa kusaidia ujenzi wa Ukraine

    Viongozi wa Ulaya wamezindua Alhamisi mjini Rome, mkutano wa kila mwaka wa kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa Ukraine baada ya vita, wakitarajia kukusanya dola bilioni 12. Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky waliufungua mkutano huo kwa kuwatolewa wito...
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ludwig erhard: Nchi haiwezi kuendelea ikiwa uongozi upo mikononi mwa wachache

    Aliyekua Waziri wa uchumi wa Ujerumani na baadae Counsellor ambae alifufua uchumi wa Ujerumani baada ya kuharibiwa na vita ya Hitler alindika kitabu chake kinachojulikana kama "Prosperity through competition." Na katika hiki kitabu ameongea mengi ila kikubwa anasema the nation cannot progress...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Eti jamaa anatabiriwa kuwa asilimia 44 ya maisha yake ataishi "nchi za america". Tazama video

    Mi naona haina haja ya kulaumu wanabii uchwara maana wanatumia fursa ya waliokubali ujinga kama huu uwatawale
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Nani mwenye nguvu Nchini hii anayeshinda Vyombo vya Dola hadi kuteka na kuuwa Watu?

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Sasa hivi Vyombo vya Habari haviko huru na kwasababu hiyo watu wanaona kwamba Viongozi wa Dini ni kama chimbo la taarifa. Mfano hivi majuzi umeona limetokea hili tatizo la watu wanatekwa, Watu wanauawa...
  6. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Kabila kubwa kwa kila nchi ya Afrika. TZ duh!!!!

  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano nchi za Ulaya wakilupuana na manyuklia wazungu watakao baki hai unahisi wakimbilia bara gani kati ya Afrika na Amerika kusini?

    Kichwa cha habari cha husika ..maana kwa hesabu za haraka haitapita miaka 50 bila hili kutokea
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia?

    Kwa nini hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye demokrasia? Demokrasia haiivii chungu kimoja kabisa na uarabu? Hii ina athari gani kwetu pia kama nchi kwetu sisi ambapo utamaduni wa Kiarabu una mizizi pia ?
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Msoga, kijiji maarufu kinachompa jeuri bi mkubwa.

    Wakuu, Msoga21march21@yahoo.com, kijiji hiki tunaweza kusema ndio kijiji maarufu nchini hakuna asiye kijua. Kijiji hiki kimebeba tumaini kubwa sana kwa bi mkubwa, kila zito linalomtatiza lazima haraka sana akimbilie kijiji kile. Ukileta dharau dhidi ya kijiji kile ni ngumu sana wewe kutoboa...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Je, Kuongezeka kwa Watu wa Imani Tofauti Kwenye Mitandao ya Kijamii wakifundisha Iman ni Dalili ya Nchi Kubarikiwa sana?

    Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la watu wanaodai kuwa ni watumishi wa Mungu au waumini wa dini fulani wakijitokeza kwenye mitandao ya kijamii Hasa tiktok, instragram na X, Kwakutoa mafundisho, maombi, na ushauri wa kiroho kwa watu. Je Kwa mtazamo huo wa juu juu, hali...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kipya Cha CEMENT kigoma chaanza kuuza cement kwa Tanzania na nje ya nchi congo,burud

    Mnahabar kiwanda cha cement aina ya qilin kigoma kimeanza kuuza cement Yale nje ya nchi nandani ya Nchi Sasa kuipa wakat ngumu dangote ukanda wa ziwa,magharibi
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hili ni jambo la mafanikio kwa nchi pia au kwa kampuni binafsi tu?

    Meli kubwa ya mizigo, MV Santa Teresa, imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na shehena ya tani 60,500 za ngano bora kutoka Australia kwa ajili ya kampuni ya Said Salim Bakhresa, chini ya Meli hiyo inaandika historia nchini kwa kuwa ya kwanza kuwasili na shehena kubwa zaidi ya...
  13. 888I

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Wapiga Kura inavyoshuka licha ya kuongezeka kwa waliojiandikisha – Taifa lenye hofu, hasira na kukata tamaa

    Wakati Tanzania ikiendelea kujigamba kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, takwimu haziungi mkono propaganda hiyo. Hii hapa ni grafu inayoonesha wazi takwimu kutoka mwaka 1995 hadi 2020 kuhusu: 1.Idadi ya watu (population) 2.Idadi ya waliojiandikisha kupiga kura 3.Idadi ya waliopiga kura...
  14. Obugwa Izoba

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kiusalama Kiongozi Mkuu wa Nchi (Rais) kuombewa akiwa kashikwa mabega

    Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani. Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama...
  15. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Nchi inaendeshwa Kisela sela sana

    Viongozi wa dini wenye akili timamu kama TEC wameweka wazi MSIMAMO wao na tunaujua. Hatuwezi kuwa na nchi ambayo watu ambao wanapaswa kuwa independent entities kumbe ni MAKADA; DG anaesimamia Uchahuzi Ni Kada wa CCM , Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Jaji Mkuu ni Kada wa CCM, Hatuwezi kuwa na...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

    Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ? Sasahivi kila...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kwa utulivu na amani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Dar es Salaam, Julai 5, 2025 amezindua hema jipya la ibada la Askofu Mwamposa (Arise and Shine) na kusisitiza kuwa dini zina jukumu la kuwakumbusha wananchi kutunza amani ya nchi. Amesema jana akiwa na wasaidizi wake waliona taarifa mtandaoni ikionyesha kuwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania MKOPO KWA WAFANYABIASHARA WANAAGIZA MIZIGO NJE YA NCHI NA ULIPAJI WA USHURU BANDARINI 0(KOPA MPAKA SHILINGI MILION 500)

    Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende Moja Kwa moja kwenye mada, Ukiwa wewe mfanyabiashara na unahitaji kununua mzigo Toka nje ya nchi lakini kiasi Cha pesa hakitosh au mzigo wako umekwama bandarini sababu umeshindwa kulipia ushuru basi karibu ofisin kwetu tukusaidi,e MIKOPO yetu huanzia...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha CBE (Dar) hakijibu emails na simu hazipokeleki ukiwa nje ya nchi

    Mimi ni mwanafunzi niliyehitimu katika chuo cha elimu na biashara campus ya Dar-es-salaam Diploma ya INFORMATION TECHNOLOGY. Nimesoma cheti nikamaliza nikaendelea diploma ila cha ajabu sana ni kwamba kwenye mfumo inaonesha mimi bado nasoma cheti na matokeo yangu ya muhula wa pili cheti...
  20. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni yapi yangetokea ikiwa Bara la Africa lingekua na nchi tatu tu!

    Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini Je jina gani lingekua sahihi United States Of Africa (USAf). Jina linalo endana na USA lakini limeendana na Africa kwa utambulisho mpya The pan-African union (PAU)...
Back
Top Bottom