Tanzania nchi kama Pagala lililotelekezwa

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,420
Reaction score
23,474
Kila mtu analitumia kwa muda wake. Wengine wanaenda katika hilo pagala kujisaidia. Wengine kufanyia matucy na wale maskini humo wanaenda kulala. Wanaishi humo. Wenzao wanaenda kufanyia haja zao.

Wengine wanachomoa vifaa vilivyopo kwenye hilo pagala kila kinachowezekana na wameanza hadi kuondoa matofali wakajengee kwao.

Wa kung'oa bati nao wamo. Tanzania ni kama nyumba pagala iliyotelekezwa.
 
rekebisha..Tanganyika ndilo pagale. Zanzibar iko controlled na wenyewe.

THIS IS THE THREAD OF THE DAY.
 
Wachina hadi maporini, mitoni hadi ndani huko vijijini wamejaa wanakomba mali kwenye pagala lililotelekezwa ndani ya miaka kumi tanzania Madini tutayasoma kwenye historia Jamaa wanakomba si mchezo, kazi ya mwaka wanaipiga ndani ya mwezi
 
No nakataa SIO pagala ni zizi la nguruwe pori.
SIO Tanzania ni Tanganyika
SIO kutelekezwa ni kutokujitambua

Kwishaaaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Kila mtu analitumia kwa muda wake. Wengine wanaenda katika hilo pagala kujisaidia. Wengine kufanyia matucy na wale maskini humo wanaenda kulala. Wanaishi humo. Wenzao wanaenda kufanyia haja zao.

Wengine wanachomoa vifaa vilivyopo kwenye hilo pagala kila kinachowezekana na wameanza hadi kuondoa matofali wakajengee kwao.

Wa kung'oa bati nao wamo. Tanzania ni kama nyumba pagala iliyotelekezwa.
Tanganyika ndio pagala!!

Umenikosha mjomba
 
Kila mtu analitumia kwa muda wake. Wengine wanaenda katika hilo pagala kujisaidia. Wengine kufanyia matucy na wale maskini humo wanaenda kulala. Wanaishi humo. Wenzao wanaenda kufanyia haja zao.

Wengine wanachomoa vifaa vilivyopo kwenye hilo pagala kila kinachowezekana na wameanza hadi kuondoa matofali wakajengee kwao.

Wa kung'oa bati nao wamo. Tanzania ni kama nyumba pagala iliyotelekezwa.
We hicho kichwa chako ndio pagala, mbwa koko tu wewe. Huna ht haya we mwanaharamu kuiita nchi tukufu km Tanzania? Una laana ya ukoo we mshenzi.
 
We kichwa kimejaa kinyesi.
 
We hicho kichwa chako ndio pagala, mbwa koko tu wewe. Huna ht haya we mwanaharamu kuiita nchi tukufu km Tanzania? Una laana ya ukoo we mshenzi.

Unatokwa povu sehemu zako zooote za wazi... Unademka tu huna akili kichwani kumekekwa nazi na una matobo kibao yanatoa mapovu. Unaishi kwenye pagala na wewe mwenyewe ni pagala. Umeingia menopause but bado unatokwa na hayo makitu muda wote hadi mdomoni, sehemu ya haja, puani na huko kwingine... 😁
 
We mburukenge unajulikana ulivyo zombie
 
Back
Top Bottom