Tukiacha unafiki mwanamke hafai kuwa Rais wa nchi sio tu Tanzania Duniani kote!
Tujiulize kwanini Marekani imegoma kabisa kutawaliwa na mwamke? Wakati ndiye baba wa democracy Duniani?
Idadi ya SMS ndani ya nchi imeongezeka kutoka SMS bilioni 52.8 mwezi Juni 2025 hadi kufikia bilioni 52.9 mwezi Septemba 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 0.2.
Kwa mujibu wa ripoti ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano ya robo mwaka inayoishia Septemba 2025 inaonesha kuwa Mwezi Septemba...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Taasisi zinazopima Maendeleo Bora ya kiuchumi na huduma Bora za Jamii zimeielezea Tanzania kama moja ya nchi kinara Kwa Nchi zote za Bara la Afrika kwenye kutekeleza miradi ya maji...
Wakuu...
Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani?
kuna hawa...
Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja.
Vituo vya Kupigia kura nchi nzima vipo 99,895 ambapo Tanzania bara kuna vituo 97,348, Tanznaia nzima ina...
Upumbavu unaoendelea kwenye Taasisi za Umma umefikia kiwango cha kutisha hakika.
Watumishi wa Umma, badala ya kujikita kulitumikia Taifa ili Wananchi wawe na maendeleo sasahivi wamegeuka kuwa vijakazi na watumwa wa CCM. Kuwahudumia CCM badala ya kulihudumia Taifa.
Vitendo vilivyofanywa na...
HELLEN JOHNSON SIRLEAF. ALIONDOKA IKULU BILA MIKONO YENYE DAMU.
-----------------------------------------------------
Hakuna damu iliyomwagika. Naondoka ikulu ya "Monrovia" nikiwa na mikono safi. Kama nitahukumiwa siku moja ni kwa dhambi nyingine. Lakini si ya kupora maamuzi ya uma kwenye...
Usiwe shujaa aliyekufa. Usiwe kama Polepole. Unaweza kuleta mabadiriko tarajiwa ukiwa nje ya nchi!
All angles of "independence" struggle are acceptable depending on the prevailing security situations in the country .
DO THE NEEDFUL
Epuka kuwa kama Polepole!
Hapa nilipo kitimoto inayopatikana ni ya kukaanga iliyo kavu au rosti tu, ya kuchoma inapatikana kwa nadra sana, na hivyo ndivyo hali ilivyo sehemu kubwa ya nchi.
Kwa hakika tunahitaji ubunifu zaidi katika mapishi ya kitimoto katika hii nchi, karibia kila mahali wanapouza kitimoto mapishi ni...
Ni nani Miongoni mwenu angeweza amini Hawa Vijana wa TikTok , wenye Miaka 18,19,20,21 ni Tishio Kwa Samia?.
Sasa tazameni Kutoka Kwa LISSU Hadi PADRE KITIMA Hadi POLEPOLE Hadi MDUDE hadi Vijana wa miaka 18, 19, 20, 21.
Kwa Mama mwenye Akili, Hawa bado ni watoto Kwa namna yoyote wanayobehave ...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametoa wito kwa Wakazi wa Halmashauri ya Rungwe na Busekelo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika siku ya tarehe 29, Oktoba, 2025.
Uchaguzi Mkuu utahusisha Wananchi Kumchagua Rais, Wabunge pamoja na Madiwani...
Kuna watu hovyo wamekazana kusimulia nchi jilani zina vita, machafuko, Oooh Kongo wanateseka, nk. Hadithi kama hizo hujitokeza wakati wa uchaguzi. Mbona hata sisi watu wanatekwa na kupotea?
Jana jeshi la Madagascar limechukua uongozi wa nchi. kama kawaida ya BBC Swahili ikawa ni habari kuu. Eti...
Tumeonya sana sana kama watu wa Mungu , machawa yakaona sie mataira ,kumbe lengo letu ni moja ilikua kuliponya Taifa .
Huwezi ongoza taifa ambalo liko katika wakati kama huu, hakuna Duniani kote hata waliojaribu , mnajua what happened, narudia ipo nafasi ya kuliponya Taifa .
1. Sitisha...
Ni ngumu nchi kupata AMANI wakati hakuna HAKI! Huwezi kukalia upande mmoja maana amani inatokana na haki!. Kama mnataka amani tumieni nguvu hiyo hiyo kupigania haki
Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
Ndio kujenga nchi ni Jambo ngumu sana hutaki kukaa kwenye Meza ya Mazungumzo Je, hawa wanaotaka kuandamana hoja yao nini?
Mazungumzo yaliwahi kufanyika na kujua wao wanataka nini?
Tujenge tabia ya Kukaa Mezani Kujadiliana na kukubaliana hii itasandia kujenga nchi. Hata baada ya Uchaguzi...
Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka.
Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi.
Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
Nimeona Clip ya Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na sasa mgombea ubunge Arusha akipita Kanda ya ziwa na maeneo mengine nchini na magari yake akihotubia umma na kusema watu wasikubali alichofanyiwa magufuli afanyiwe Samia.
Mimi swali langu ni Makonda alitakiwa afanye kampeni zake Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.